Search results

  1. Phoenix

    Kazaliwa @_Dinazarde

    Habari zenu wana JF. Napenda kuchukua wasaa huu Kumshukuru Mungu kwa ajili ya rafiki yangu, ,mshauri wangu na ndugu yangu, Dinazarde,kwani siku ya leo miaka kadhaa nyuma alizaliwa! Mungu amjaalie kila lililo jema katika maisha yake,ampe afya bora na utajiri kila eneo.Nasisitiza utajiri kwa...
  2. Phoenix

    Tunda amedondosha mimba wapi?

    Kwa anayejua,mrembo wetu Kipenzi,Tunda Sababasita amepeleka mimba wapi? Mbona nilimwona akiwa na mimba kubwa tu akipokea pongezi nyingi?Aliyeiba mimba ya Tunda naomba airudishe!
  3. Phoenix

    MPENZI YUPO WAPI WEEKEND HII?

    Ewe mwanamke mwenzangu! Ewe mama,ewe binti,ewe kigori, Ukiona Weekend imeanza,Ijumaa usiku hivi,jumamosi kama leo na kesho mpenzi wako yupo bussy tu,ujue huyo ni 'mpenzi wenu'!. Yani inawezekana wewe ndiye 'side dish',kaenda kwa mwenyewe! Dinazarde kama mzee yupo hapo kijijini ila muda kama...
  4. Phoenix

    Mume wa Wolper

    Mume wa Wolper huyo! Wine zote zimeniisha.. Dinazarde
  5. Phoenix

    Tetesi: Kylie Jenner amwagwa!

    Je unafikiri umemaliza mwaka vibaya? La hasha kabisa!Kuna tetesi kuwa mlimbwende Kylie,amwagwa na mpenzi wake!Tena akiwa mjamzito. Usiombe ikukute.. waweza kuzaa siku sio zako. Namwonea imani,kama ni kweli.
  6. Phoenix

    Nauza saluni nzima ya unisex million 2.5 tu!

    Habari! Nauza saloni nzima ya unusex kwa shillingi 2.5 Million za kitanzania pekee! Haijawahi kutokea! Eneo Yombo Buza. Kila kitu kinauzwa kasoro watu Karibu PM
  7. Phoenix

    Nauza milango ya Aluminium

    Habari wapendwa! Nauza milango ya aluminium mitatu (3), Na milango ya chuma miwili (2) *Imetumika mwaka mmoja tu. Ipo katika hali nzuri,sana. Karibu ofisini Segerea mwisho upate kuikagua Yote kwa pamoja ni Tsh.million moja Tu! Wahi bahati yako! Njoo pm
  8. Phoenix

    Nauza vifaa vya elektroniki 'used'

    Nauza vifaa vya electronic used,vipya na vilivyotumika vikiwa katika hali nzuri sana na ubora wa hali ya juu vingi ni mtumba imported nicheki PM ofisi ipo segerea mwisho ndani ya stand. Mawasiliano pm Karibuni wote..! 'Cha zamani kwako,kipya kwetu'
  9. Phoenix

    Je, Harmonize na Wolper Wameachana?

    Kama kichwa cha habari kinavyouliza;Je inawezekana mtoto mzuri wa kichaga ambaye anapelekeshwa Puta na kilevi aina ya 'Whiskey' akawa amefikwa 'Hapaaa!' Na penzi tamu la mtoto wa Kimakonde?
Back
Top Bottom