Search results

  1. Afyayaakili

    Wanafunzi ni kundi kubwa lililopo katika hatari ya kupata maambukizi ya Corona kwa urahisi. Nashauri shule zifungwe

    WAZIRI WA ELIMU, NAOMBA TUOKOE HILI KUNDI NGUVU KAZI YA TAIFA YA KESHO. Kwa hali inavooendelea huu ugonjwa kusambaa haikwepeki lakini ni lazima tupunguze namna ya ueneaji wake na katika jamii yetu ya Kitanzania na ulimwengu kwa ujumla kundi la wanafunzi lipo katika hatari kubwa ya kupata...
  2. Afyayaakili

    Mtoto wa Lowassa, Robert Lowassa (Bob) afunga ndoa leo na Stephanie Kaaya (Steph)

    Sherehe ilifana sana viongozi kiba wahudhuria akiwemo rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Mwinyi. VIONGOZI mbalimbali Wastaafu na waliopo Madarakani wakiongozwa na Rais Mstaafu Alli Hassan Mwinyi wamepamba harusi ya Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Robert Lowassa na mkewe Stephanie...
  3. Afyayaakili

    Lara 1 yuko wapi? au mambo ya ID mpya.

    Kuna sehemu nimepitia uzi wa zamani nikatokea kumkumbuka tuu, amepotelea wapi au kabadili ID. Nimemiss mastory yake
  4. Afyayaakili

    Wapi nitapata aina hii ya mifuko kwa Dar au Arusha

    Wadau naomba kujua wapi nitapata aina hii ya mifuko kwa bei ya jumla kwa Dar au Arusha. Au hata kama ushawahi kununua bei zake zinaendaje. Maan naona ndio itakuja kuwa mbadala wa mifuko ya nylon nahisi future ya biashara ya vibebeo iko huku.
  5. Afyayaakili

    Naomba kujua wapi wanasajili majarida ya matangazo

    Naomba mwenye kujua wapi wanasajilia majarida ya matangazo kama Advertizing Dar,Buy&Sel, City Advert ambayo wanayagawa bure lengo likiwa ni kutangaza biashara kwenye hayo majarida. Wenye ujuzi nataka kupata ISSN number kwa ajili ya hilo jarida.
  6. Afyayaakili

    Viongozi wa Tanzania wanajifunza nini kutokana na kifo cha Magreth Thatcher.

    Je viongozi wetu kuna lolote walilojifunza kutoka kwa Marehemu Magreth Thatcher katika kipindi cha uongozi wake na baada ya kifo chake. Ilikuwa ni ajabu na kweli miji mikubwa yote ndani ya UK ilifurikwa na sherehe za kufurahia kifo chake huku waandamanaji wakibeba mabango yenye ujumbe wenye...
  7. Afyayaakili

    Babangu alinidunga sindano yenye virusi vya UKIMWI

    Wakati babaake Bryan Jackson alipomdunga sindano ya virusi vya HIV mwanawe mchanga, alitumai kwamba hatamuona akikuwa. Hakuna mtu aliyedhani kwamba miaka 24 baadaye atakabiliana na mwanawe mahakamani ili kusikiliza athari za uhalifu alioufanya. Wawili hao walikutana mahakamani licha ya...
  8. Afyayaakili

    Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

    Hii imevujaa baada ya Adam Mchomvu kulopoka kabla ya tangazo rasmi kutoka afu wakajifanya kupotezea ila ndio ivo kesharopoka.
  9. Afyayaakili

    David mtoto wa Jack Robnson (Baseball player) aliyehamia na kuishi Tanzania

    David ni mtoto wa tatu wa Jack Robinson mchezaji mmarekani mweusi wa kwanza kucheza major league ya Baseball aliyekumbana na ubaguzi mkubwa wa rangi kipindi anaanza kucheza na kugeuka kioo cha jamii ya watu weusi marekani katika kupigania haki ya kukubalika na kupewa haki sawa na watu weusi hata...
  10. Afyayaakili

