Search results

  1. Nicole

    Nahitaji mchumba Sio masihara

    Duh nina 155cm too short! C rizki
  2. Nicole

    Ni kitu gani kinakuvutia kwa binti huyu.....?

    midomo na macho siyo? uko poa lakini?....
  3. Nicole

    Kuna wakati wanaume naomba mtuelewe....

    hahahahahahah aisee ila mie nikinuna sitaki mtu anisemeshe...... tena huwa nakaa mbali kabisa, kama ni chumbani ntaingia nijifungie nikae huko alone nikila miziki yangu.... nataka niachwe kilichonifanya ninune nikikisahau basi hali itarudi normal....
  4. Nicole

    Tabia hii ya Ufoo Saro wa ITV ni uandishi wa habari au nini!

    hahahahahhahahahahahhhhh ufooooo sarooooooo kakukosea nn jamani? mbona umemshukia na posts mbili mbili?
  5. Nicole

    Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    hahahahah tugawane umaskini eehh? smtimes its good to belive that he /she is one for u from heaven...
  6. Nicole

    Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    hahahah kumbe we kikongwe, ila huo wimbo nami naukumbuka....
  7. Nicole

    Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    hahahahah uwiiiii.....abiria chunga mzigo wako......
  8. Nicole

    Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    Ok relax then and good 4u kujipigia debe nadhani mashosti watakuwa wamekusoma
  9. Nicole

    Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    Hahahahah ukiona manyoya....
  10. Nicole

    Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    Mamito wacha 2 wajanja washamchukua....
  11. Nicole

    Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    Sijawatusi i just spoke my mind...kama we mwanaume wa ukwel kwann ujifil kuwa offended?
  12. Nicole

    Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    Hahahah mbona mmenipania ivo, mie niliandika nikiwa na dompo kichwani so guys dnt take me serious....
  13. Nicole

    Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    Hahahah slow down bana ni mtizamo2 nothing personal..,
  14. Nicole

    Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    Hivi pasua kichwa waweza mwita mwanaume wa ukwel???
  15. Nicole

    Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    Baelezee baelewe....
  16. Nicole

    Ukiwa Mwanaume wa Ukweli shida tupu!

    Tatizo ni kuwa wanaume wengi wa ukwel they are already taken, yamebaki makapi...so imebaki tutabanana hapahapa....its a bitter truth!!!
  17. Nicole

    Ewe mwanamke wa JF!!

    na kwann waje kuishi kwangu hao madogo?? kama msaada ntawapa lakini siyo kuishi kwangu...kwangu marufuku hata beki 3 tu hana nafasi
  18. Nicole

    Sikuhudhuria mtihani wa kwanza wa mchujo utumishi

    hapana hiyo ndo imetoka...nimekwambia after4 years kwani ndo muda ajira za mkupuo za fani nyingine hutoka serikalini, ukiacha ualimu wanaoitwa kila mwaka....
Back
Top Bottom