Search results

  1. K

    CCM wamechelewa UVCCM za Arusha na Manyara zimejaa CHADEMA

    Karai walilolidharau CCM sasa linawarudi. Mwimba mkali unawachoma.Hii nimeisikia kuwa uchaguzi wa viongozi wa UVCCM za mkoa wa manyara na Arusha ni mchezo mtupu uliopangwa na makada maarufu waliohamia chadema hivi karibuni. Laizer wa arumeru ambaye ameenguliwa kwa kigezo cha kufanana na mlinzi...
  2. K

    Diwani aliefukuzwa CHADEMA Arusha ahamia CUF,ni Bayo.

    Wiki iliyopita kwenye mkutano na waandishi wa habari katibu wa chadema mkoa wa arusha amani golugwa alisema chadema hawafugi na wala hawatunzi mayai viza akimaanisha kuwa wanachama, viongozi au wawakilishi wasio na adabu, heshima na wasiofuata taratibu na kanuni za chama hawana muda wa kuwalea...
  3. K

    Tamko la CHADEMA kukanusha madai ya CUF kufanyiwa vurugu Arusha

    Inashangaza kuona CUF wamepigwa na wamachinga halafu wanadai ni chadema. CDM mjiandae kusingiziwa mnafanya utekaji wa meli bahari ya hindi. Nimemsoma na DC wa arusha anasema chadema ndio wamefanya hiyo vurugu, hivi hii serikali mbona imejaa vichaa na wendawazimu???
  4. K

    Prof Lipumba kupokewa (KIA) ARUSHA akitokea Brussels.

    acha ujinga wewe, anaenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya euro!!!!!
  5. K

    Madiwani waliotimuliwa Chadema Arusha waomba radhi, Napendekeza wasamehewe

    Sakata la uwanja wa NMC kugeuzwa na kuwa hifadhi ya wamachinga imechukua sura mpya baada ya madiwani wa CCM kumgeuka meya gaudence lyimo na mkurugenzi kuwa ajenda ya kubadilisha matumizi ya uwanja huu haikufikiwa hitimisho. Diwani mmoja wa kati ya maeneo ya mjini mjini amesema kuwa awali...
  6. K

    CHADEMA ARUSHA WAIGOMEA POLISI - Mkuu wa wilaya na mpango wa Kufunga uwanja wa NMC leo jioni

    Inasemekana baada ya njia zote za kudhibiti mkutano wa CHADEMA hapo kesho kushindikana, mkuu wa wilaya ya Arusha mjini na meya wa CCM Gaudence Lyimo wamekutana na kuweka mkakati wa kuufunga uwanja wa NMC leo usiku ili kuthibiti dhamira ya CHADEMA ya kufanya mkutano huo. Katika mpango huo, OCD...
  7. K

    Madiwani waliotimuliwa Chadema Arusha waomba radhi, Napendekeza wasamehewe

    Tuliwahi kumhoji katibu wa chadema wa mkoa Amani Golugwa, duuh huyu jamaa hana hamu na hawa watu maana alisema kama wameshagundua makosa yao waende wakatubu kwanza kanisani au msikitini kwa dhambi yao halafu Mungu akishawarehemu wapitilize huko huko waendelee na maisha yao kwa amani.. tehee teheee.
  8. K

    Arusha Press Club tumeaibisha - Kifo cha Mwangosi

    Hivi kweli Ibrahim Gwandu atafanya maandamano mbele ya watu anaowanyenyekea RC, RPC na CCM. Wengine wa dizaini ya kimamluki ni moses mashala huyu ndio anatia aibu kabisa. Kuna haja ya kujiscreen kweli hata ikibidi uongozi wa press club ujiuzulu wameonyesha kushindwa katika mambo mengi likiwemo...
  9. K

    Arusha Press Club tumeaibisha - Kifo cha Mwangosi

    Wengi wanajifanya wapambanaji ila wepesi na bei rahisi sana. Yatawatokea puani wanafikiri polisi ni washikaji zao. Wakishaibua mambo ndio wanafanya mradi wa kula hapo hapo.
Back
Top Bottom