Search results

  1. A

    Sikiliza Radio za Tanzania

    thanks nimepata kwa kutumia desk top computer
  2. A

    Wake za watu

    Mh hao wake za watu si wanatoka na waume za watu? Shida ni kwa wote watokaji nje ya ndoa usikikmbilie wanawake tu hata waume za watu nao ni hodari
  3. A

    Kikwete, acha kulidhalilisha JWTZ kwa kulinda amani mtaani MASASI

    Hivi ingekuwa kwenu kunateketea na jeshi limeombwa msaada ungeona heri wasiwepo? Mi naona ni sawa tu hapa sio swala la kumlaumu mkuu kutumia jeshi amani ni muhimu
  4. A

    Mtoto aliyekojolea Kurani hana kesi ya kujibu

    Mh dini nyingine zinaendekeza uadui badala ya utu wema na upole asante mungu kwa kutoniweka mahala pasipokuwa na upendo.Dumisheni upendo muache roho za kwanini,ili maisha yenu yazidi kuwa marefu katika dunia hii.
  5. A

    Wake kwa waume nipeni jibu

    Oooh ni kweli kabisa mnajifanya kukataa mdomoni tu acha kabisa kitu kinaitwa hisiaa
  6. A

    BREAKING NEWS:Hiace yaanguka Kolandoto-Shinyanga na kuua mtu mmoja papohapo

    Jamani poleni sana watanzania kwa janga hili ambalo lingeweza kuzuilika,jamani madereva wetu tuzidi kuwa makini. Bwana ametoa nae ametwaa jina lake lihimidiwe.
  7. A

    Ufisadi tena: EWURA walipandisha bei ya mafuta kufidia chaguzi za CCM!

    Jamani mbona haya kwetu tu ukienda hapo Burundi,bei ndogo wakati bandari wanayotumia ni yetu,au wao wanasoko lingine la kimataifa la mafuta? Manake tunachoshwa na haya maisha.
  8. A

    Chupi yako unaanika wapi.................?

    Ni juani ili ikauke vyema,ila wengine wanaogopa hawatakatyishi au zimetoboka wanaficha chumbani,ila si nzuri kwa afya.
  9. A

    Kutembea na mke wa mtu ni mbaya ndugu zangu

    Cha muhimu ni kujiuliza kwanini utembee nje ya ndoa,inabidi wanandoa kukaa chini kusolve tatizo na si kuongeza tatizo.
  10. A

    Anataka to-do, But No Love Relationship!!

    Baa kumnyima mtu kitu mandhali umepewa na mungu bure zambii, mpee baaa
  11. A

    PICHA: Miili Ya Askari Wa JWTZ Waliokufa Nchini Sudani Yaagwa Leo

    Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
  12. A

    Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Ipo kazi mabadiliko ya wananchi ni lazima,lazima wakubwa wafanye mabadiliko hizi sio enzi za mw....
  13. A

    Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Jamani mbona nchimbi ana kazi ya ziada duhh
Back
Top Bottom