Search results

  1. L

    Naomba munisaidie mawazo wana udom na hata wa vyuo vyengine.

    wakuu mi naona 2achane na mambo ya % la muhimu ni kujua 2 hela wanayokulipia bodi ktka ada alfu inayobaki ndo utamalizia baada ya kuzichanganua izo hela ulizopata kwa kufanya kama wadau walivyoeleza halafu hela ya field ni sawa kwa wote waliopata mkopo kama 2 hela yako itakua imekidhi ktka meal...
  2. L

    Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    poa mkuu 2takutana udom mi ni wa telecom
  3. L

    Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    shukrani mkuu, hapo nimekuelewa
  4. L

    Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    msaada wakuu,kuna m2 kapata 300 000. open university. sasa hapo inagawanywa vipi?
  5. L

    Kutoka bodi ya mikopo

    sawa sawa mkuu nimekuelewa,ila 2zidi ombeana kwa mungu ili kila mmoja we2 apate mkopo
  6. L

    Kutoka bodi ya mikopo

    Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini, wako hatarini kuchelewa kupata fedha za mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutokana na mchakato wa kutoa mikopo hiyo kuchelewa kuanza. Hali hiyo inatokana na vyuo hivyo kuanza kufunguliwa mwishoni mwa mwezi huu na...
Back
Top Bottom