Search results

  1. lakiwosha

    Ebu tushauriane kwenye hili wanangu

    Nawaza tu kwa sauti. Uko kwenye 20's na Maza Yuko kwenye 30's. Hakuna uhalisia
  2. lakiwosha

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Okay basi mwache aendelee kula wanga akitarajia kupungua. ..mimi kazi yangu ya kushauri nimeimaliza ni yy kuamua kuacha au kuendelea kula
  3. lakiwosha

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Kama ukiweza acha kula vyakula vya wanga kabisa na pia vyakula vyenye mafuta mengi. Uwe unakula vyakula vya protein kwa wingi. .
  4. lakiwosha

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Jamaa ana janja janja sana ndo maana
  5. lakiwosha

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Kama una DSTV angalia s10 sasa hivi. .
  6. lakiwosha

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Daaa ni kweli ila shughuli ya strawman sio mchezo aisee
  7. lakiwosha

    CCM yashinda Ubunge majimbo ya Songea Mjini na Singida Kaskazini

    36% ya waliojiandikisha ndo walijitokeza kupiga kuna. Kama unaakili unaweza kujua nn kinaendelea
  8. lakiwosha

    Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

    Kumbuka hata maandiko ya Mungu yanavosema, tuishi nao kwa akili. Nakupa pole sana mkuu, naamini wanaume wengi lazima wamepitia hii hali hata kama sio kwa kuachana lakini ni kawaida sana kukuta watu wanaopendana wamegombana kwa kiasi cha juu sana. Kama yy ndo amekuacha usije...
  9. lakiwosha

    Mvua kubwa sana Dodoma kwa wapenda kwichi kwichi hali ya hewa inaruhusu

    Arusha nayo imeanza kunyesha... ila sisi hatuna hizo tabia za dodoma
  10. lakiwosha

    Nataka nijiunge na DSTV, vipi kifurushi cha mambo kina chaneli nzuri?

    Na kwa wapenzi wa wrestling siku hizi zimehamiswa DSTV ya 19000 tu. Tena kitu live kabisaaa. Smack down na wwe.
  11. lakiwosha

    Natafuta plot Arusha Njiro au Moshono

    Kwa taarifa yako 30ml nusu heka huwezi pata kiwanja Njiro au Moshono. Njiro angalia uwe na 50ml. Nakushauri tafuta maeneo mengine kama kisongo. By the way Njiro na Moshono kuna shida ya upatikanaji wa maji sana
  12. lakiwosha

    Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Ur a man na bado umri hujaenda sana, chukua maamuzi sasa ukiendelea kumuwaza utazid kuumia. Nakushauri usimnyang'anye chochotee ulichomnunulia mwachie abaki navyo tu. Sijajua kama umeajiriwa au umejiajiri. Kwa sababu kama umeajiriwa inaweza kukuharibia ajira. So msahau...
  13. lakiwosha

    Mauaji na Utekaji Tanzania: CHADEMA walia na Serikali, Lema, Masha na Kigaira walaumu IGP Sirro na Magufuli

    Kwani ni jimbo gani la ccm unaona mtu ndo had it utake waje huku unakosema, anyway ulitaka aje kufanyaje siku hizi dunia imebadilika sana sio lazima mtu awepo physically
  14. lakiwosha

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza Samsung Galaxy alpha GT850F 32gb. Bei 450000 Tsh Nipo Arusha Check me 0752209715, 0624033209
  15. lakiwosha

    KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Aisee wenzetu wametuzidi sana kesi iko live vi2o vyote vya kenya [emoji1139]. Well done supreme court Tuna mengi ya kujifunza kwa hili sisi watanzania [emoji1241]
  16. lakiwosha

    Star TV: Mada ya Sura mbili za TLS naona watangazaji pamoja na Murro wanaungana kuiponda TLS

    Maajabu sana wakati wanakifungia kila kona walitangaza lakini ghafla kikaanza kufanya kazi bila kujua kama deni limeshalipwa si ndo yale yale nidai nikudai
  17. lakiwosha

    Star TV: Mada ya Sura mbili za TLS naona watangazaji pamoja na Murro wanaungana kuiponda TLS

    Tundu lisu asungeweza kuongea kwa kuropoka tu lile si tamko binafsi na nafikiri umesikia sababu walizotoa mawakili ambao hawakugoma. Mbona huelewi vitu vyepesi sana
  18. lakiwosha

    Star TV: Mada ya Sura mbili za TLS naona watangazaji pamoja na Murro wanaungana kuiponda TLS

    Mbaya Zaid ni pale mwandishi Na yy alionekana kuogemea upande wa Jerry Muro #shame
  19. lakiwosha

    Star TV: Mada ya Sura mbili za TLS naona watangazaji pamoja na Murro wanaungana kuiponda TLS

    Kwa hiyo unamaanisha ukienda mahali kuongea huongei kama baba unaongea tu kama wewe,unaongea siku zote kama baba kinawakilisha familia yako
Back
Top Bottom