Mimi ni mbongo kama ulivyo wewe lakini tukiwatenga wazanzibar tukidhani sisi ni wamoja tunajidanganya. Ukishajitambulisha kwa ''u-bongo'' wako utakuta walokuzunguka si ndugu zako,kabila lako,rangi yako au dini yako. Kama kweli mimi na wewe wote ni wabongo mbona ukienda lala unafunga mlango kama...
Nakushauri nenda ofisi zao utapata utaratibu kamili, kwa waliokwisha enda nimeambiwa ni laki mbili kama nyumba haiko mbali kiasi cha kuhitaji kuweka nguzo.
Mnasema Lowassa ni Tajiri ana uwezo wa kununua wajumbe na ameshaweka mtandao wa kumpitisha 2015! Kumbuka pia J.K.Nyerere aliwahi kusema yafuatayo baada ya kucheki afya yake ''Hivi sasa nina afya njema na nina uhakika nitamwona Rais ajaye wa awamu ya nne yaani 2005'' Je alimwona?
Kumbukeni...
Zitto tusikilize ushauri wake wa nini wakati alishauri nchi inunue haraka mitambo ya Dowans la sivyo nchi itaingia gizani wengine tulianza kumwamini... Loh: Kumbe mgao ulikuwa wa kutengeneza!
Nani alikuwa nyuma yako Zitto ukatusaliti Watanzania bila hata huruma! Shukuru sana uko Tanzania...
Serikali itangaze kuwa UAMSHO NI KIKUNDI CHA UGAIDI KAMA ALIVYOSHAURI MZEE MWINYI ALIYEKUWA RAIS WA AWAMU YA PILI! Hapo itakuwa rahisi kulitatua suala hili maana wakitangazwa magaidi, Serikali itawashughulikia kwa sheria za ugaidi zilizopitishwa na Bunge. Pia Marekani watakuja kuwachukua watu...
Serikali ya Muungano uisemayo ya baba mwenye watoto wawili haipo! Iliyopo ni Serikali mfano wa Baba aliyeungana na Mama, na Akazaliwa mtoto(Tanzania), Baada ya kuzaliwa mtoto, Baba akafariki, mama akaendelea kuishi, Utakubaliana nami kuwa baba aliendelea kuishi kupitia mtoto kwa maana mtoto...
kweli itabaki kuwa kweli hata kama kweli hiyo inatoka kwa kinywa cha adui yako!
Serikali tatu zitaongeza mzigo kwa wananchi na itashawishi kuvunja muungano!
Wazanzibari au watanganyika wenye mawazo ya kujitenga hawatabaki salama kamwe.
Sisi ni watanzania chonde chonde tusichague uasi bali...
hoja hapa sio wao wazanzibari na sisi watanganyika! Watanganyika tusijidanganye kuwa tutabaki salama baada ya kushabikia zanzibar wajitenge, tambueni wanasiasa ndo wanaowashinikiza wananchi kujitenga.
Tujivunie utanzania wetu na si utanganyika au uzanzibari kwa sababu sisi ni ndugu wamoja...
Kama ulipita shule kidogo utakubaliana nami kuwa 1+1=2 na sio 3, Kama unaunganisha wanandoa 1+1=1 yaani wawili wanakuwa kitu kimoja. Nakubaliana na Mawazo chanya ya Nyerere ya kuchagua Serikali mbili badala ya moja sababu alihitaji muda kuunganisha watu ili waelekee kwenye ndoa kamili ya...
Tunaandika katiba mpya sababu kuu ikiwa kwamba iliyopo ina viraka vingi, Iwapo tumefika 2015 na haijakamilika, Tutaweka kiraka kingine cha kuruhusu tume huru ya uchaguzi? au tutakubali kuingia uchaguzi 2015 kwa katiba hii hii yenye kutambua Tume ya uchaguzi iliyo chini ya Rais? Lipi gumu...
Edward Lowassa kupendekezwa kugombea urais zitabaki kuwa ''Ndoto'', Tena ndoto ya mchana kweupe ni Kufikiria kuwa anaweza kuchaguliwa na watanzania kuwa Rais 2015.
WANANCHI HIVI SASA HATUFIKIRII NANI ATAKAYEKUWA RAIS 2015, BALI KATIBA MPYA ITAKAYOTENGENEZA MSINGI NA MFUMO BORA WA KUONGOZA...
Ni makosa makubwa kufikiri kuwa Lowassa,Sitta,Membe,Zitto,Makamba au A.Migiro wana nafasi kuongoza nchi kwa tiketi ya C.C.M au chama chochote cha Upinzani!
Nionavyo mimi Rais Kikwete ataendelea kuwa madarakani hadi nchi ipate katiba mpya kwa shinikizo la wananchi na huo ndo utakuwa mwanzo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.