Search results

  1. A

    Madawa ya Kulevya: Kumbe Makonda Alizuiwa Kutaja Majina!. Anaamini Uwazi, Atunge By-Law Ataje Majina

    Madiwani wa UKAWA ni watu makini, hivyo wasingeruhusu huu upuuzi ulioshauri.
  2. A

    Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    Yaani umeshindwa hata kutafsiri ulichoki'quote'? Kwa nini usingetafuta mtu anayejua lugha hiyo ya kisheria ili akutafsirie? Pamoja na kubebeshwa mabox ulaya, ulishindwa kujifunza japo lugha ya kuombea maji?
  3. A

    Mawakili wa serikali kazeni uzi angalau Lema atoke mwezi wa pili

    Mimi nakuombea kwa Mungu, balaa kubwa likukute kipindi hiki cha sikukuu, na machungu yake yawe ni ya miezi mitatu. Mungu ni mwema na ninaamini atatenda kulingana na dhamira mbaya uliyonayo juu ya wengine.
  4. A

    ITV bana, Gavana anaeleza hali ya Uchumi wa nchi anapewa dak. 1, Mbowe anaeleza UKUTA, dakika 4

    Kwani kusema uchumi umekua kunahitaji mtu apewe dakika ngapi?
  5. A

    Waliokuwa wanamchafua Rais Magufuli mitandaoni na majukwaani wameishiwa pumzi

    Change your brain thinking - hiki ni kiingereza au kimombo?
  6. A

    Baada ya kutenguliwa, Waliokuwa RAS Kagera na DED Bukoba wahojiwa na Vyombo vya Dola

    Labda hiyo account ilipokea fedha za Lowasa
  7. A

    Vigogo 25 wafyekwa mishahara mil. 625/- kwa mwezi. Ni utekelezaji agizo la Magufuli

    Wewe unafikiri kusoma ni kazi nyepesi? Wenzako wame-toil, wewe ulikimbia umande.
  8. A

    Matembezi ya Mshikamano kuchangia Wahanga wa Tetemeko la Ardhi kufanyika Jumamosi Sept 17

    Ningekuwa tayari kushiriki, ila kama habari yenyewe inaletwa na LIZABONI, basi hata umaana wake huwa unapotea, sidhani kama kuna watu wengi watashawishika kuyaunga mkono.
  9. A

    Sikubaliani na wazo la Freeman Mbowe la kufunga shule ya Ihungo

    Hukubaliani na wazo, sawa!! Kwani kuna mtu aliyekushurutisha ukubaliane na mawazo ya Mbowe? na kama ni kweli hukubaliani naye, je una ulazima wa kutujulisha? Sisi tuna haja ya kujua kama wewe hukubaliani na wazo la Mbowe?
  10. A

    Sikubaliani na wazo la Freeman Mbowe la kufunga shule ya Ihungo

    Nilitaka kuchangia, ila nilivyojua kuwa thread ni LIZABONI nikaona ni kujipotezea muda, kwani anachoandika kwa kawaida ni utumbo mtupu, tena utumbo wa kuku.
  11. A

    THE CIVIC DEMOCRATIC PARTY [C.D.P],CHAMA CHA SIASA KITAKACHOFANYA KAZI YA UMMA.

    Siasa zimekatazwa hadi 2020, hicho chama kitapataje wanachama?
  12. A

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Kama ulikumbuka ya kupanda basi, Usisahau kukumbushia na PUSHAPU
  13. A

    Ni ajabu sana kwa UKAWA kutegemea teuzi za Serikali ya CCM

    Labda nia ya muandishi ni kutaja nano FALSAFA ambalo kwake ni msamiati mkubwa sana, na ndio maana analitaja bila hata kujua maana yake.
  14. A

    Waraka kwa Mstahiki Meya Boniface Jacob

    Mimi naishi Bagamoyo, lakini nitachangia kwa maendeleo ya watu wa Kinondoni
  15. A

    Tetesi: Lowassa nchini Kenya tena

    Soma historia vizuri LIKUD party, cha Izraeli chama kinachoongozwa na Benjamin Natenyahu, kilianzishwa kwa mtindo huohuo.
  16. A

    Kwa Mlinganisho huu wa Meli, Bandari ya Dar kuna giza nene

    Ukiona mtu anajiita Mwenyeliti wa chama fulani wa mtandao wa jamii, basi inakupasa ujiulize maswali mengi. Je anajua maana ya mitandao ya jamii? Je anajua lengo la hiyo mitandao? Je ni sehemu mahala pa kubwanwaja bila ya kuwa na hoja? Ukijiuliza haya na kupata majibu yake basi sidhani kama watu...
  17. A

    Ben Saanane: Kama watu wameficha fedha majumbani, TRA wanapata wapi makusanyo mnayodai yameongezeka?

    Kama wewe ulielewa tofauti na sisi, basi inawezekana ukawa Mnajimu
  18. A

    Ben Saanane: Kama watu wameficha fedha majumbani, TRA wanapata wapi makusanyo mnayodai yameongezeka?

    Wewe ndio hukumuelewa Ben kwani ameeleza wazi kuwa hata kuchapisha fedha mpya ni gharama kubwa, na je na hizo mpya zikifichwa, je tutatakiwa kuchapisha nyingine mpya? .
  19. A

    Ben Saanane: Kama watu wameficha fedha majumbani, TRA wanapata wapi makusanyo mnayodai yameongezeka?

    Hebu na wewe tujuze unachojua kuhusu uchumi, maana mwenzako katiririka kwa hoja nzito, au na wewe ni wale wa buku 7?
  20. A

    Ben Saanane: Kama watu wameficha fedha majumbani, TRA wanapata wapi makusanyo mnayodai yameongezeka?

    Mkuu wewe ni kati ya watu waliokwisha jengwa hofu kiasi cha kutisha, tumerudishwa nyuma kifikra kwa takriban miaka kama 40 hivi, miaka ya Nyerere ambapo hata vichaa walikuwa wakiogopwa kwa kudhaniwa kuwa ni mashushushu. Nahisi na wewe siku hizi ukiona kichaa kavaa vizuri utakuwa ukimkimbia...
Back
Top Bottom