Search results

  1. Olsea

    Kuhusu Nissan bluebird

    Asante sana Mkuu,na vipi upatikanaji wa spea sio shida?
  2. Olsea

    Kuhusu Nissan bluebird

    Habari zenu Wakuu natumaini muwazima…kuna hii gari inaitwa Nissan bluebird yenye 1490cc,nilikuwa naomba kwa yeyote anayeijua je ni nzuri kwa kuzingatia upatikanaji wa spares na matumizi ya mafuta?
  3. Olsea

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sikonge Tabora umeme ulikatika jumamos saa 2 usiku umekuja kurudi leo jumatatu saa 1 jion na ilipofika saa 3 usku umekata tena,imagine toka jumamos umeme haujaonekana mpaka leo jumatatu si hatari hii.
  4. Olsea

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mgao wa umeme utapungua lini kwa watu wa Sikinge Tabora?kila siku tunashinda bila umeme hata leo,jana n.k
  5. Olsea

    Je, inawezekana kuchaji battery za solar kwa umeme wa Tanesco?

    Mkuu mm natumia 300W kuchajia 150Ah,kabla ya hapo nilikuwa nachajia 200Ah.
  6. Olsea

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sikonge Tabora siku ya 3 mfululizo leo hatuna umeme,kila siku unarud saa 6 au 7 usiku then asububi kabla watu hawajaamka unakatika.
  7. Olsea

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sikonge Tabora siku ya 2 leo hatuna umeme na hadi saa hz inaenda saa 5 usiku haujarudi.
  8. Olsea

    Je, inawezekana kuchaji battery za solar kwa umeme wa Tanesco?

    Si chini ya masaa 7 tv inchi 40,na kuchaji simu ndogo iphone se third generation.
  9. Olsea

    Je, inawezekana kuchaji battery za solar kwa umeme wa Tanesco?

    Inverter ni Watts 300 na sio Charger controller,natumia Hisense smart tv inchi 40 inasukuma masaa si chini ya 7 na huwa nachaji simu Mkuu.
  10. Olsea

    Je, inawezekana kuchaji battery za solar kwa umeme wa Tanesco?

    Mkuu huwa naweka chaji pindi umeme ukiwepo tu maana huku huwa unashinda jioni unakatika,ila inajaza kabisa mpaka 14.5V..wakat mwingine tunashinda bila umeme so huwa natumia jion umeme ukirudi nawasha inachajiwa had asubuhi,ni kitendo cha kuwasha switch tu
  11. Olsea

    Je, inawezekana kuchaji battery za solar kwa umeme wa Tanesco?

    Mkuu inawezekana kabisa hata mimi natumia hivyo,nina battery 150Ah na inveter ambayo ina chaji battery umeme ukiwepo inajaza tena full kabisa,umeme ukikata kuna switch nabonyeza tu kwenye hyo hyo inverter naendelea kula maisha na smart tv inch 40..inverter nimenunua 50k ila kwa mjini nina...
  12. Olsea

    Naomba kujuzwa kuhusu Honda fit

    Ngoja nitafute ndugu.
  13. Olsea

    Naomba kujuzwa kuhusu Honda fit

    Habari wadau,sina uzoefu kabisa wa Magari ila kuna hii gari inaitwa Honda fit naziona sana zinauzwa bei rahisi kiasi kwamba naona kabisa naweza nikaimudu kununua.Naomba kuuliza wazoefu kuhusu hii gari hasa upande wa mafuta na upatikanaji wa Spare parts zake kwa matumizi ya kuendea na kurudi...
  14. Olsea

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Arsenal ilikuwa apigwe la 3 jamaa kavuta mtu jezi.
  15. Olsea

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah nilivyoona Aston villa 2:2 Burnley nika cash out maana nilimpa Aston villa ashinde & over 1.5,matokeo yake nikapata 4000,kuja kuchek livescore Aston villa kashinda imeniuma sana kukosa zaidi ya 60K.
  16. Olsea

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu mm nilichek game,Refa hakuenda kuangalia yeye kama yeye zaidi ya kufanya mawasiliano tu.
  17. Olsea

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Imegoma kabisa Mkuu nina wasi wasi sana.
  18. Olsea

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau mbona leo niki log in Betway naambiwa account does not exist..nn shida tena na kuna hela zangu?
Back
Top Bottom