Search results

  1. M

    Mgogoro wa ndoa: Tuanze kuwajengea nyumba wazazi wa nani?

    Huyo mwanaume ni kilaza. Jukumu la kujenga nyumba kwa wazazi wa kiumeni ni la mwanaume. Nafikiri hajui ndoa vizuri
  2. M

    Sabasaba ndio hii ratiba yako ikoje kumbuka leo ni free day

    Unaonekama Kama vile umeamka asubuhi halafu hauna kazi ya kufanya.
  3. M

    Hapa bongo kuna watu wanaishi kama Ulaya

    unadhani huko ulaya kila mtu ana maisha mazuri. Wengine wana hali mbaya kumzidi hata bibi mjane wa kijijini matombo
  4. M

    Nakutafuta matured man

    Njoo inbox
  5. M

    Gari yangu inashindwa kuwaka japo betri ina chaji

    mfumo wa starter utakuwa na shida kidogo. hata mimi niliwahi kukumbwa na hilo tatizo. ilinigharimu kifaa cha sh 2000 tu
  6. M

    Kulikoni chanika? Nyumba nyingi zinauzwa?

    kama nyumba ni za bandia zipo chini ya kiwango ina maana hapo ukinunua nyumba milion 20 ni sawa umenunua kiwanja tu. maana nyumba itadondoka muda wowote. huu ni wizi na utapeli tu
  7. M

    Mapenzi haya sitamuamini mwanamke hata siku moja

    Unaonekana wewe sio mwanaume bali mvulana
  8. M

    Msaada: Penalt za dodi ya mapato TRA ni asimilia ngapi?

    Habari zenuwana JF. naomba ushauri wa hili jambo Nilifungua biashara stationary ndogo tu mwaka 2013. Halafu mwaka 2014 kutokana na biashara kutokuwa nzuri nikaifunga. kwa kutokujua kuwa biashara ikifungwa inabidi kuwataarifu TRA, mimi Sikuwajulisha TRA kuwa stationary nimeifunga. kodi ya mapato...
  9. M

    Passo Inauzwa

    Inaoneka bado mpya. Anyway Sifa nzuri na kubwa ya PASSO ni ipi? Changamoto yake Kubwa ni ipi?
  10. M

    Msaada mtoto anaharisha.

    Mpe ORS wakati unajipanga kurudi tena hospital. pole
  11. M

    Natafuta gari (NOAH) ya kununua

    Anayeuza Gari hasa Noah aniPM Iwe ktk hali nzuri. Masharti na vigezo kuzingatiwa
  12. M

    Car4Sale Daihatstu / terios kid

    Spare parts za hizi gari zinapatikana kiurahisi? CC 650, hizi gari zina nguvu hata ya kupanda mlima kitonga?
Back
Top Bottom