Search results

  1. S

    Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

    We jamaa ni mtunzi mzuri wa hadith, endelea kukuza kipaji chako
  2. S

    Mpango wa kummaliza Dr. Slaa sasa umeiva na kazi imeanza kutekelezwa

    kwann unasema huo ni upuuzi au wewe ndo mpuuzi?
  3. S

    Mpango wa kummaliza Dr. Slaa sasa umeiva na kazi imeanza kutekelezwa

    Nikiongea yaliyo moyoni mwangu hapa nahisi watani-ban asahv, ngoja nipite tu
  4. S

    Tanzania hatuna Viongozi tuna Wanasiasa; Maisha ya Kujitakia!

    we ni maskini wa akili, unadhan ubora wa sera zilizo kwny makaratas bila utekelezaji ndo 2tapata maendeleo. Ktk sera, kila chama kitakuja na sera ambazo wanadhan zitawavutia wananch wake lakn tatzo ni kwny kutekeleza. Yawezekana we ndo mvuta bangi
  5. S

    Tanzania hatuna Viongozi tuna Wanasiasa; Maisha ya Kujitakia!

    sijawah kuwa sisiem na pia ni mwanachama mfu wa CDM sijailipia kadi yangu toka 2008. Pili, elimu yangu haikuhusu "appeal to people''>> attack my arguement and not me.
  6. S

    Tanzania hatuna Viongozi tuna Wanasiasa; Maisha ya Kujitakia!

    na mtangoja milele kama walivyongoja wafuasi wa kibwetere, utaishia kumuona zito kabwe kwny RANGE, VX, HUMMER.....
  7. S

    Tanzania hatuna Viongozi tuna Wanasiasa; Maisha ya Kujitakia!

    we mtakamiwa, tafuta sifa za mwanasiasa kisha pengne utakuja na wazo jipya.
  8. S

    Tanzania hatuna Viongozi tuna Wanasiasa; Maisha ya Kujitakia!

    pengne hajui nini maana ya usawa ila anatumia tu hilo neno
  9. S

    Tanzania hatuna Viongozi tuna Wanasiasa; Maisha ya Kujitakia!

    we kweli ndo mtakamiwa, kama umeni-quote kuna sehem nimesema '' labda kikubwa ni mabadiliko kwamba CDM wanaeza wasiwe wezi SANA kama hawa wenzetu wa CCM''
  10. S

    Tanzania hatuna Viongozi tuna Wanasiasa; Maisha ya Kujitakia!

    Kama hii nchi watakao kuwa wanapata madaraka ni binadamu basi hakuta kuja kuwa na usawa leo hii mpeleke mke wako CHADEMA wakashndane na mke wa Slaa ktk post yoyote afu ndo utajua kama kutakuja kuwa na usawa au la
  11. S

    Tanzania hatuna Viongozi tuna Wanasiasa; Maisha ya Kujitakia!

    si vibaya kutoa support kwa vyama vya siasa lakini usiweke tumaini lako kubwa huko, mafanikio yatakuja kwakufanya kazi kwa bidii
  12. S

    Kiwanja kinauzwa gezaulole

    Ni voucher ya kiwanja gezaulole, voucher ni ya mil. 8 lakn inauzwa mil. 15
  13. S

    I'm baaaaack

    Mods walinipa adhabu ya wiki nzima baada ya kutoridhishwa na mambo niliyoandka kutokana na maandamano ya waislam ijumaa iliyopita.
  14. S

    Tanzania hatuna Viongozi tuna Wanasiasa; Maisha ya Kujitakia!

    Ni ujinga kwa mtanzania kutegemea kuwa maisha bora yataletwa na mwanasiasa, watanzania wengi wanaamini CDM ikichukua nchi kutakuwa na maisha bora hata wakiwa wanakaa kijiweni, hayo ni mawazo ya mgando yasiyo na maana. Kama CCM walivyo hata CDM ndivyo walivyo hata mkipinga kwakuwa mna mapenzi na...
  15. S

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Hakuna jibu ambalo ni applicable kwa watu wote, kila mtu huvaa kwa dhamira yake binafsi. Kwahyo ili kujua jibu mfate anayevaa ndo atakupa jibu kamili
Back
Top Bottom