Search results

  1. Gazzer

    NNAHITAJI SIDE MIRROR YA KULIA SUBARU IMPREZA WAGON YEAR 2009

    Nnaomba kwa wanaouza spare za subaru tuwasiliane, nnatafuta side mirror ya kulia subaru impreza 2009 colour grey mecca, cc1490... 
  2. Gazzer

    Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

    naomba kuelimishwa kuhusu ukubwa wa engine na utumiaji wa mafuta,....maana nilivoona subaru ina cc 1490 na Raum ina cc1490 nikajua FUEL consumption ni sawa .
  3. Gazzer

    Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

    Asante!! ila nilivoona cc 1490, nikajua fuel consumption ni level za RAUM.
  4. Gazzer

    Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

    Kama kichwa kinavojieleza, mwenye uzoefu na hizo gari naomba msaada kujua 1.fuel consumption 2.upatikanaji wa spea 3. Uwezo wa kuhimili barabara ya vumbi
  5. Gazzer

    Anaeifaham subaru impreza 2008/2007 anisaidie kuijua mapungufu yake na uwezo wake

    Tafadhali anaeifahamu subaru impreza 2008/2007 anisaidie kuijua mapungufu yake na uwezo wake...(uimara, matumizi ya mafuta na speed). Mimi nimeipenda kwasababu ya cc 1490 ila siifahamu kiundani zaidi.
  6. Gazzer

    Dish la KU_band na receiver ya FTA ukiset vizuri unaweza kupata channel ngapi wakuu?

    WATAALAM HABARI YA JIONI..... NILINUNUA DISH LA DSTV NIKIWA NAFAHAM KUWA NNAWEZAANGALIA MATCH ZA UEFA KWA GHARAMA NDOGO, LAKINI BAHATI MBAYA GHARAMA NI KUBWA SANA, NAOMBA MSAADA JINSI YA KUWEZA KUPATA MATCH KWA GHARAMA NDOGO KWA KUTUMIA DISHI NA KING'AMUZI VYA DSTV AU KING'AMUZI GANI NINUNUE ILA...
  7. Gazzer

    DStv decoder na USB PORT

    WATAALAM HABARI YA JIONI..... NILINUNUA DISH LA DSTV NIKIWA NAFAHAM KUWA NNAWEZAANGALIA MATCH ZA UEFA KWA GHARAMA NDOGO, LAKINI BAHATI MBAYA GHARAMA NI KUBWA SANA, NAOMBA MSAADA JINSI YA KUWEZA KUPATA MATCH KWA GHARAMA NDOGO KWA KUTUMIA DISHI NA KING'AMUZI VYA DSTV AU KING'AMUZI GANI NINUNUE ILA...
  8. Gazzer

    Nini tofauti kati ya C band na KU band?

    WATAALAM HABARI YA JIONI..... NILINUNUA DISH LA DSTV NIKIWA NAFAHAM KUWA NNAWEZAANGALIA MATCH ZA UEFA KWA GHARAMA NDOGO, LAKINI BAHATI MBAYA GHARAMA NI KUBWA SANA, NAOMBA MSAADA JINSI YA KUWEZA KUPATA MATCH KWA GHARAMA NDOGO KWA KUTUMIA DISHI NA KING'AMUZI VYA DSTV AU KING'AMUZI GANI NINUNUE ILA...
  9. Gazzer

    Astra 2f @ 28'e,nilesat 7'w,eutelsat 16'e

    WATAALAM HABARI YA JIONI..... NILINUNUA DISH LA DSTV NIKIWA NAFAHAM KUWA NNAWEZAANGALIA MATCH ZA UEFA KWA GHARAMA NDOGO, LAKINI BAHATI MBAYA GHARAMA NI KUBWA SANA, NAOMBA MSAADA JINSI YA KUWEZA KUPATA MATCH KWA GHARAMA NDOGO KWA KUTUMIA DISHI NA KING'AMUZI VYA DSTV AU KING'AMUZI GANI NINUNUE ILA...
  10. Gazzer

    IPTV, BISS,IKS,POWERVU, Tandberg(satstar)

    how do i get your product and the mode of payment
  11. Gazzer

    Uliza chochote hapa kuhusu vingamuzi au dishi

    MALIPO YA BEING SPORT YAKOJE,,,,,BEI YA KUNUNUA NA KULIPIA KWA MWEZI.
  12. Gazzer

    Naomba msaada, king'amuzi gani ambacho sio cha kulipia kwa mwezi

    Nnaomba msaada ,ni king'amuzi gani ambacho sio cha kulipia kwa mwezi ambacho ninaweza kupata mpira league ya uingereza....Na bei yake ni shilling ngapi?
  13. Gazzer

    Natafuta mke, nipo serious

    Ni kijana wa miaka 27 nipo Mwanza (kikazi) natafuta mchumba/mke umri kuanzia 18 na kuendelea, ni pm kwa mawasiliano zaidi.
  14. Gazzer

    Natafuta mpenzi ambaye atakuja kuwa mke

    Mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwislam,nipo Kanda ya ziwa, natafuta msichana mwenye akili ya maisha, haijalishi mkoa gani yupo, umri chini ya 27 au 27 dini sio kigezo sana, elimu sio kigezo piah, awe na malengo kimaisha. #ni pm#
  15. Gazzer

    NSSF, PSPF, LAFP: Ni mfuko upi mzuri zaidi kati ya hizo?

    Naomba kufaham ni mfuko upi wa pension ambao ni mzuri 1.malipo 2.process za ufuatialiji malipo 3.na services zinazotolewa
Back
Top Bottom