Search results

  1. tzhello

    Acha kulalamika vifurushi kupanda, anza kuwa na data plan

    video kumi kwa siku :oops: ,video za aina gani hizo boss?
  2. tzhello

    Kwa Wanaosoma CPA (T)-FOUNDATION LEVEL

    Wenye msaada karibuni.
  3. tzhello

    Uzi maalum: Growth Hacking

    Madini tupu,yafaa mtu kutulia anapoyasoma. Big up
  4. tzhello

    Kwa Wanaosoma CPA (T)-FOUNDATION LEVEL

    Habari wadau,nataka kuanza kusoma masomo ili nifanye mitihani ya bodi NBAA kwa kuanza na foundation level. kwa mwenye notes anaweza nisaidia maana nipo mkoani hakuna namna naweza kuhudhuria reviews. Thanks
  5. tzhello

    Hollywood

    Thanks.
  6. tzhello

    Hollywood

    Hivi si inabidi uwe na bando la kutosha,tupeane maujanja bando zipi ni cheap kudownload movies au we unafanyaje mkuu?
  7. tzhello

    Zawadi kubwa maishani ni hii

    Umeongea vema,kama ni binti mdogo subiri na kama umepata kwa bahati mbaya zaa. Mimi ni mwanaume na nimeoa na naelewa maana ya kukosa mtoto hasa kama mama alicheza, familia bila mtoto nishida,sister yangu mkubwa alitoa akiwa shule hadi leo ajafanikiwa na nafeel anavyoumia japo hajakata tamaa...
  8. tzhello

    Wale wenye positive attitude na Forex mje huku

    Watu hawataki tu kujifunza,wanataka kupiga hela chap chap ila nakuambia ukiwa serious unaweza anza na $100 (230,000/=) na ukafanya wonders japo wakongwe wanaanza hata na $10 na wanatoboa mpaka $1000 kwa mda mfupi tu.
  9. tzhello

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    P Pengine aliamua kuipunguza ili iendane na uhalisia ambao yeye anaweza kufund real (Ni mtazamo tu lakini)
  10. tzhello

    Kuacha kazi kumbe kazi!!

    Brother ushauri wako nimeukubali,mtoa mada zingatia hili.
  11. tzhello

    Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Kila la kheli. "Angalizo" tafuta jogoo mzuri anayepanda sana asiwe mnene sana wala asiwe chotara,baada ya hapo jifunze namna nzuri ya kutunza vifaranga hapo utatoboa hata kama kwa miaka miwili au mitatu utatoboa..
  12. tzhello

    Forex Trade: Jipatie Strategy iitwayo MK45STRATEGY bure bila malipo.

    Njoo uwashe huo moto hapa mzee Mr Suprize
  13. tzhello

    Nahitaji latop mpya aina ya hp probook 450 g3 i3

    Kwikwi ki vipi chief?
  14. tzhello

    Nahitaji latop mpya aina ya hp probook 450 g3 i3

    mwenye anaweza nisaidia hii!
  15. tzhello

    Nahitaji latop mpya aina ya hp probook 450 g3 i3

    Dah! uliipata kwa ngapi hii mkali?
  16. tzhello

    Nahitaji latop mpya aina ya hp probook 450 g3 i3

    Nahitaji aina ya laptop HP ProBook 450 G3 i3 i3-6thGen 8GB ram 750GB hard disk Iwe mpya kabisa,au kama kuna duka zuli la laptop nielekezwe. Asante.
  17. tzhello

    Nimeletewa taarifa na Wanangu kuwa Shuleni kwao watafanyiwa chanjo ya kichocho na Minyoo. Nimekataa wasipewe chanjo

    I agree,sio tu polio hata matatizo ya upofu yapo kwa wingi sana na ulemavu wa aina mbali mbali watu wanajifanya wanajua sana kumbe sifuri,utafiti ukautoe kwenye website za India kweli?
Back
Top Bottom