Search results

  1. W

    Ufisadi NHIF

    Tumesikia ya ATCL makubwa na yanayohatarisha maisha ya watu , hakuna hata mkuu mmoja wa serikali aliyesimama kidete na kuisafisha manejiment au kuikemea ... Tumesikia ya Benki ya Posta juu ya ubadhirifu na JINAI ya kughushi laikini hakuna hata kiongozi si wa shirika lenyewe,wizara au kiongozi...
  2. W

    Ubadhirifu mkubwa Benki ya Posta

    Kwanza inasemekana rufaa ya kwenda india imetoka kwenye hospitali binafsi iliyoko kariakoo, Hili linazua maswali mengi sana kwa wenye busara,ina maana kariakoo kuna Hospital ya rufaa ? kuweza kumpeleka mgonjwa anayetumia mali ya umma moja kwa moja nje ya nchi ? Pili iweje mwajiriwa wa shirika...
  3. W

    Ubadhirifu mkubwa Benki ya Posta

    Benedict Kapelega ambaye ni mwajiriwa wa shirika la posta,akiwa ni makamu mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi (Si mtendaji )amepelekwa kuchunguzwa afya India kwa Gharama inayofikia DOLLAR 35,000.00 za kimarekani zote zikiwa zimelipwa na Benki ya POSTA. malipo yanahusisha per diem ya Kapelega,Mke...
  4. W

    Ubadhirifu mkubwa Benki ya Posta

    labda Prof.Ndullu asichokijua ni kwamba mara baada ya wakaguzi wake kuondoka Kihwele na Jamaa yake Kapelega wamefanya mambo tena
  5. W

    Bajeti ya Serikali 2008/09 - Exclusive Thread

    Sijui Mkullo kama anajipya katika hii ahadi,budget zinazopangwa bila utafiti na upembuzi yakinifu wa mahitaji na vyanzo vya mapato kwa serikali tutaishia pale mama Meghji alipotuachia,kupanga badhet na kuongeza hata kodi zisistahili na zilizo mzigo mkubwa kwa watanzania waliowengi ukiacha...
  6. W

    Kubenea kumwagiwa tindikali: Nini chanzo?

    Nafikiri JF ni budi ijangalie isiwe kama kokoro kukamata kila takataka,ni budi iwe kama nyavu yenye kipimo sahihi kukamata kile kinachotarajiwa vinginevyo JF family itakuwa inajidhalirisha mbele ya jamii. mfano mzuri ni hii issue ya kubenea,nani asiyejua kwamba swala likiwa mahakamani si vema...
  7. W

    Posta yatimua wakurugenzi.. kisa JF!

    NA SWALA LA MWENYEKITI WA BODI TPB NAFIKIRI HAPA NDO ILIKUWA WAKATI MWAFAKA ATEULIWE ILI AWEZE KUENDESHA ZOEZI LA KUWASAFI AU KUWAONDOA VIONGOZI WATUHUMIWA........AJABU NI KWAMBA MTUHUMIWA NDO MWENYEKITI WA BODI INAYOTAKIWA SI TU IJISAFISHE DHIDI YA TUHUMA BALI PIA ICHUNGUZE TUHUMA HUSIKA. HAYA...
  8. W

    Posta yatimua wakurugenzi.. kisa JF!

    Tunaweza kuutokomeza kama tukiamua kwa dhati,swala kama la kula njama na kughushi ili kupata cheo sidhani kama linahitaji tume....ni swala la appointing authorities kurequest evidence na kufanya maamuzi bila kuchelewa....Hapa ni namna ya kuangalia jinsi mtandao wa ufisadi ulivyo mkubwa.Tangu...
  9. W

    Ubadhirifu mkubwa Benki ya Posta

    Mchungaji una maanisha tukae kimya ili mafisadi waneemeke ? ACHA UTANI MBAYA MCHUNGAJI
  10. W

    Thanks God for Giving us Kikwete

    Mmmh.....Mchungaji analo jambo ngoja tusubiri nafikiri ufunuo bado unaendelea...............Mungu bariki wana JF
  11. W

    Ubadhirifu mkubwa Benki ya Posta

    HAYA TENA KINARA WA KUGHUSHI BENKI YA POSTA NDG BENEDICT KAPELEGA ANA SOO KWA MWAJIRI WAKE KANUNUA USED CAR KAGHUSHI DOCUMENT ZA BLAND NEW CAR....ETI SHIRIKA LA POSTA HOI KIFEDHA LINAWEZAJE KUWA NA AFYA KIFEDHA KAMA UONGOZI NI WA HAWA MAFISADI.....BLAVO JF ni kuwamulika tuu na kuwaweka peupeeee...
  12. W

    Mkapa above the law?: Allegations

    Anayechunguzwa ni mkapa eti kwa maslahi ya taifa Laini mkuu wa kaya alikataa kuwachunguza ili asijeogopa kuachia ngazi muda ukitimu kuoagopa kuchunguzwa ???? kama pinda anamaanisha aliyosema BIG UP Nampa laikini akumbuke wanainchi wanataka matokeo ya uchunguzi ili maamuzi ya busara yafikiwe kwa...
  13. W

    JF yawaponza wakurugenzi, tuwasaidie!

    Kuna Taarifa Ambazo Binafsi Sijazithibitisha Lakini Nazifanyia Kazi..... Kwamba Ndugu Benedict Kapelega Anayetuhumiwa Kushiriki Kashfa Ya Kughushi Benki Ya Posta Ana Soo La Kuagiza Used Car Za Shirika La Posta Na Kughushi Nyaraka Kuonyesha Kuwa Magari Aliyoagiza Ni Bland New.............kwa...
  14. W

    JF yawaponza wakurugenzi, tuwasaidie!

    Nikirejea maelezo ya GAZETI LA TANZANIA DAIMA kuhusu Ufisadi Benki ya posta kuna sehemu iliyoonesha kwamba walifanya mahojiano na mtendaji mkuu wa benki ya posta na kwamba aliwaahidi kuwasiliana nao IJUMAA kwa ufafanuzi zaidi,lakini tangu ijumaa nimejaribu kufuatilia habari kwenye GAZETI sijaona...
  15. W

    Fisadi Kinje Mbona Haongelewi

    Nafikiri inatakiwa achukue muda kidogo kuindaa vizuri ili iweze kuchangiwa +ve au -ve kulingana na facts.... ni vema aongeze maelezo kidogo yahusuyo mkataba wa hiyo coy ya Ubungo bus terminal si lazima mkataba mzima bali yaliyomo yahusuyo wajibu na majukumu ya mkandarasi
  16. W

    Posta yatimua wakurugenzi.. kisa JF!

    Maendeleo mengine ni ugunduzi wa Njama zinazofanywa kwa ushirikiano wa Mdada aliyeajiriwa TPB akitokea Vodacom na mmoja wa Maafisa wa Ikulu na Polisi Mmoja hivi kupata nakala toka mitandao ya cm kwa simu za TPB staff ili waweze kutrack mawasiliano ya watu wanaojaribu kusema ukweli. VODACOM...
  17. W

    Posta yatimua wakurugenzi.. kisa JF!

    Mambo ni magumu kwa Alphonce....Amejisalimisha kwa old buddies wake walioko (TSS)eti usalama wa taifa ili wamsaidie soo la KUGHUSHI BARUA YA BODI KWENDA SERIKALINI ILI AONGEZEWE MUDA KULIHUJUMU SHIRIKA...........hao jamaa wanatakiwa kusaidia kuandaa kikao hewa cha BODI chenye Minutes na...
Back
Top Bottom