Search results

  1. M

    GB 50 za Vodacom

    Imekubali
  2. M

    Meli ya Sea Star kutoka Unguja kupitia Pemba mpaka Tanga ina kunguni sijapata kuona

    Napenda kutoa malalamiko yangu kwa wahusika kama watapata kufikishiwa. Meli ya Sea Star kutoka Unguja kupitia Pemba mpaka Tanga ina kunguni sijapata kuona. Nilikata tiketi ya VIP kuna makochi mazuri ila kunguni wanatupa shida sana abiria tunawasiwasi tunapeleka zawadi ya kunguni manyumbani...
  3. M

    Nifanye nini karo la choo lisijae haraka?

    Weka chumvi ya mawe hata kilo kumi au magadi ndani ya shimo la choo ndani ya mwezi utaona maji yamenywea kabisa,mimi nimeshatumia ninauhakika.
  4. M

    Msaada tafadhali: Popo wamehamia kwenye nyumba yangu

    Hakuna dawa ya kuwaondoa popo moja kwa moja kiongozi watarudi tu.ILa lakufanya tafuta fundi aingie juu ya dari azibe kwa zege sehemu zote penye uwazi ukiwa juu ya dari utaona uwazi katika tofari na bati hiyo ndio dawa.Utakaa kwa raha mustarehe.
  5. M

    Msaada: Nimefuta sms zote naambiwa storage is full

    Jaribu kwenda katika setting,kisha nenda katika Application.Ikifunguka tafuta Messege.Ikifunguka panda juu katika Storage bonyeza hapo.Itakuja Clear data ukibonyeza itafuta kila kitu katika messege baadae utaseti upya messege.
  6. M

    Wanaotafuna vitunguu swaumu kila siku tukutane hapa

    Inasaidia sana kuondoa harufu mbaya, kama una jamba jamba ushuzi unaonuka
  7. M

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Tatizo kubwa linalonikeza VODACOM,meseji za Tatumzuka,Instamoja,supa5,na nyingine nyingi.Ninapowasha simu zinakuja kama mvua mpaka nimelazimika kutoa sauti katika meseji.Nipeni ufumbuzi wa kublock meseji kama hizo.
  8. M

    Msaada: Ni zipi athari za ugoro?

    Madhara mengine inaweza kukuletea vidonda vya tumbo,maana itakuwa inatengeneza gesi ndani ya tumbo.
  9. M

    Mwenye namba au mawasiliano na Ali Express

    niliweka namba ya simu tu,na aliyenitumia wamesema niwasiliane na agent wa huku tatizo sijui agent namba zake au nitampataje.
  10. M

    Mwenye namba au mawasiliano na Ali Express

    Ninaomba mwenye mawasiliano au kunifahamisha ofisi za Ali Express hapa tanzaniaau Agent wa Ali Express wauzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao anifahamishe.Niliagiza bidhaa yangu inaonyesha imeishafika tanzania tatizo haijanifikia wiki sasa kwa hiyo nataka niwasiliane nao.Nitashukuru sana nikipata...
  11. M

    Mwanamke kutokwa na mkojo wakati wa tendo la ndoa

    shemeji ametoka mkoa gani.kama ni bkb wala usitafute dawa ni kawaida
  12. M

    Mfanyakazi wa Shirika la Mfuko wa Pension (PPF) Anitha Oswald (32) Ni Mtuhumiwa wa Kusafirisha dawa za Kulevya

    tatizo gari alilolitumia kioo kina crack labda trafiki walipatia nafasi kumng'ang'ania
  13. M

    Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    siku ukiwa katika majanga ndio utakapo jua kuwa kuna Mungu.Mbona ulipokuwa umefukuzwa kazi nilikuona kila jumapili unaenda kanisani.
  14. M

    Kuwa muafrika halisi kwa kutunza nywele zako na ngozi yako kwa mafuta asilia.

    mimi natumia mafuta ya nazi yaliyotengenezwa nyumbani,huondoa mmba ni mazuri sana
  15. M

    Wako wapi hawa watangazaji machachali wa RTD hebu tukumbushane hapa.

    Salimu mbonde yupo na ni mwana hisa mzuri wa crdb
  16. M

    Suzuki Escudo ( 3 doors) Fuel Consumption

    Angalia cable za plug mkuu na weka plug nzuri NGK ziko vizuri,kingine badili nozeli zote nne utasahau hayo matatizo ya ulaji wa mafuta na misi.sababu gari inaweza kuwa na misi kwa mbali kutokana labda cable ina leakage,
  17. M

    Laptop yangu haidownload games

    Amani kweni wanajamii forums.Naomba nisaidie please.Kila nikitaka kudownload game katika laptop inaniandikia (The program can't start because MSVCP100.DLL is missing from your computer.Try reinstalling the program to fix this problem).PC yangu ni HP window 7
  18. M

    HELP... HELP...HELP... PLEASE!!

    angalia adapter unayoweka memory card pembeni kuna kiswich/kidude kipeleke mbele ndio uiweke ktk camera
Back
Top Bottom