Search results

  1. K

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    nimefuatilia sana kinanchoendela juu ya mzozo wa iran na israel kwa kusoma makala mbalimbali za kiuchambuzi na nimugundua yafatayo kwa uchache sana 1-iran ilikuwa ina wajibu wa kulipa kisasi na ni haki yake kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa vienna,ambao unasema kuwa ubalozi wa nchi moja...
  2. K

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    I wish JF waongeze kipengere cha umrri ili unaposoma comment mtu ujue kabisa ni katoto au mtu mzima ndo kacomment
  3. K

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    wy bothering then?,if you cant fight them then join them!!!!
  4. K

    Msaada: Kudownload files zilizouiliwa mtandaoni

    LINK https://drive.google.com/file/d/1VecrV73_o5d7QE4i5O8Hhl6SnxiR6VD7/view
  5. K

    Msaada: Kudownload files zilizouiliwa mtandaoni

    MBONA NIMEWEKA LINKI MKUU HIYO HAPO https://drive.google.com/file/d/1VecrV73_o5d7QE4i5O8Hhl6SnxiR6VD7/view
  6. K

    Msaada: Kudownload files zilizouiliwa mtandaoni

    Wanajamvi heshima kwenu,katika pitapita zangu mtandaoni nilibahatika kukutana na notisi nzuri sana kwa watoto wa shule ya msingi, kupitia forum ya "msomi bora" kwa bahati mbaya sana notes hizo zimezuiliwa yaani huwezi kuzidownload katika mfumo wowote iwe nI PDF au hata Doc kwa maana uweze...
  7. K

    Weka picha ya gari namba 'E' kuonesha utajiri wa Tanzania

    Ifike mahali kabla ya mtu kupewa membership ya JF afanyishwe interview,maana sio kwa thread za namna hii
  8. K

    Msaada: Jinsi ya ku add muziki uupendao Instagram

    Wadau,naombeni msaada kujuzwa namna ya ku-add mziki uupendao instagram pindi unapotaka kupost insta feed au story.miziki niitakayo mfano ya kibongo kwenye search box yao haipo,natanguliza shukran
  9. K

    Msaada: Online free books

    Habari wakurungwa, Nina shida na vitabu mbalimbli vya kiacademic mwenye kufahamu wapi (mtandaoni, aidha telegram au website au mahali pengine popote) ambapo naweza ku access free pdf books hasa za ki- academic, nahitaji huo msaada. Natanguliza shukrani.
  10. K

    Mke anahitajika

    habar mimi ni kijana wa kiume umri,miaka 33,muislam,maji ya kunde,mwajiriwa serikalin idara ya utawala natafuta binti wa kuoa umri wowote ila akiwa mdogo zaid yangu itapendeza ,elimu kuanzia kidato cha nne,awe muislam,mzur wa tabia na sura + shape ,nasisitiza awe mzur wa sura,vijana wa kileo...
  11. K

    Nimepata mchumba mwenye sehemu mbili za uzazi

    Kwani wewe umemjua. ? Hapa ni kawa tunaongea giZan tu
  12. K

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Weka picha yako kwanza tuione ili tujue cha kukushauri.
  13. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mwenye link ya game tafadhali.
  14. K

    Must see Movies

    Mwenye chanel ya kudownload animation telegram msaada tafadhali.
  15. K

    Nawezaje kuanzisha dini mpya? Naomba maoni

    Kwanza kabla ya yote tafuta eneo na machawa kama wa3
  16. K

    Mei Mosi: Mwandishi wa Mabango ya Taasisi zote alikuwa mmoja?

    Shirikisho la vyama vya wafanyakaz yaani TUCTA
  17. K

    Wadau nimekuja Mbeya 1 time, nisaidieni kujuzwa kiwanja kizuri

    Mbeya pazuri ipo maeneo ya wap?
  18. K

    Wadau nimekuja Mbeya 1 time, nisaidieni kujuzwa kiwanja kizuri

    Wadau nimekuja mbeya 1 time, nisaidieni kujuzwa kiwanja kizuri cha kuparty na kuruka majoka, ambacho kinajaza. Natanguliza ahsante!
  19. K

    Msaada: Cant log in into my Instagram account

    bado mkuu inasema vivyohvyo Sent using Jamii Forums mobile app
  20. K

    Msaada: Cant log in into my Instagram account

    Wakuu habari, tafadhali naombeni msaada kwa muda sasa kila ninapojaribu kusign in kwenye Instagram account yangu inaniambia 'An unkown network error has occured'. Msaada nimejaribu ku uninstall kisha kuinstall tena app haijasaidia, nimejaribu pia kuclear cached data pia haijasaidia, muongozo...
Back
Top Bottom