Search results

  1. M

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Sawa Mr Bright, Mie naona kama kuna mtu anahitaji kufundishwa udhaifu wa mwanamke katika nyadhifa za uongozi ni wewe. Mwanamke ameubwa kutoka ubavuni mwa mwanaume. Mwanamke ana kazi anazoziweza na si zote. Ebu kwa uelewa wako nitajie mbunge yeyote wa chama chochote hapa bongo mwanamke unayeona...
  2. M

    Somo la maadili shuleni laja

    Ni hatua nzuri sana. Walijisahau mno. wakitaka kufanikiwa katika somo hili ni kuwaajili walimu wa Kiroho. Kwani ili mtu awe na maadili lazima awe Imani ya kumtambua Mungu. Pia serikali ipige marufuku mavazi ya ajabu ajabu kuuzwa na kuvaliwa nje ya nyumba. Uniform za kumdharilisha mtoto zipigwe...
  3. M

    Chadema yabeza V4C ya CUF

    kaka acha wivu, kwani kama wameiga wao ni wakwanza? Mbona cdm inaiga mengi tu na hauyasemi? CCM ilikuwa imejikita kufungua matawi huko ulaya wana cdm wakaongea sana humu Jf na matokeo yake sasa hivi cdm ndio imeshika kasi hilo ni moja, CUF ndio chama cha kwanza kuanzisha move ya kudai katiba...
  4. M

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    nyie hamjajua tu, ila ukweli ni kwamba wabunge wanawake hawana uwezo wa kuwakilisha jimbo. Nafasi sahihi kwa wanawawe ni ubunge wa viti maalum. Mdee alikuwa viti maalum ghafla mkamkabidhi jimbo kitu ambacho yeye haoni kama ni dili sana kwake. Yeye kugombea kawe ilikuwa shinikizi la chama chake...
  5. M

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Hata mimi mwanzo nilidhani ivo ivo baada ya kuwachunguza sana wanasiasa nilikuja kuamini kuwa wanasiasa ni watu wa ajabu sana, huwa wanawachezea wananchi kisaikolojia kwa kuyaongea sana yale madhaifu ya serikali iliko madarakani ikijiaminisha kwa wananchi kuwa wao ni ufumbuzi wa matatizo hayo...
  6. M

    CHADEMA imekiri kufadhiliwa kutoka nje ya nchi katika shughuli zake za kujijengea uwezo

    kama ni ivo kosa la nape ni lipi? kwanini cdm wamefungua kesi. mpaka hapo cdm wamengizwa mjini kufungua kesi
  7. M

    Wabara wanaoishi Zanzibar kupewa vitambulisho vya wageni Zanzibar

    Ama kweli wanadam tuna matatizo,hilo la wao kutoa vitambulisho vya uzanzibar mnaliona kero ama la wanaotoka zanzibar kuja bara na mizigo kulipishwa hamlioni kama ni tatizo. Leo ukinunua TV ukaenda morogoro kuna chochote unacholipishwa pale mikese? Ile ni nchi nyingine acheni ajipangie taratibu...
  8. M

    Wabara wanaoishi Zanzibar kupewa vitambulisho vya wageni Zanzibar

    kama tanganyika ipo hai basi utakuwa sahihi
  9. M

    Vodacom tz kwafukuta..

    Bado hujaelewa kumbe, NSN siyo Vodacom. Vodacom iliwaachisha kazi hao wafanyakazi na iliwalipa, kwahiyo kwa sasa si wafanyakazi wa vodacom, why are you calling them vodacom? ungesema NSN staff working at vodacom project kwafukuta, I think ungekuwa very correct. TCRA au wizara ya akina makamba...
  10. M

    Rais Kikwete na mkewe safarini nchini Kenya

    Ama kweli huu uhuru wa kila mtu kuongea vile atakavyo sasa inamgharim. Jamani mie nimekuwa vistor kwa kipindi kirefu sasa nimeona nijiunge nami niweze kutoa mawazo yangu ili kujenga nchi.
Back
Top Bottom