Search results

  1. Fyong'oxi

    Mgombea Urais CCM 2015: Vita kali yatabiriwa kati ya Wasira, Lowassa na Nchimbi

    Hivi ni kweli ccm , haina hazina ya wagombea URAISI kiasi hicho..!!
  2. Fyong'oxi

    Utetezi juu Ya TISS; Jee Wanaoitetea wanajua Tofauti ya TISS ya Nyerere na TISS ya Kikwete

    On red mark. Kibanda, mwangosi, Ulimboka etal, are they real dangerous people in our nation?
  3. Fyong'oxi

    Tumwombeeni Mwigulu afya njema... Ana 'siri nzito'

    hATA YULE MTOTO ALAIYEKOJOLEA KUR ANI, thread zilifuatana.Ishu kubwa hapa ni kuona mtu mzima na elimu yake akiendesha siasa za matope bungeni na uraiani, Cha ajabu zaidi ni kila njama za mauaji anahusishwa pia.Hivyo ni lazima watu wamzungumzie.
  4. Fyong'oxi

    Ni ipi maana halisi na tofauti zake......!!!

    Nadhani ukitimiza malengo unapata furaha na sio utamu.Wataalamu wa lugha waje huku kufafanua zaid.
  5. Fyong'oxi

    PICHA; Lissu, Msigwa Walivyoiteka Iringa Jana!

    ccm wakiona ummati hivi, ndio watakavyozidi kupanga mikakati ya HUJUMA NAWIZI WA KURA. ndio maana wanaipenda ile kauli tangu enzi za Mh L. Mrema juu ya wingi wa watu kwenye mikutano kuwa sio alama ya ushindi
  6. Fyong'oxi

    UFISADI katika Mradi wa Bomba la Gesi: Serikali imechakachua bei(?)

    MLITAKIWA MJIULIZE NI KWANINI HUU MRADI UMEPELEKWA PELEKWA FASTER FASTER... wagawane mapema kablaya utawala mpya 2015
  7. Fyong'oxi

    Je wajua...?

    ... hivi unaweza kufikia kileleni ukiwa macho wazi?
  8. Fyong'oxi

    Kisingizio: Daftari la Wapiga Kura, vyombo vya dola. Sababu?

    Hapo kwenye red sio jambo dogo hilo, Lina nguvu kubwa yakubadilisha matokeo! Wakati CDM inajijenga kwa kasi majukwaani,Tusisahau ccm nayo ilikuwa bize kuratibu mbinu chafu za uchaguzi.CDM bado inayo miezi 36 ya kuendelea kujijenga na kufanya marekebisho makubwa.Wajaribu kuutathmini matokeo haya...
  9. Fyong'oxi

    SI KWELI Kukwangua vocha kwa vidole ni hatari kunasababisha kansa kwa sababu zina kemikali ya Silver Nitro Oxide

    ndio maana nchi nyingi pia hutumia machine maalumu au simu ku load airtime kwenye simu.Bora hiyo sheria ipitishwe TZ kuepusha na hilo janga hata kama ni fununu!
  10. Fyong'oxi

    Nim-motivate vipi boss wangu? Mahusiano yetu yanazidi kuwa mabaya!

    Huo ndio ubaya wa mabosi penda penda! Unaweza ukatoa K, na mambo yakawa supa kwasasa ila baadae yakawa mvurugano zaidi huko mbeleni .Fanya lile la ndani ya uwezo wako hutajilaumu.
  11. Fyong'oxi

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    TANA ilikufa, viongozi hawakufa ,ikazaliwa ccm 1977 wakiwemo viongozi.BACK to the topic ,rejea comment yangu ...
  12. Fyong'oxi

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Kina bibi titi, kawawa na wazee wa kiswahili wengine labda walikuwa na Phd? Michango mingi ya wasomi wa leo haitakaa ionekane kwa serikali hii ya sasa iliyoko madarakani(dhaifu) na mfumo uliyopo (ufisadi,Ubinafsi na Kulindana).
  13. Fyong'oxi

    Sababu gani MBA ya Mzumbe inaitwa maharage ya Mbeya?

    HAPA MI NAONA KILA MTU ANAVUTIA CHUO ALICHOSOMA. Mkiwa kama wasomi andaeni VIGEZO vya ubora wa chuo then mfanye TAFITI mtumie findings tupate chuo bora nchini.ugomvi utaisha.
  14. Fyong'oxi

    Kuwa mtoto wa kigogo ni curse take it from me

    Kwa bahati mbaya huwezi acha kusikia baadhi ya watoto wengi wa vigogo wanasifa mbaya sana kama Muuza/Mlamadawa ya kulevya, Shoga, Tasa, Ndondocha, kulakulala, mzinzi, mlevi au zero brain nk.Hivi hii husababishwa na vile wanavyoshika VITABU VYA MUNGU (Bible and Qur ani) na kuapishwa kutumikia...
  15. Fyong'oxi

    Nani anayeidai marekani?

    Chinese Government are no longer entertaining this shit any more! They only need like 300~ 600 billions as foreign exchange reserve which can meet the requirement for 3 months of International trade.Kwahivyo sidhani kama watahitaji kununua tena treasury bonds za wamarekani tena.Kwajeuri na...
  16. Fyong'oxi

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Hii topic labda sijailewa, maana serikali ya CCM ndio yenye resource zote za kuleta maendelea, Hiyo nafasi ya wasomi individually kuonyesha michango yao itapatikana wapi? Ukizingatia ukiwa na kiherehere cha kuwakosoa wanakata mirija yako yote ya riziki zako, wakati mwingine wanaweza...
  17. Fyong'oxi

    Nani anayeidai marekani?

    China is the Largest owner of US treasures.To the end of June 2011 china has Foreign exchange reserve US $ 3.2 Trillion, In July 2011 China had US treasures US $ 1.16 Trillion. hii ni kusema kwamba China US debt holding increased to US $ 7.3 billion.
  18. Fyong'oxi

    Hawa ndugu wanaongea nini hapa?

    .. more white hair than yours, perfect match to the white house! hahaha EL > 6
  19. Fyong'oxi

    Uchimbaji mafuta na nchi ya 'MAJUHA'

    tueleze basi mafuta yamegundulika wapi, maana nimesoma hizo link naona habari za gesi tuu huko mtwara na si mafuta.msaada kama unajua
  20. Fyong'oxi

    Lusinde aishangaa serikali ya CCM asema kama wameshindwa kuhudumia shule wazigeuze Hotel

    Shule ziwe Hoteli?!! Mbunge kama huyo ukimpa wizara ya ellimu itakuwaje. Hapo wala huitaji kumfanyia vipimo kuijua akili yake.
Back
Top Bottom