Search results

  1. I

    Uchambuzi Wa Habari: CHADEMA ' Civil War' Imepamba Moto...!

    the bigger picture is zitto is finished and chadema will take its real position; saccoss.
  2. I

    Mitazamo tofauti siyo usaliti ni demokrasia

    yaani mnataka mtu apende chama bila kupenda vyeo? chama kama hicho hakipo labda iwe famailia ambapo baba yupo tu. kama mwanachama anafikiri anaweza kuendesha chama vizuri kuliko waliopo lazima apewe fursa ya kugombea na ashindane na wenzake wanaotaka na akichaguliwa aongoze. akishindwa basi. na...
  3. I

    Mitazamo tofauti siyo usaliti ni demokrasia

    You have missed the backbone of this argument. the success of. any political party is hinged on respect to democratic principle or else that party becomes a religious cult.
  4. I

    Mitazamo tofauti siyo usaliti ni demokrasia

    All time along, when a political party chases one of its leader, weakness comes and not strength. when Mrema left CCM, for the first time the party became vulnerable. NCCR took the torch only to go into wilderness after top leaders failing to embrace tenets of democracy. Zitto who has likened...
  5. I

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    walokole ndiyo zao. wamelishwa ujinga na wachungaji wao wanaanza kuuleta kwenye jukwaa.
  6. I

    Samson Mwigamba: Nitayasema maovu yote na nitawachukulia hatua kisheria wote walionipiga

    kama hao viongozi hawaheshimu maamuzi ya vikao halali itakuwaje mtu mmoja anayewakosoa? kumkolimba eti? ushahidi ndiyo huo kapigwa ndani ya kikao kwa kuwa na mawazo tofauti.
  7. I

    Samson Mwigamba: Nitayasema maovu yote na nitawachukulia hatua kisheria wote walionipiga

    kwa nini asiongee pembeni? katiba ya nchi inaruhusu uhuru wa mawazo ukiwa popote pawe katika vyama au nje, uko ndani ya serikali au nje. au mmeigeuza chadema kuwa jela ya mawazo?
  8. I

    Kwa sababu zifuatazo naunga mkono kutokufanyika uchaguzi CHADEMA kwa sasa

    hoja ya kutofanya uchaguzi eti adui yupo kazini ni ya hovyo sana. kwani msipofanya uchaguzi, adui ataondoka au kuacha uadui wake? inawezekana adui huyo anayewatisha na anaelekea kuwaelemea ni kwa sababu ya viongozi waliopo labda kwa sababu ni rahisi kuwashambulia au wamekosa mbinu ya kumshinda...
  9. I

    CHADEMA imepotoka na kubweteka kabla hata haijachukua dola

    Kwa watu wanaokumbuka hata NCCR Mageuzi iliienda hivi hivi kwa sababu baadhi ya viongozi na mashabiki wao walikuwa hawasikii unapojaribu kukosoa mambo ya wazi. Hakuna chama chochote kinachoweza kuendelea iwapo mnakandamiza demokrasia hasa kuchagua/kubadilisha uongozi muda unapofika. lazima...
  10. I

    Why Tanzania drags its feet in the EAC...

    wanajisifia tu kwa sababi vyote wanavyosema tuonekane tupo nyuma ni uongo. wapende wasipende bila tanzania hakuna jumuia.
  11. I

    FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    Habari za ndani kabisa rwanda zilikuwa zinasema wamepigwa vibaya na hata yale majeshi ya mpakani yalionja issue zetu. Inavyoonekana hata gharama za vita zimemshinda kagame kwa sababu vyanzo vyake vyote vimezibwa na watu wa ndani ya ikulu wanasema jamaa amepagawa jinsi ya kuendesha nchi bila...
  12. I

    Rwanda M23 hoi Goma

    nakwambia hivi mabomu yanashushwa kama mvua ndani ya rwanda. anafuatwa adui anakotoka. walio goma hawana deal.
  13. I

    Rwanda M23 hoi Goma

    umudendezo-news.blogspot.com/?m=1#! hiyo ndiyo link wanaandika kinyarwanda lakini sisi wabantu tunaokota okota
  14. I

    Rwanda M23 hoi Goma

    nimesoma kwenye forum ya kinyarwanda na japo hiyo lugha siielewi lakini mambo yanawaendea vibaya. Wanasema majeshi ya kongo na un wanatumia silaha kubwa sana na mabomu yanashuka kama mvua goma na ndani ya rwanda. askari wa rdf wameuawa wengi sana na wizara a ulinzi ya rwanda ina recruit watu kwa...
  15. I

    Kikao cha siri cha Kaguta, Kagame na Kenyatta (tripple K) chaamua mambo mazito...

    kututenga ni kwa sababu tumewashika pabaya. tpdf imeua deal zao za wizi wa madini kongo na hawajui cha kufanya wanatapatapa. inabidi watengeneze ushirika wa mbinu mpya. ndiyo hiyo mipango ya kulima viazi vitamu milimani imeanza. ila nanusa vita kurindima hivi karibuni. hofu kubwa ni kwamba...
  16. I

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    ukweli tunao na unajulikana. kinachowasumbua ni kuendeshwa na mbumbu kwa sababu kagame hajasoma kama walivyo watutsi wengi na amejua kusoma na kuandika akiwa monduli kwa wazee wakazi. ndiyo maana anawaza na kuongea kama mlisha mbuzi. ukiangalia katika maisha yake huwa anakwepa negotiation na...
  17. I

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    wewe ni mwongo. kagame ameingia kongo na amaua wakongo million nne na kuwaua wahutu wote waliokuwa kambi za wakimbizi na jeshi la rwanda limekuwa lipo huko. jwtz imekomesha. no more diamond, coltan and free meal. the tyrant is scared. aende akalime viazi vitamu milimani tuone kama ataongea...
  18. I

    Can Tanzania become a middle income country in 2050? Big NO

    hivi vitu vya asili lazima tujifunze kuwa siyo vyetu. samaki madini wanyama mbugani ndege angani nk. vyetu ni akili zetu. basi
  19. I

    Can Tanzania become a middle income country in 2050? Big NO

    najua watu wanaamini utalii. lakini wanaokuja kwetu hawatumii pesa za hapa. anakuja na ndege ya kigeni, anapokewa na magari yanayomilikiwa na wageni, anafikia hotel zinazomilikiwa watu wa nje haohao, anachukua charter zao na kurudi kwao. halafu baada ya hapo hao foreigners wanarudisha faida hizo...
Back
Top Bottom