Search results

  1. smallvile

    Moshi, Kilimanjaro: Mtoto wa miaka nane ameuawa na mama yake wa kambo

    Mbona kama ni story ya kitambo au matukio yanajirudia
  2. smallvile

    Manyonyo kuwasha sana usiku

    Unatumia uzazi wa mpango? Angalia bra unazovaa zonabana sana au unatumia any tight in Una allergy yoyote unayoifahamu katika mwili wako (pumu ya mapafu au ya ngozi, kutokwa na vipele vingi ukinyoa, kuwashwa sana Kwa kitu kidogo tofauti na wengine) Umebadili mavazi au aina ya mafuta cream lotion...
  3. smallvile

    What's your favorite movie line/quote?

    I am the commandment of God, if you have not committed a great sin God wouldn't have send one like me
  4. smallvile

    Nape mdogo wangu nakushauri anzisha chama chako

    Kwani lazima awe mwanasiasa? Siasa is not everything unless hi is everything to siasa
  5. smallvile

    Nawapongeza sana

    Unapotoa wasifu wao unasema kwamba ni wazuri INA maana unawajua Kwa sura au wameweka dp zao za uhalisia,, kuhusu wasifu wa uchangiaji humu ndani sina swali
  6. smallvile

    Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

    Kilichobaki tabiri siku yako ya kufa nadhani hiyo hutamwambia yeyote Kuhusu kutokua na hisia hao watoto ulionao wa kubambikiziwa au???
  7. smallvile

    Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

    Hilo ndo LA msingi inarange 30 mpaka 50 inawezekana kachukua ya Maji ila don't care nachojua hiyo ni dawa nzuri na ndio iliyopendekezwa evidence based kuwasaidia kina mama kuanza uchungu kama amefika miezi Tisa na Haina madhara Kwa mama na Mtoto tumwombee Afya njema ya uzazi
  8. smallvile

    Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

    Nashukuru kama unafahamu sasa ongeza na ethics zako utagundua hicho kinachofanyika tunatumia ignorance ya tunaowahudumia so hatutumii uzoefu kwamba hospital zinatumia Basi Hata kwenye mitandaoni tuandike
  9. smallvile

    Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

    Nikupe ushauri wa bure najua una elimu ya level Fulani naheshimu hilo Misoprostal haijaidhinishwa wala kuruhusiwa na wizara ya Afya ya Tanzania Kwa matumizi hayo so saying ukitumia ikimletea madhara Mgonjwa wizara INA uwezo wa kukusimamisha kazi Misopr imeidhinishwa wa management ya PPH PEKEE...
  10. smallvile

    Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

    Haya ndo yanatokea pale unapoomba ushauri kwa mitandao ushauri kwenu Mgonjwa mjamzito kukaa hospital siku Tatu tano bila kujifungua uchungu wa kweli ni kawaida Hospital nyingi za Tanzania hazina sawa za aina nyingi Tunatakiwa kuelewa majukumu ya kazi ya Dr na muuguzi Kuna tatizo LA kupata...
  11. smallvile

    SALA,U KWA TUNDU LISU

    Wacha kutoa povu Ndugu aliyekua harusini hahitaji mwaliko Kwa hiyo imekuumiza Kwa vina vya shairi Mungu Mpangaji
  12. smallvile

    HIzi chuki za wana CCM kwa Lissu zinasababishwa na nini?

    Wenye Haki mbele za Mungu duniani wanauwawa unajua Hata katika historia ya maandiko @Yesu maandiko ya dunia Gadafi waliosema ukweli na kiwapatia mafanikio positive wote walilipia Haki Kwa damu zao
  13. smallvile

    Nyalandu azidi kumpigania Lissu, kuangalia uwezekano wa kupata rufaa ya matibabu Marekani

    Unajua Hata katika maandiko kulikuwako na mgawanyo wa watu enzi za Yesu hawakuchangamana ila wale walioguswa na Mungu Samaria na wayahudi inwezekana kabisa Nyalandu ana mguso positive Nafsi iponyayo ndiyo itakayoishi
  14. smallvile

    Inawezekanaje kutumia milioni kumi kwa siku moja kwa matibabu ya Lisu?

    Omba ufafanuzi kuhusu hilo utaonekana wa busara
  15. smallvile

    Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

    Ngoja vijana waje wamwage povu APA Kutoka Chuo kikuu cha utotoni mpaka kumwaga damu September 7
  16. smallvile

    Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

    Kwani Wewe jinsia gani?
  17. smallvile

    Arusha imetakata na CCM

    Nadhani mpaka hapa majibu ya watanzania umeyapata sina haja kuongeza neno walisemaga wahenga ishakumu sii matusi
Back
Top Bottom