Search results

  1. M

    BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Ukisikia kuna watu wendawazimu ndo kama hawa. CCM watateseka sana, Slaa the president to be watake msitake. Jaribuni na kumuuliza JK wenu ni kwa nini hatumpendi tulio watanzania wa ukweli
  2. M

    BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Kweli mkia ni mkia tu hata kama ni wa mjusi!! Yaani Slaa aachie ukatibu!!!! Kuna watu wanatumwa vibaya! Siku zote naukumbuka msemo wa Masabuli.
  3. M

    Hiki Kinachoendelea UDOM Tunakijua sote?

    UDOM-Daima kitabaki chuo cha CCM, chuo chenyeye cha kichinachina, majengo hata hayajamaliza miaka 5 yameanza kubomoka! na mkumbuke kuna tetesi Gadaff anahusika na hicho chuo ila wezi wa pembe za ndovu hawataki tu kusema. Ukiongozwa na mtu anaeyeendekeza udini ujue haufiki popote...
  4. M

    Kuanguka kwa Sumaye na kupeta kwa mafisadi nini tafsiri yako?

    CCM wanakimbia kwa kasi kwenye mteremko wanajidai wanambia. Siku zote nitasema hakuna kisichokuwa na mwisho. Na niwachache sana waliowasafi CCM
  5. M

    Gari Moshi (Train) zaanza safari jijini Dar es Salaam!

    Lengo lako ni kumkomia mtanzania au? Usifanye kitu kwa kukomia but do kwa kumsaidia mtz
  6. M

    balaa gani hili jamani la reg.no!

    Nashukuru Mungu sana kwa kuniepusha na hili janga la T....CCM. Nilikuwa na mawazo sana na hiyo no. Pole mkuu I feel how much unaichukia CCM, cz na mimi naichukia ile mpaka hatari
  7. M

    CHADEMA furahieni kupoteza umeya wa jiji la Mwanza, ni bahati sana kwenu

    Mwanza, Mwanza nyumbani Naichukia CCM na inanipa shida sana ninaposikia neno CCM, Nakosa taha kabisa
  8. M

    Massele: Serikali yetu ni Dhaifu katika Usimamizi wa sheria

    Nipo jimboni kwake hapa kuna wasukuma wananiambia kuna mtoto wa kigogo mmoja ananunua pamba kwa bei ya kuwalangua wakulima Tsh 600 kwa kilo last year ilikuwa 1000-1200, na maroli yake yanapishana kama daladala za kwenda Kivukoni. Hii inchi noma, Tembea ujionee
  9. M

    PICHA: Godbless Lema alivyotingisha Jiji La Arusha Jana

    Nikiyaona magamba mimi mwenzenu nalia. Moyoni naumia"!!! Katika kuja kwangu humu duniani Chadema wanikosha, hakuna mwingine ila ni wewe tu CDM uliyebaki kuwa tumaini langu. Lema Lema ni wewe uliye wa watu na Mungu anakuona
  10. M

    PICHA: Godbless Lema alivyotingisha Jiji La Arusha Jana

    Asante sana Mo I real like the quote
  11. M

    PICHA: Godbless Lema alivyotingisha Jiji La Arusha Jana

    Mimi nakufa nafuraha hapa, hiyo kanzu na tai noma!! Nitaipata wapi mie hiyo? Viva Chama langu Mungu u naci
  12. M

    Wanyakyusa ni wahanga wa CCM?

    Plus yule dada secretary wa Mwakyembe aliuliwa kimyakimya na kwenda kuzikwa kwao Ipinda Kyela baada ya insue ya Mwakyembe kuwekewa sumu kusanuka
  13. M

    Wanyakyusa ni wahanga wa CCM?

    Na yule dada aliyekuwa secretary wa Mwakyembe umemsahau, alikuliwa baada ya insue ya Mwakyembe kugundulika kawekewa sumu kwa njia ya sabuni na kwenda kuzikwa kwao Ipinda Kyela
  14. M

    Mwigulu aendelea kufunika Igunga

    Umesahau nakuchukua maua ya watu
Back
Top Bottom