Search results

  1. W

    Wenyenyeviti wa mikoa 27 kesho MONDULI kusherekea mwaka mpya

    ninyi acheni unafiki. hata wewe kwa uwezo wako mdogo umeshindwa kuwatumia wazazi wako pesa ya sikukuu ya krismas na mwaka mpya. sasa yeye kachagua rafiki zake unaanza maneno. anza mapezi na familia yako na si kusema ya wenzako. baba na mama yako wanateseka unashindwa kuwasaidia unaishia kusema...
  2. W

    Hakuna mgogoro wowote CHADEMA-Wenje

    Wewe unashikiwa akili na viongozi wako. Makundi yapo na viongozi wao ni freeman na zito pili kati ya wewe uliyeandika hapo juu na zito nani ananjaa. Acha kushikiwa mawazo tumia akili aliyokupa Mungu
  3. W

    Hivi kutangaza nia ni dhambi?

    kwani huku zidumu fikra za mwenyekiti zinafanya kazi
  4. W

    CHADEMA waanzishe na kumiliki News Media zao

    kutokana na mambo ya siasa yanavyokwenda nashauri chadema tuwe na gazeti tinalomiliki kama chama. nimeona niyaseme haya mapema ili kuepusha mitafaruku huko mbele. kwa sasa tunatumia gazeti la manachama tena mwenyekiti wa taifa sio mbaya ila tulipofikia inabidi tuwe na la chama. kwa wenye mtazamo...
  5. W

    Gazeti Mwananchi: CHADEMA sasa Vipande viwili!

    ndugu zangu, haya magazeti ni yawafanyabiashara, usitegemee kila siku yakaandika kukufurahisha wewe. usishangae siku moja gazeti unaloliamini sana kikaandika kinyume na matumaini yako. kwa sasa gazeti la tanzania daima kwa wanachedema mnaona ndio gazeti la ukweli, lakini kumbukeni gazeti hilo...
  6. W

    Kikwete akutana na vipeperushi vya kumkataa Dodoma!

    Anliyefanya kitendo hicho akijua anamkomesha jk hajaangalia mbele. Kama ikiwa hivyo na yeye anautaka urais atakuja pata shida mbeleni. Angetafuta kitu kingine. Jk kabakiza miaka 2 tu.
  7. W

    Zitto: Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda!

    jamani mnataka nini yeye ni mwanasiasa na wewe mshabiki. kapenda kuwa raisi mwacheni mpaka afike wakati wa kugombea ndio mmumtoe. kwani wewe unagombea au unashabikia tu wenzako.
  8. W

    Uchaguzi UVCCM vurugu tupu Arusha; Chatanda apigwa, ajificha chini ya meza

    taarifa ya chatanda kujificha chini ya mezasi ya kweli. aliyeandika hakuwepo na kwamba hakuwa na tukio hilo.
  9. W

    Familia ya Nyerere mnaaibisha taifa

    Watanzania tumezoea ushabiki usio na maana. Watu wengi hawajui vitu vinavyoendelea na wanachangia kwa kuwa hawana uwezo wa kufikiri. Moja siwezi kujua kama kweli kuna kiingilio cha kuona kaburi. Pili ninaelewa wazi wake za viongozi hasa maraisi na waziri mkuu huudumiwa mpaka mwisho wa maisha...
  10. W

    SAUTI HURU: "CUF yaingia kwa kishindo, yazoa 3,000 wa CHADEMA Arusha!"

    Tumieni lugha nzuri. Chadema wachukua ccm 3000 sawa cuf wachukua ccm na cadema 3000 hapana
  11. W

    Chadema ya weweseka uchaguzi ccm na moto wa cuf arusha

    Jaman tumieni lugha nzuri. Pili hata kama waliletwa na magari kumi inaonyesha picha watu wa arusha nao walikuwepo. Sasa sisis tusijadili kuwepo kwa watu tujadili mambo ya maendeleo. Wanatuletea nini
  12. W

    Ufafanuzi wa kilichotokea Uchaguzi Meya Mwanza...

    Chadema kubalini matokeo, angalia hata mwandishi anasema walikubaliana na cuf sasa hajui nani kati ya cuf au cdm kapigia ccm. Sasa wanaobisha naona mmezoea tu kusema. Sio kila mwanchi anachukia ccm. Hata iyo mnayoita nguvu ya umma si kwa chadema pekee. Muwe waelewa muda mwingine mazingira...
  13. W

    Lema ampa mtoto wake jina M4c

    Ana haki kumwita hivyo, kwani alivyopoteza ubunge aliendesha maisha yake kwa kupitia pesa za m4c mpaka alipoenguliwa kiaina baada ya kudokoa na kutokabidhi pesa alizopewa uk & usa. Sasa haruhusiwi kwenye m4c karudi arusha
  14. W

    Mtoto wa Wassira ajiunga Chadema

    Tabia ya unafiki sio nzuri, siasa sio kabila kwamba baba yako akiwa mchaga na wewe ni mchaga. Mtoto wa wasira anahaki kwenda chama chochote. Tena ninyi mbona wazazi wenu wako vyama vingine lakini hamsemi. Umasikini wa mawazo huleta umaskini wa vipato. Jadilini ya maana siwatu
  15. W

    PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

    kutendeka kwa haki sio lazima Lema kushinda au kushindwa,ni taratibu za kisheria.
  16. W

    JK ashusha panga: Filikunjombe, Lembeli, Mkono, Bashe, Kingwangalla, Premji, Diallo watoswa

    ninyi chadema wanafiki sana. madiwani arusha mmewatoa mnaona sawa na mwanza wanachama wawili sawa. sasa ccm wanatoa wanaoona wao wasiogfaa kinawauma. acheni tabia za kike. chama ni umoja, huwezi kwenda kinyume na chama. mbona ninyi mlikua tofauti na shibuda alipotaka posho. mnashabikia ujinga...
  17. W

    Mkanganyiko wa Maadili ya Madaktari wakati wa Migomo

    Wote duniani tunatafuta pesa. Acheni kushabikia ujinga. Madaktari wanafunzi wana haki ya kuomba msamaha kwani bila hivyo hawatakua na pesa kabisa. Madaktari wengine wanavyanzo vya mapato wasiwadanganye vijana. Nawashauri wasijiunge na hao madaktari katika kudai madai yao. Watumie kundi lao peke...
  18. W

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Hawa wote wanafaa sana kuwa wapinzani tu. Kwani umaarufu wao ni kusema ya wenzao. Sasa kutenda kazi ni tofauti sana na kusema ya wenzao. Yeyote anaweza kuwa raisi ila ategemee hakuna jipya atakalolileta zaidi ya kujinufaisha yeye na familia yake na wapambe wake tu.
  19. W

    Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

    Jamani madaktari kugoma ni haki yao. Ila cha maana wanatakiwa wawe na utu. Kusomea somo lolote kwa mtu mwenye akili anajua anafanya nini. Yafuatayo ni mambo yanaowakuta watu kwa kadri ya kazi yake. 1. Walimu, wanaishi katika mazingira magumu, hawana mishaara mizuri, wanaona kwamba hawathaminiwi...
Back
Top Bottom