nashukuru mkuu kwanza uwe umesomea unaijua vizuri then una uwezo wa kufundisha na watu waka kuelewa. it means unaweza kutransfer knowledge vizuri kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.
habari wanajamvini tunataka mwalimu wa kufundisha computer course mafinga kwenye chuo cha usecretary kimesajiliwa na veta. Kama uko tayali tuwasiliane kwa maelezo zaidi. Mshahara ni maeleweno kutokana na utendaji kazi wako. Please nafasi inahitajika kujazwa haraka if ur interested check on me...
Habari wana jf naomba niwaletee kidogo huu ufisadi kwenye ujenzi soko la mwanjelwa jijini mbeya kwa wale wanao kumbuka kabla soko la Mwanjelwa kujengwa kuna soko liliungua na kuteketea kwa moto ambalo sasa halmashauri ya jiji ikaamua kujenga soko jipya. Katika ujenzi huo jiji likaamua kukopa...
Habari wana jf naomba niwaletee kidogo huu ufisadi kwenye ujenzi soko la mwanjelwa jijini mbeya
kwa wale wanao kumbuka kabla soko la mwanjelwa kujengwa kuna soko liliungua na kuteketea kwa moto ambalo sasa halmashauri ya jiji ikaamua kujenga soko jipya.
Katika ujenzi huo jiji likaamua...
pole sana dada Nayajua maisha ya kigheto gheto yalivyo kuwa magumu kama huna sehemu itakayo kufanya uweze kuendelee kuishi mjini. Swala la kwenda kijijini inategemeana mda mwingine unaweza kwenda kijijini ndo kwanza unakuwa umepoteza mwelekeo kabisa coz kuna vijiji vingine vinaweza kuwa hakuna...
Tatizo sio Imani zetu, tatizo sio utamaduni wetu, LAKINI Tatizo ni mazoea tuliyoyajenga, tatizo ni mzoea tuliyoyaaendekeza kwa muda mrefu, mazoea ya kusema uongo, Mazoea ya KUDANGANYA. Karibu kila mtanzania awe mwenye dini au asiye na dini awe mtu mzima au mtoto awe mwenye akili timamu au...
naoka huyu mtu anatatizo sio bure halafu anataka kucheza na akili za watu ukijua wote niwendawazimu kama wewe halafu ukiwa mwongo basi uwe nakumbukumbu kuna uvi aliweka hapa july kuna unatafuta ukatitilika kweli sifa unae mtaka sasa leo unajifanya unakuja kivingine unajua hapa facebook kwenye...
habari wanajavini kuna kampuni ya ukandarasi wa umeme,majengo yenye ofisi zake Dar-es-salaam lakini inafanya kazi kila mkoa inatemeana na kazi ilipo patikana inahitaji Accountant mwenye vigezo vifuatavyo
Awe na Degree au Diploma ya Accountant
Awe anajua kutumia accounting Package kama Quick...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.