Search results

  1. G

    Kwanini Mungu asifanye kuwe na dini moja?

    soma AMOS 5:21---- MUNGUBABA hajawahi kuuumba dini na wala hazitambui wala sadaka zao hazitambui wala nyimbo zao amesema amezikataa
  2. G

    Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

    ISAYA 34:16 NENO LINASEMA HAKUNA ATAKAYEMKOSA MWENZAKE YAANI KM UMEONA DALILI HIZO TAMBUA FIKA KUNA MTU ANAYETEGEMEWA NA C WW JITAHIDI RUDI MAGOTINI MWA MUNGU KWA UPYA MAANA LILILO KUSUDI LA MUNGU BABA HALITAKUSABABISHA UJE UJUTE BALI KUSUDI LA MUNGU BABA LITAKUFANYA WEWE NA NYUMBA YAKO...
  3. G

    Vifaranga wa kienyeji wanapatikana kwa1200/= tu

    Ndo mkoa gan huo ndgu
  4. G

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    nunua septrin za elfu, nunua mafuta ya baby care ndogo saga hivyo vidonge changanya na hayo mafuta anza kupaka sehemu iliyoathirika ndani ya wiki mbili lazima urudi na mtokeo mazuri
  5. G

    Natafuta mafuta ya nywele halisi za kiafrika

    hayo mafuta ya castor oil ni haya ya jamii ya blue magic??? nisaidieni jamani au ni ya aina gani??? ni ya maji au ni mgando?? pia vp haya ya wonder 8oil ni haya ya maji au una na ya mganodo?? na vp kuhusu matumizi yake??? samahanini kwa usumbufu jamani
  6. G

    Natafuta mafuta ya nywele halisi za kiafrika

    thnx my dear kwa upendo na ushirikiano wako Olivia Pope
  7. G

    Natafuta mchumba aliyeokoka

    angekuwa hajaokoka asingetafuta mtu aliyeokoka mkuu
  8. G

    Natafuta mchumba aliyeokoka

    kila la kheri na MUNGU awatangulie
  9. G

    Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

    nyumba na mali ni urithi apatao mtu toka kwa baba yke bali mke/mume mwema mtu hupewa na MUNGU hivyo mtangulize MUNGU ktk hitaji lko atakupa sawa na haja ya moyo wako usienende kwa akilu zako mwenyewe maana swala la kuoa au kuolewa halihitaji majaribio kaka
  10. G

    Msaada: Tatizo la tumbo kuunguruma

    pendelea kunywa chai ya tangaewizi itamaliza hilo tatizo pls mimi mwenyewe nilikua muhanga ila kwa sasa nk fit
  11. G

    Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

    Ungeweka Maelezo yake hapa ingewasaidia na wengine co Mimi peke yangu pls
  12. G

    Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

    Hiyo dawa ya yeastrol inapatikana wp mkuuu na inatibu nini na nini????? Maana Maelezo yako hayajajitosheleza
  13. G

    Mafuta na sabuni kwa ngozi yenye mafuta mengi (oily skin)

    Tafuta mafuta ya H20 ya lemon na sabuni ya kopakabana itakusaidia saaana maana nilikuwa na chunusi mfano hakuna sasa hivi uso umekuwa km Wa kachangaaa
  14. G

    Mawakala wa UKAWA vs Ulinzi wa kura za Rais

    Wameandaa pesa feki kwa ajili yakuwahonga mawakala ukawa mkuuu halafu wataita polisi wawasachi mawakala Wa ukawa then watakapokutwa na hizo hela feki watapelekwa kituo cha polisi na hapo ccm watapiga goli la mkono kiulainiii
Back
Top Bottom