Baada ya vipimo kadhaa pia amegundulika na minyoo mikali ya Amoeba je inaweza ikachangia hali hiyo, kwa mujibu wake yeye hakuwa anajua dalili za amoeba ila alisema amekuwa akipata kinyesi chenye vitu kama makamasi mara moja moja takriban ni miaka 3.
Baada ya vipimo kadhaa pia amegundulika na minyoo mikali ya Amoeba je inaweza ikachangia hali hiyo, kwa mujibu wake yeye hakuwa anajua dalili za amoeba ila alisema amekuwa akipata kinyesi chenye vitu kama makamasi mara moja moja takriban ni miaka 3.
Ana umri wa miaka 19 mwanaume na hospital alpewa dawa za kupunguza mapigo ya moyo kwani alpimwa presha ikawa 149/90, ila kama unavyojua hosptal za serikal unaandikiwa tu dawa bila ushauri. Mkuu tatizo ni hbp kwan hicho kiharusi kimekuja baada ya presha.
Mdogo wangu amekuwa akisumbuliwa na tatzo la mapigo ya moyo kwenda mbio kumbe ni Hbp.
Na mpaka sasa imemuathiri upande mmoja kama kiharusi japo sio completely kwan anaweza kufanya kazi kama kawaida ila ni dhaifu na jicho la upande mmoja linapunguza uangavu afu ni zito kufumbua.
Naomben ushauri...
Nina mdogo wangu kwa muda mref amekuwa na dalili kama za kisukari, miguu mikono sehem za uso nashingo huwa znakufaganzi yaani akijishka anajiona very soft na pia mapigo ya moyo humwenda mbio then mishipa ya damu huwa inakaza na macho yanapoteza uangavu.
Nilimpeleka hospital akapimwa Hb...
ahsante ntatafuta daktari mwngne. Hivi hii diabetes type 1 kama syo ya kurith, sasa inasababshwa na nin haswa mpaka pancreas kushndwa kutoa insulin, je ni vyakula ama?
Nashukuru kwa ushauri wenu maana mdogo wangu ana dalili hizo kama kubanwa mkojo mara kwa mara, kuwa na numbness mwilini lakin amepimwa hii mara ya tatu anaambiwa ana 4.8, 4.6 na 4.9 halafu wanasema hyo haina matatizo.
Kinachoniumiza kichwa ni kwamba ukoo hauna historia ya kisukari, yeye si...
Kwa yeyote anayejua naomba anifahamishe ni njia gani sahihi ya kupima kisukari.
-Kupima pale unapopatwa na dalili au kabla ya dalili? Na ukipima kabla ya dalili unaweza kuonekana?
-Njia nzuri ni ipi kupima damu au mkojo? Je njia ya kupima damu ni ile ya kutoboa kidole nakuweka damu
kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.