Search results

  1. mk4

    JE KUNA FUNDI SIMU ANAETUMIA LCD SEPARATING FREEZER KWA DAR ES SALAAM

    Boss hacha ushamba kariakoo zipo kibao izo machine wanachikufanyia hao watu unawaona mtaa ni kukuficha kuwa machine izo hakuna ili uwape simu yako wakafanye iyo kazi kwa watu wenye machine Hakuna machine kariakoo za simu kariakoo hakuna tafuta mtu aliyopo ambaye siyo dalal kariakoo atakuonesha...
  2. mk4

    Wajuzi wa malorry Lorry gani zuri kati ya DAF, SCANNIA, MAN, ACTROS au VOLVO,

    Unataka kufanya kazi gan na iyo gari kama kazi ni ngumu kama kufuta trailer la kokoto au kwenda rafu road chukua howo au faw ndio gari za kazi ngumu na spare bei chini Kama transt chukua scania inategenezeka na spare bei chini Kama ndio unaanza nakushaur sana chukua scania Benz ni nzur kuliko...
  3. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Lugha yako tu inaonyesha ni masikini hata kama unaela basi umetoka kwny umasikini sana
  4. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Ww nenda pale utajua bei na hutacha kubishana vitu husivyokuwa unajua kama mlevi
  5. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Hacha kutumia lugha chafu kwa kitu ambacho hakikusaidii kitu huwezo wa kununua hata rav4 hapo huna sema unatumia lugha kali ivi Unaonesha ni mtu wa namna gani Ni mtu wa hali ya chini so sibishani na ww tena coz nimeshajua ww ni mtu wa hali gani coz ya maneno unayotumia Umeshinda
  6. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Bei ya iphone miliman city 2000 usd kwa iphone 12 pro max lakin iyo iyo simu iphone 12 pro max inauzwa 1000 usd usa kwny apple store zao Inategemea na deal anauzaje ? Deal wa toyota tanzania anabei juu lakin anafanyia service iyo gari kwa miaka ata mitano inakuwa chin ya usimamizi wake Toyota...
  7. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Hayo ni manenno yako so hakuna shida lakin siyo kweli
  8. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Unafanyanisha land cruiser na izo box za mmarekani cadillac escadale gmc hahahahahahah! Hacha kufananisha land cruiser na vitu vya kijinga Land cruiser bei yake ni kama mara mbili ya escalade angalia mwenyewe soko la marekani
  9. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Boss naona kama unaleta ubishi nimekwambia sheria ya tanzania harusu kununua kitu chochote used liwe gari ndege au boti sasa unavyoniambia kuwa kuna magari serikali imepiga mnada sasa mm naongea sheria ya manunuzi ww unaleta ubishi nashindwa kulewa unataka nn ?
  10. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Used ya bongo lakin siyo used yakutoka nje Wanauza used za wateja wao walio unua hapo na kurudisha ili wachukue gari nyingi
  11. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Tena hapo custom value imeshuka coz inatakiwa iwe kama 95,000 usd ivi
  12. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Ndio maana ile ishi ilileta tatizo ubungeni kipindi kile Na kumake headline sana kwa kila mtanzania coz sheria ya manunuzi ilipindishwa
  13. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Kuna mzungu moja alikuwa anatoka uswiss kuja bongo kwa mara ya kwanza alikuwa anataka kutoa misaada kwny ego moja hapa mjin sasa tunatoka kumchukua airport tunaenda nae Ostabay njian anaona vx kibao yanaposhana mpaka tunafika Ostabay next day tukamchkua kwenda nae mjini. Mzungu akachoka akabidi...
  14. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Nenda pale toyota tanzania uliza bei watakwambia tu alafu mje kuongea hapa Coz wote hajui iyo gari ni bei ngap?tusibishane kesho nenda pale post ya zaman wanazo watakwambia vx-r bei ngapi 2019
  15. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Serikali hainunui mitumba baba sheria ya Tanzania haruhusu kununua gari used unaweza kufungwa harusiwi hata siku moja hiyo ni petrol hamna gari hapo ni kuweka mafuta tu kila siku
  16. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Toyota Tanzania hawauzi gari used mkuu ni 0km tu Na ni ya mwaka 2019 iyo bei ipo juu sana. Usifananinshe hiyo gari ya toyota Tanzania na zile used za Japan ambazo ni petrol zinakula mafuta sana. Hiyo ni ya diesel bei yake ipo juu na inakula mafuta vizur sana
  17. mk4

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Unafanyakazi toyota tanzania au unaongea tu ww
  18. mk4

    Mtu yeyote anayefahamu kuhusu stock market za international msaada please

    Ndio nataka kununua hisa bt nataka kupata mbongo mwenye experience kwenye kununua online. Broker mzuri wanamsifia anafanya kazi mpaka bongo ni interactivebroker Nachotaka mm kupata mtu hapa bongo mwenye experience kwny ili coz step zote naweza lakin unaweka ela unaweza kosea kitu kidogo ela...
  19. mk4

    Mtu yeyote anayefahamu kuhusu stock market za international msaada please

    Mimi nataka kujua kuhusu stock market na siyo forex currency Nataka kununua share kwny makampuni makubwa kama vile facebook,tesla, cocacola, amazon nasiyo forex currency Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom