Search results

  1. K

    TCRA mmeamua kuuza utu wetu kwa wahuni? {APP za mikopo mtandaoni.}

    War on terror ingekua ni kichwa cha habari😂😂😂 Kuna jibu moja nilisha wahi kupewa "tunatoa leseni lakini hatuwasimamii wapo huru kufanyia kila wanacho taka" TCRA Hii ni hatari sana, kuna mifumo mingi sana ambayo ukiangalia jinsi inavyo endeshwa huwezi kuamani hasusani kwenye mifumo ambayo Ina...
  2. K

    Tech Hubs za bongo ni miradi ya watu wachache kupiga pesa za misaada (grants) za wazungu ? mbona hatuoni startups zikifanikiwa?

    Kwa mara ya kwanza na soma post iliyo na ukweli hapa. Kuna watu watanununa lakini bro umeongea 💯
  3. K

    Kwanini mawakala hawatoi risiti kwa mtumaji wa fetha?

    K Kupotosha maana ndiyo kujua maana mwenye kujua kajua normal robotics argument it's the type of ishy I don't do punky
  4. K

    Kwanini mawakala hawatoi risiti kwa mtumaji wa fetha?

    Ok ahsante sana kwa mchango wako naona unapo tokea... hapo hutatuwi tatizo bali Unajaribu kulikwepa pro tip nilipo sema na moon walk sikumanisha Mje na kiduku ni deep sasa naomba tuache ku twerk na tuwe pro japo kwa dakika twende baby steps 123 Picha hii inaoyesha hali ya sasa "Currently...
  5. K

    Kwanini mawakala hawatoi risiti kwa mtumaji wa fetha?

    Ok naona punk japokuwa siyo fashion bora ukapigwa para. Ukiwa unaongea na mimi valiya suruwaliyako kiunoni 😍😘
  6. K

    Kwanini mawakala hawatoi risiti kwa mtumaji wa fetha?

    Nizaidi ya risiti ni maisha na nimfumo
  7. K

    Kwanini mawakala hawatoi risiti kwa mtumaji wa fetha?

    Kwa nini mawakala wa kutuma hela hawatoi risiti kwa mtumaji una ambiwa tu tayari imeenda. Au huyu mtumaji yeye siyo mteja na hana maana kabisa ila mteja ni yule anayepokea hela kwa sababu huyo yeye anapata stakabathi ambayo nayo ina mapungufu kwani inaoyesha tarifa za wakala tu wakati wakala...
  8. K

    Kwa nini ma ISP wa Tanzania hawatoi SLA kwa wateja wao

    Nimekupata, ndiyo maana nikasema ma ISP wa toe SLA kwa wateja wao. Kwa sababu itafanya iwe vigumu kwa mtu watatu kwenye kisa hiki "Sirikali" kuingilia kwa sababu wa kija na shindikizo ISP anasema na mkataba na mteja kama nikienda kinyume na mkataba mteja wangu atanishitaki na kunitoza faini je...
  9. K

    Kwa nini ma ISP wa Tanzania hawatoi SLA kwa wateja wao

    Ina kuwaje una chukua alama za videlo, majina yangu, anuwani ya ninapoishi wakati huo huo mdawote unajua nikowapi nafanya nini alafu mimi kama mteja nini ninacho pata? Kibaya zaidi nikwamba Hizo tarifa unazo zichukua wala huniambi utazitumiaje zaidi yakuniambia nikwajili ya usalama wangu mhh...
  10. K

    Je kuna ulazima kwa developer kujua kila component ya ide

    IDE ni nyenzo kama ms word, ms power point nk ili kufanya presentation "uwasilishaji" unaweza kutumia ms power point lkn siyo lazima nakama ume amua kutumia ms power point huna haja yakujua kila kipengele kama hukitumii, utajua vipengele unavyo vitumia mara kwa mara nakukua mdogo mdogo ...
  11. K

    The 5 Best Free Website Builders

    Kama unafahamu ECMAScript na css unaweza kutengeneza kitu moja matata sana na wala siyo rocket science na nibora kuliko wallpaper unaweza kutengeneza theme, template bila kusema webapp
  12. K

    Kwanini tuvuti nyingi za Tanzania zipo kwenye lugha ya kingereza

    Ndiyo hilo unalosema ni sahii lakini kwenye site za serekali na mashirika ya umaa sithani kama wao wako sahihi kuwa wanatumia kingereza hiyo haijakaa sawa kwa namna yoyote ile. Alafu licha ya lugha ya kingereza kua inatumika bado mauthui yenye kuelimisha ambayo jamii ingeweza kunufaika nayo iwe...
  13. K

    Kwanini tuvuti nyingi za Tanzania zipo kwenye lugha ya kingereza

    Kuna contradiction kwenye swala la lugha, lugha ya kiswahili ni lugha ya taifa nandiyo tunayo itumia lugha ya kingereza wanasema ni bussines language hapo ni siyasa. lakini hata kama by default tuseme tunaongea kingereza which is not true bado hizo tuvuti kwenye sector ya uelimishaji ziko...
  14. K

    Kwanini tuvuti nyingi za Tanzania zipo kwenye lugha ya kingereza

    wadau na ombeni msada wenu nashwindwa kuelewa kwa nini tuvuti nyingi za Tanzania zikiwemo za serekali na watu binafsi zinachapishwa kwa kingereza huku walengwa tukiwa ni raia wakawaida kabisa ambao wengi wetu hatuko vizuri na hiyo lugha hilo lakwanza jambo jingine nathani hili linakera...
  15. K

    Kama unahitaji kujifunza Maabara ya Unix kwa kiswahili

    "Bashswangish" >>>>> bash swahili english
  16. K

    Kama unahitaji kujifunza Maabara ya Unix kwa kiswahili

    Kwa yoyote yule anayetaka kujifuza mambo mabalimabali ya IT kwa kiswahili nimeanda maabara ambayo ni matumaini yangu ita tu saidia @2weed2geek | 2weed2geek
  17. K

    Kama unahitaji kujifunza Maabara ya Unix kwa kiswahili

    Kwa mtu yoyote yule anaye hitaji kujifuza unix na maswala mbalimbali ya cloud computing na SDN nenda @2weed2geek | 2weed2geek nimetengeneza lab ambayo nimatumaini yangu ita tufaa wote.
  18. K

    Na tafuta Muandishi wa kiswahili (Swahili Editor)

    Habari Wanajamii, Natafuta Mtu mwenye ujuzi wakuandika kiswahili Kama unaweza ku kubadilisha "translate" kutoka kizungu kwenda kiswahili ni vizuri zaidi kama nimuandishi wahabari ni vyema mno Diplama ya computer ni lazima Kama unasifahizo na uko "sirius" naomba uwasiliana nami kwanye...
  19. K

    Mwanzo walisema atuna elimu ila sasa atuna experience, nini tutarajie?

    ukiwa na expirence sana nalo tatizo kwa bongo, chamsingi watu wasiyo kuwa na ajira inabidi waungane kwa pamoja nakubuni mradi wa kujiajiri wenyewe Tatizo lanchi yetu haina Makampuni ma kubwa naviwanda novyo hakuna lakini pamoja nayote hayo "there is a lot of money to be maide"
  20. K

    HELP on Drupal site development

    unatumia WYSIWYG editor? angalia text formats huku disable au kudelete text format hakisha unapo tengeneza node mpya unatumia Full HTML kama input format yoko kwenye text naomba ungalia stuts report recent log message ina complain kuhusu nini?
Back
Top Bottom