    Mtanzania anayefanya muziki UK, Tiggs da Author

    Huyu ni mtanzania ila bahati mbaya hapa home(Tanzania) hajulikani ila kwa UK naona yuko moto siku si nyingi atakuwa mbali sana. After spending his early childhood in Tanzania, Tiggs moved to London at the age of eight. By eleven, he had discovered music - but his tastes lived and died by what...
  11. Afyayaakili

    IMF: Uchumi wa Tanzania waongoza Afrika Mashariki

    Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi wake mwaka huu katika kanda ya Afrika Mashariki na kati. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la fedha la kimataifa - IMF. Katika ripoti yake iliyotolewa hii leo Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu cha ukuaji...
  12. Afyayaakili

    Mh Ndalichako: Scholarship Mozambique mwaka wa masomo 2015/16 tunaomba mwongozo wako.

    Wanafunzi waliochaguliwa scholarship za Mozambique mwaka wa masomo 2015/16 mpaka sasa hawaeleweki wataondoka lini au ndio zishaota mbawa maana walitakiwa kuondoka mwezi wa 2/2016 lakini mpaka leo wanapewa majibu yasiyoeleweka na wizara kwa kutokuelewa kuwa wataondoka au ndio basi tena. Wenzao...
  13. Afyayaakili

    Matangazo ya Kenya, Uganda na Rwanda Air yanatuvua nguo

    Nikisikia matangazo ya mshirika tajwa hapo juu ya ndege ambayo ni ya Africa Mashariki huwa napata msononeko sana moyoni naona kama Tanzania viongozi wake hawapo serious kabisa. Vitu ambavyo vingekuwa chanzo cha mapato makubwa kwa taifa hasa ambalo lina vivutio vya kutosha vya kitalii ambavyo...
  14. Afyayaakili

    Syndicate ya drug delears Tanzania-South Africa

    Pushing heroin through South Africa: The telephone line distorts. “We need to hurry up man, seriously dog,” says Mark*, the American voice on the one end of the line. “If these people leave, somebody owes me money, dude, because I am not carrying that shit.” “Okay, there is no problem...
  15. Afyayaakili

    Serikali itangaze kufuta ajira kwa viongozi wote wa Mashirika ya Umma na Halmashauri

    Naona karibu taasisi zote za serikali wakuu wote walioudumu katika kipindi kilichopita wana harufu ya ukiukwaji wa maadili katika utendaji wao au kushindwa kuwasimamia wafanyakazi waliochini yao. Sasa naona ni muda mwafaka kwa serikali kutangaza kufuta ajira zote za wakuu katika halmashauri na...
  16. Afyayaakili

    CUF yatangaza kutoshiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

    Baraza kuu la chama cha CUF chini ya mwenyekiti wake wa muda wametangaza kutokushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar. ============================== AZIMIO LA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA KUHUSU TANGAZO LA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR LA KUITISHA UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR...
  17. Afyayaakili

    Hongera Prof. Peter Lawrence Makenga Msoffe UDOM

    Prof Msofe ni jembe sana na msaada sana kwa wanafunzi hasa undergraduate wanamjua sana na naona hiyo kamati iliyomchagua imeaona mbali, bravo. APPOINTMENT OF DEPUTY VICE CHANCELLORS OF THE UNIVERSITY OF DODOMA The Chancellor of the University of Dodoma; H.E. Benjamin William Mkapa has...
  18. Afyayaakili

    Paul Biya resigns as President of Cameroon

    False rumours that the long serving President of Cameroon, Paul Biya, who has been in power for 33 long years and is 82 years old, had resigned spread on the Internet on Wednesday and Thursday morning. Although the information is false according to officials, it might be an attempt by some...
  19. Afyayaakili

    Wizara ya elimu hawako serious na website yao.

    Ni muda mrefu kidogo toka website ya wizara muhimu ya elimu kutokuwa hewani sijui watu wa IT wa wizara wanafanya kazi gani au kazi yao kubadilisha wino kwenye pinter
Back
Top Bottom