Hawa ni wasanii kinyama.Ukitaka kuwajua,airisha safari yako utaona,na hasa ukiwa umelipa kwa MPESA.Utasikia mtandao unasumbua,hapa utakaa hata miezi miwili bila kurudishiwa haki yako.
Uandishi wa habari kwa design hii,unadhalilisha taaluma ya habari.Mwandishi toka mwanzo hadi mwisho,anaonekana kumsakama mtu bila kuwa na ushahidi wa kutosha.Ni vyema kutumia taaluma zetu kwa ujenzi endelevu wa Taifa badala ya kuwa sehemu ya kupika majungu.
Imekuwa kawaida ya Fastjet kuzungusha wateja wake hasa inapotokea mtu ameairisha safari.Kwa mfano mimi mwenyewe nilikuwa nisafiri mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili,nikalipa kwa MPESA,lakini ikatokea nika aihirisha safari.Tokea kipindi hicho,nimekuwa nikiambiwa nisubiri hela itarudishwa bila...
Hapa ni akili mgando,Watanzania wanamuangalia Magufulu kama individual,na sio kama mwana CCM.Kwasababu haya matatizo ya kuhujumu uchumi,yamefanywa kwa muda mrefu bila CCM kukemia.Hata hoja zinapokuja bungeni,ni CCM ilikuwa inahakikisha inazifutia mbali.Pia tambua,Mh Magufuli anatekeleza sera za...
Hizo ndo ndoto zako.Kwa taarifa yako,watu wanampenda Magufuli na sio CCM.Na ndo maana hata wakati anaomba kura,alikuwa akiomba kama yeye na sio CCM.Na maadui wake wakubwa wako CCM.Mimi mwenyewe japo sikumpigia kura,ila kutokana sera zake na hotuba yake,kwa kweli namfagilia.Na kama ataweza...
Ndugu yangu wakati mwingine,tumia akili kidogo.Huyu dada ni mwanasheria wa Serikali,na haruhusiwi kuwa na mrengo wa kisiasa,mpaka aache hiyo nafasi.Tunachouliza,kama alikuwa mwanasiasa,wakati bado ni mtumishi wa umma,je,aliweza kutenda haki kwa watu wa vyama vingine?.Je,na kama...
Mimi nilikuwa naunga mkono UKAWA.Kutokana na spidi anayoenda nayo Mh. Magufuli naendelea kupata imani naye kwamba,ndiye aina ya Raisi tuliyemtegemea,anaongoza kwa vitendo.
Ila ninachoona,anataweza kufanikiwa kwa kuwatumia viongozi wale wale wabovu,ambao hawapendi kuwajibika mpaka wasikie kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.