Search results

  1. mwathu

    Hivi wanawake wote wangekuwa kama Joyce Kiria ingekuwaje?

    Huenda uelewa wangu ukawa ni mdogo basi nitaomba kuieleweshwa, au mawazo yangu yakawakera basi natanguliza neno samahani .... Binafsi nimekuwa nikijiuliza na kutafakari mara nyingi sana lengo na madhumuni ya harakati za UKUTA kuanzia September 1. Hivi watanzania hatuna namna nyingine ya...
  2. mwathu

    Sijaelewa: Mahafali ya vyama vya siasa ni ya elimu gani?

    Kiongozi umeleta mada nzuri ambayo hata mimi nilikuwa nikiitafakari na kukosa kuona umuhimu wake. Hivi kuna haja gani ya kutengeneza makundi ya kisiasa ambayo hayana faida wala msingi wowote kwa taifa. Vijana wetu wanakwenda vyuoni na kwenye taasisi za elimu ya juu kutafuta maarifa ili kuja...
  3. mwathu

    Siri ya Shule za Seminari kufaulisha wanafunzi ni ipi?

    Ukiacha sababu zilizotajwa na wachangiaji wengine, shule za seminari zinafanya vizuri kwa sababu moja kubwa tuu ya kuchagua wanafunzi bora kupitia interview, mara nyingi shule hizi hazichukui vilaza kwa kuogopa kuchafua jina la shule wakati wa matokeo, laiti zingechukua wanafunzi wa uwezo wa...
  4. mwathu

    Naomba support yenu kukamilisha research yangu

    ndugu yangu unafanya academic research au research ya aina gani maana nikiisoma hiyo title yako haiko balanced kwani haioneshi dependent na independent variables, ningekushauri kabla hujafika mbali ukaanza na marekebisho kwa hiyo title yako
  5. mwathu

    Naomba support yenu kukamilisha research yangu

    ndugu yangu unafanya academic research au research ya aina gani maana nikiisoma hiyo title yako haiko balanced kwani haioneshi dependent na independent variables, ningekushauri kabla hujafika mbali ukaanza na marekebisho kwa hiyo title yako
  6. mwathu

    TRA yavuka lengo la makusanyo wa Mapato mwezi Mei 2016

    Ifike wakati kwa sisi watanzania tuwe wazalendo na kupongeza pale watanzania wenzetu wanapofanya vizuri na sio kukosoa tuu hata kama huna fact mezani. Malengo ya makusanyo ya kodi na mapato mengine ya TRA huwekwa kutokana na tafiti mbalimbali za mwenendo wa uchumi wa nchi na hivyo unapoona watu...
  7. mwathu

    Rais Magufuli hana sera yoyote ya kukuza uchumi, yupo yupo tu huku uchumi ukiteketea kwa kasi!

    G sam, Kwakweli sijaelewa mantiki ya ulichokandika, natamani kujua source ya haya unayoyazungumza,. Ukiangalia kwa undani mheshimiwa rais bado anatekeleza bajeti ya mtawala alieondoka kwa kuwa bajeti yake ya kwanza na sera zake zitaanza kuonekana kuanzia July mwaka huu. Unapotoa lawama au...
  8. mwathu

    Wachumi wamshukia Magufuli, watabiri pigo la kiuchumi

    Nasikitishwa sana na viajana wa taifa hili ambao kila siku mko mitandaoni kupotosha umma na wananchi huku mkiacha wazee, wajane na vijana wachache wakifanya kazi kwabidii........... mnalilia msaada wa MCC utadhani mlishirikikuzitafuta au kuchangia kwenye fedha hizo. Msaada sio kitu cha kutegemea...
  9. mwathu

    Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

    Atakuwa kakeketwa huyo asikupe shida kabisa......
  10. mwathu

    Makombora ya Iran yanafika kila kona Israel

    Upumbavu na ujinga tulio nao ni kushabikia migogoro ya israel na nchi za kiarabu kama vile ni mgogoro kati ya uislam na ukristo na pia kuingiza ushabiki na unazi wetu kwa kuzingatia dini zetu tukiamini mungu anatubariki kwa hilo, fungukeni watanzania na mfanye mambo ya maendeleo huu ushabiki...
  11. mwathu

    Rais Magufuli anaiua CCM kifo cha mateso makubwa

    Mambo anayoyafanya mheshimiwa mkuu sidhani kama anaua taratibu kwa aina ya vifo ulivyovitaja la hasha, ukiangalia hali ambayo chama kilikuwa kimefikia ni mbaya sana kwani ni sawa na mto mzuri ambao ulikuwa umezungukwa na magugu maji na matope kiasi ambacho hata mto wenyewe ulikuwa hauonekani...
  12. mwathu

    Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    Ndugu umeongea jambo ambalo limekuwa likinikera sana kwa hawa ndugu zetu wanaohubiri dini na pia hasa hasa hawa wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani kupiga nyimbo au mawaidha ya dini moja safari nzima, ni vyema wakatambua kuwa watumiaji wa vyombo hivyo vya usafiri ni watu wa imani tofauti tofauti...
  13. mwathu

    Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

    usikariri kila uambiwalo kwenye nyumba za dini au viongozi wa dini ni sahihi, hekima na busara ni kutafuta elimu popote ilipo ili uwe na maamuzi sahihi nasio kukomalia vitu ambavyo hata ukiulizwa huna majibu yake. Maisha ni kujifunza na ili uwe muumini na mcha mungu mzuri ni lazima utambue uovu...
  14. mwathu

    Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

    Uko sahihi ndugu na umeleta hoja nzuri ambayo kama taifa ni vyema kuitafakari kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
  15. mwathu

    Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

    Tuko Pamoja ndugu yangu lakini nadhani pia na mazingira ya shule ya fedha hayafanani na watoto wetu wa shule za kata, matokeo ya vijana wetu ukilinganisha na mazingira halisi wanayosoma na kuishi havifanani. Tuwapongeze waliofaulu vizuri lakini pia tusiwabeze vijana wetu kwani hali halisi ya...
  16. mwathu

    Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

    Kwa kiasi fulani naungana nawe mtoa hoja hasa kwenye suala la hizo tafiti na mengineyo mengi ila nina mambo mawili nataka kuyaweka sawa: a) kuna uhuru wa kuwa na mawazo tofauti na hii ni haki kwa kila binadamu ilimradi havunji sheria. hata hayo mataifa makubwa viongozi na raia wake...
  17. mwathu

    Mapenzi hayathaminiwi kabisa siku hizi

    Pole sana brother.... Huenda unatafuta wanawake wa kileo...madada duu...hawa hawajui kitu zaid ya kuangalia status na kutumia peza zako unazopata kwa jasho na mateso... Kimsingi mwanamke yeyote atakuumiza tuu kwa namna moja au nyingine...jambo la muhimu ni kutafuta yule ambae ana thamani ya...
  18. mwathu

    Nauza tecno H6 bei poa

    Tupia picha tuione mzee
  19. mwathu

    Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Ushakuwa mkubwa wewe.....hapo piga kimya endelea na mishe mishe zako na usipende kujuta na kuumiza kichwa kwa mambo yaliokwishatendeka kwa kuwa huwezi kufuta hilo tukio lisiwepo kwenye kumbukumbu zako. Jipange upya endelea na mapambano maisha ni kufurahi so usijipe stress kwa mambo usiyoyamudu.
Back
Top Bottom