Search results

  1. M

    Kichuya kupaa Uarabuni

    We jamaa muongo sana! Raphael Daudi alikuwa na magoli 8 ya VPL wakati Kichuya alikuwa na 11, wakati mwingine uwe unaona AIBU kuleta ushabiki maandazi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Okwi huyu! Hapana.....

    Okwi yuko vzuri TU! Majamaa yamekuwa kama yanaimba taarabu! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Aisee hata mimi najiuliza huyu jamaa Wacha1 amepotelea wapi? Hakuna mdau anaweza kujibu hili. Heheheheheeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Omog anataka kuiletea Simba SC mpasuko, mgogoro na kuamsha fitna

    Hakuna mpasuko wowote, team iko imara! Nahodha Mwanjale atatufikisha salama ktk safari yetu Inshallah Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    2-0 for Man u Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    0-0 dk 25 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hata hii ya king'amuzi cha Azam inaonyesha au ni ile mobdro? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Diamond yeye ni ku-copy na ku-paste

    Dah! Joseverest umenichekesha sana Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
  9. M

    Mnaionaje Kambi ya Simba SC huko Afrika Kusini?

    Mbona wapo SA kwenye uwanja mbovu kama unavyopendekeza wewe Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
  10. M

    Nini Msimamo wa CHADEMA na mwenyekiti wake kuhusu kilimo ndani ya mita 60 kutoka Chanzo cha maji?

    mitale na midimu nae namuona kama mshabiki mwenye upande flani! Nafikiri anajitanabaisha hivyo ukimfuatilia kwa makini Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
  11. M

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Kuna wimbo wa Zilipendwa unaitwa Chaurembo nautafuta sana wadau, nahisi ni wa Vijana Jazz
  12. M

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Ahsante sana Balantanda
  13. M

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Nikuombe tafadhali, katika kumkumbuka marehemu Shabaan Dede tafadhali ungetuwekea hapa list ya nyimbo zake kadhaa zilizotamba katika hizo bendi alizopitia
  14. M

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Aisee Balantanda hakika unaitendea haki thread hii
  15. M

    TANZIA: Mwanamuziki Mkongwe Shaban Dede amefariki dunia

    Shabaan Dede alipenda sana kwenda uwanja wa Taifa akikalia upande ule wa SSC
  16. M

    TANZIA: Mwanamuziki Mkongwe Shaban Dede amefariki dunia

    Balatanda njoo huku usaidiane na Chenjichenji mtuwekee vibao vya Shabani Dede
  17. M

    TANZIA: Mwanamuziki Mkongwe Shaban Dede amefariki dunia

    Chenjichenji tunaomba utuwekee hapa katika uzi huu baadhi ya nyimbo maarufu ambazo ni tungo za marehemu Dede! Kama huo Talaka Rejea
  18. M

    TANZIA: Mwanamuziki Mkongwe Shaban Dede amefariki dunia

    Aisee Chenjichenji umefanya kitu kikubwa sana! Nilikuwa najaribu kuimba hapa lakn nikawa nimesahau jina la wimbo na baadhi ya mashairi! Ni moja kati ya kazi bora kabisa za marehemu akiwa na DDC MLIMANI Park
  19. M

    Swali la kizushi - Je Pesa za TFF zinazodaiwa kupigwa na Malinzi ni Mali ya Umma ?

    Tujiulize swali la msingi hivi magari ya TFF yana namba gani za usajili? Ni SU au?
  20. M

    Simba iliyoibiwa inatafuta mawakili wa kuwatetea Aveva!?

    Aveva alishaifadhili SSC mwaka gani Mapupu?
Back
Top Bottom