Siamini hata kidogo kama ushauri wako uliwekwa kapuni.... Inasikitisha ila Oportunity ipo kwa Magu waweke stend Kisesa uone kama hawato wapiga bao buz na nyegezi tena waweke stend ya kawaida sana tu, ila ziwepo buss za Dar na Mara.
Najiuliza tu, WALIPO LIKAMATA hilo FUSO hawakuambiwa hizo ni sampuli? Iliwachukua siku ngapi kuwasaliana na GGM ili wajue kuwa hizo SAMPULI zipo kihalali? Je hawakuonyeshwa kalatasi au uthibitisho kama zinapelekwa Laboratory? Je ni kwamba hawaifaham SGS na KAZI inazozifanya?
Vitu vya namna hii...
HIVI kwani ukiandika comment kwenye FB, UKISHAURI viongozi wako bila kukashfu au kutukana utapungukiwa nini?
Kwani kuwa kamanda ndio ticket usiwe na adabu kwa viongozi??
YEYE MUNGU WAKE ATAMSAIDIA HAKUNA NAMNA. Watu wanaumiza vichwa ili nchi yetu isonge mbele yeye analeta utani anategemea nini...
Wewe unapaswa ufahamu Nature ya Mwanaume, Mme ni Kiongozi wa familia me aamajukumu makubwa sana kukulinda mke na Watoto sasa unapaswa kujua.
1. Mme hapendi MAKELELE NA UBISHI, Wewe ukipaswa kumshauri mme unapaswa kupresent as suggestion tu haupaswi kumpangia, Alafu akikasilika wewe lazima ushuke...
kati ya watu wanne mmoja ni kichaa, usishangae maana kuna watu wanapondo hizo ndege wakati ni za nchi yetu. Huyo mtu mmoja anaye ponda kati ya wanne hana ata passport. so usiumize kichwa wakati takwimu ilishatoka
DuH! Sisi wabongo kwa UnafiKi HatuJambo KabisaA hUU ni Unafiki UlioPitiliza Sasa hivi mnaanZa kumsifiA Jk kwa kauli mOjA na Mnaanza KuPonda Mazuri SaNa aliyo YaFaNyA Magufuli WeTu sisi NdiO maaNa huwa Ni WaChAwi kwa tabia hii lazima tuwe wachawi na sikuzote wachawi hawaendelei...... Raisi wetu...
Kiuongozi anapaswa amtie.moyo mwenzake ili watuletee maendeleo. Unajua tupo nyuma sana sana yaani hapa inapaswa kila kitu kistabiliziwe mfumo wote aalafu na isiwe taratibu yaani inatakiwa faster maana tupo nyuma mno watoto wetu wasije teseka aaisee. So hiyo.kauli ni nzuri.na.ni yaakumpa moyo...
Ila wewe mtani mjing..a sanaa wewe.
unapima uwepo wa Mungu kwa kakitu kadogo kama hako.
Any way mtani Mungu yupo ndio maana dunia inaazinguka bila winding, bila flow of electrons. Ndio maana jua mwale wake haupungui wala auongezeki wakati hakuna mtu anayeenda kuli FUEL ili lizidi kuwa...
Msipende kutafsiri vitu negative jaribu na positive. Unajua Rais WETU hapendi UJINGA kama mtu hawezi kufanya kazi anavyo paswa akigundulika kwake huwa DAKIKA TANO NI NYINGI Kutake action na sio kupoteza muda . Tulikuwa mbali tunapaswa kunyooka.hii ni.faida kwa watoto wetu
Adhabu inayotolewa ni ndogo ndio maaana kila kukicha tunatukaniwa Rais. Ukimtukana Rais wangu sawa umenitukania baba angu aisee hilo hata Mungu kasema tuheshimu mamlaka.
Naomba Mungu iwe kweli, Walimu ni kitu muhimu sana nchi yoyote, mwalimu akisema wanafunzi tutengeneze sanaa za helicopture watoto wetu wazitengeneze wakiwa watoto na sio wazee. wakiwa wakubwa watengeneze helcopture kama za kawaida na bora zaidi. walimu ndio nguzo ya nchi.
EEEEh, mbona hii ni issue yakawaida sana. mbona wezi wa tanzania huwa wanabebeshwa mabango na wanapigwa picha huyo wa kenya si ni mwisi kama aiba akuje na abebeshwe mabago maana yeye yuko mwisi na watu ya kenya waone kuwa mtu yao ni mwisi. Hakuna uzalilishaji hapo alicho fanya ni wizi kutoka...
Asante kwa uchambuzi nimeisoma post yako mstari kwa mstari nimeelewa na kulewa, sisi watu weusi sijui hii shida nini chanzo. Tumwachie Mungu atusaidie.
Ukiona mtu anamponda Rais Magufuli ujue hilo limtu alina timamu ni sawa nakumtusi au kumwaibisha baba yako. Rais uwekwa na Mungu maana kumbuka dini zote ziliombea uchaguzi. So huyo Magufuli ndio Rais aliyewekwa na Mungu atakae muombea mabaya na aalaaniwe.
Duh Siasa mchezo mchafu. Yaani ata mtu atende mazuri bado atabezwa tu. Au sisi wabongiq kidogo ndio maana tunaponda au na nchi zilizo endelea wanakuwa hivi siasa zao kama zetu ???&#&!$!+!%
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.