Search results

  1. TANMO

    ZANZIBAR: 9 Died & 78 People Hospitalized After Eating Sea Turtle Meat On Pemba Island

    Huenda ni kwa vile ajali zinaua watu mara nyingi na bado watu wanapanda magari..
  2. TANMO

    Yawezekana kabisa Tanzania inaongozwa na watu ambao hawajawahi kabisa hata kuisoma kabisa!

    Huenda hatuongozwi, bali tunatawaliwa. Huenda wanaotutawala na watu wajinga, wasiojua Katiba ni nini. Huenda kwa ujinga wao, basi wanaamini kuwa uongozi ni kufuata Utashi wao na siyo kuzingatia Matakwa ya Katiba. Na huenda kwa ujinga wao, wamewakumbatia wale wanaowasujudia na kuwalamba viatu...
  3. TANMO

    Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

    Kwamba kipimo cha Uanaume ni kufuatilia kitu ambacho huna Interest nacho? Kufatilia Mpira ama Ndondi zinaongeza nini kwenye Uanaume ama napungukiwa na nini nisipojishughulisha navyo?
  4. TANMO

    Steve Nyerere: Uchaguzi wa 2020 niliwekewa Sumu kwenye Chakula (Kitimoto) lakini namshukuru Hayati Membe aliingilia Kati

    Wamesema ni mpinzani wa Mchungaji Msigwa kule Iringa, huku Dar hatumjui pia...
  5. TANMO

    Abdulrahman Kinana: Chaguzi za 2019 na 2020 zilileta hofu, Mwaka 2024 na 2025 zitakuwa za Huru na Haki

    Niwahakikishie Rais Samia Suluhu Hassan ameamua uchaguzi mwaka huu na mwakani mtaachwa wapiga uamuzi wao utoe tafsiri ya uchaguzi.
  6. TANMO

    Miaka ya 90 pale uwanja wa ndege mzee Mwinyi aliwahi kunipa hela, fulana kwa mkono wake mwenyewe kisha akanambia maneno haya...

    Enzi hizo hapakuwa na hizi Takataka zinazojiita Chawa. Viongozi walikuwa Real, hawakuwa wakipewa sifa za Uungu na wala kujiona wao ni Wa Pekee kama ilivyo sasa.
  7. TANMO

    Mama anang’ang’ania kunifulia nguo zangu.

    Mpaka unalia mkuu? Pole sana.
  8. TANMO

    Huyu binti simuelewi. Naombeni ushauri

    Marahaba, Inatakiwa ukue kwanza. Usiyaharakie mapenzi ilhali hujakua bado, yatakusumbua na utaishia kufeli masomo...
  9. TANMO

    MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

    Nenda Hospitali utapata tiba sahihi. Ukipata Urologist mzuri tatizo lako linatibika kabisa. Huenda una low testosterone.
  10. TANMO

    Adela Tillya wa Wasafi mwanamke huyu ananikosha sana

    Unajua mpaka na anaposali, lakini umechagua kuja kumtafutia humu JF?
  11. TANMO

    Zuchu atangaza kuachana na Diamond Platinumz

    Kama kanabwia unga nguvu za kukaza katatoa wapi?
  12. TANMO

    Usiombe ukachukiwa na mwanamke, utajuta, wanawake wanajua kuchukia

    Sasa yeye akikuchukia, wewe inakuhusu nini?
  13. TANMO

    Wanawake hamna maajabu, tunatumia pesa nyingi bure!

    Sawa ngoja na sisi tuendelee kuwachakata, muda ukifika sisi pia tutasema Wanawake hawana maajabu...
  14. TANMO

    SPIKA TULIA ACKSON: Tujadili vitu vya muhimu Bungeni Ila sio Kuuliza kuhusu Maswala ya vyoo

    Spika amewaza Serikali imemnunulia V8 la Nusu Bilioni na huku kuna Mashule na Taasisi za Serikali hazina Vyoo, huenda nafsi imemsuta akaona azime mjadala kibabe...
  15. TANMO

    Hatimaye Boss kaoa

    Aisee! Pole sana Mkuu. Still there's a hope..
  16. TANMO

    Kuna wanawake Wana roho mbaya, aibu hawana na kujificha hawawezi

    Wanawake ni Wabinafsi by nature.. Ndiyo Maana kesi za Mama wa Kambo kunyanyasa watoto hazitaisha..
Back
Top Bottom