Search results

  1. K

    Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

    Huyu Dau amenikera nimemchukia na ukoo wangu wote, yani hii nchi mnyonge mnyongeni, kwavile wao wameshajilimbikizia mali wana zakuwatosha. Leo hii nisubiri miaka 55 naishi nyumba mbavu za mbwa, watoto hawakusoma, hiyo hela itanisaidia nini wakati huo, nguvu yenyewe sina wakati huo hata nguvu...
  2. K

    Kumbe alikuwa na kumi na mmoja!

    aisee huyo jamaa alieshuti ni mtu muhimu atapatikanaje
  3. K

    Hii imetokea mda si mrefu Arusha

    hebu toa maelezo ya picha ulivoona ni toyo au kisu,, dah pole mtu wangu
  4. K

    Hata hapa bongo tunaweza kutoboa miamba

    https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=64965&stc=1&d=1347626664
  5. K

    Hadi kieleweke kitoweo lazima tupate

    https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=64963&stc=1&d=1347626104
  6. K

    Tanesco yaanza ku-bp wananchi Arusha

    Naona wewe Wagaba ulikuwa zzzzzzzzzzzzz hukujua kilichoendelea usiku unaweza ukaibwa na familia yako bila kujitambua! kwa kawaida Tanesco ndo wakwanza wangetoa tangazo lkn wamekua kimya na si maramoja, mambo ya simu hayajaanza leo kutoa report za uongo kumbe kuna uhalifu either unatendeka mahali...
  7. K

    Baraza kuu UVCCM wailaani CHADEMA kwa siasa za fujo na mauaji; Je, ni sawa?

    CCM hawajickii vibaya hata kusema wanakikao na kuanza kujadili m4c??? Nafkiri hawana kazi kila kukicha wanakuna Vichwa kuhusu cdm maana ni kiboko yao, mauwaji yanafanywa na uongozi wao na sio chadema,siku zote cdm ikiwa na mikutano yake polisi wasipokuwepo hakuna kinachoharibika NI AMANI FULL...
  8. K

    Mahakama yaamuru Mbowe akamatwe

    Walikuwa wapi siku zote hii nikupotezeana muda tu kwa vile wanajua tuko kasi m4c, isitoshe wakili wake anatosha kumuakilisha. waache ujuha....
  9. K

    Tanesco yaanza ku-bp wananchi Arusha

    Tanesco tunaomba kupata taarifa,tatizo la kukatika umeme toka juzi masaa ya jioni kuna tatizo gani????????? Usiku umeme unakatika karibia mara 5 na kurudi mnatuharibia vyombo, tupeni taarifa kuna tatizo gani???:baby:
  10. K

    Arusha Press Club tumeaibisha - Kifo cha Mwangosi

    Waandishi woga wekeni pembeni jikomboeni, hii serikali bila bango haitendi haki,tafadhalini jikomboeni tutawaunga mkono, bila nyie tutauwawa wengi na kuchimbiwa kimyakimya nani atatuhabarisha.
  11. K

    Makamanda nishati na madini kiboko

    At list kuna ka mwendo sijaona tatizo la umeme, ufisadi ulikua ndani yake
  12. K

    Mapokezi Ya Filikunjombe Yatikisa Ludewa

    Hilo gari lenye mchanganyiko wa bendera ni sawa na kila penye mamba na vimijusi vimo
  13. K

    CHADEMA na KUSADIKIKA...

    Ccm itakuja kusahaulika hadi kwa watoto wetu
  14. K

    Tume ya waziri Nchimbi ya kuchunguza mauwaji ya Mwangosi yaibiwa hotelini

    waunde tena tume yakuchunguza laptop kuibiwa maana kila kitu kinaundiwa tume, TUME + TUME = TUMEZ
  15. K

    TUME ZA SERIKALI NA CHAMA TWALA CCM Ni UFISADI NA USANII.

    Itabaki kitendawili, kwanza misielewi tume zahapa tz kila kitu tume lakini matokeo hatupewagi
  16. K

    Dr Peter Dalaly Kafumu apata ajali

    huenda anatembea na karai anaona kila tukio la kisangoma
  17. K

    TAHARIRI: Hili la kuchimba dawa Mh. Mwakyembe hajajipanga

    tatizo kuna watu wanapenda kula mno njiani bila kujua hata usafi wa anachokula,mf mtu anatoka moshi -dar kila basi likisimama anashuka kwenda kula ataacha kuchimba dawa kila kichaka, kukaa kutwa nzima bila kula utakufa? kwa mantiki hiyo vyoo vijengwe basi, kama mabasi yangeweka vyoo vya ndani...
  18. K

    Udanganyifu wa kampuni ya madini (WAANIKWA)

    kila siku tz tunapigwa changa la macho tu
Back
Top Bottom