Search results

  1. LazyDog

    Nini kimewakumba Halotel?

    Miezi miwili yote hiyo ya nini - kufanya majaribio? Huo mbona muda mrefu sana. Mtandao wao umekuwa hovyo kwa kiwango cha kutisha. Ikichukua miezi miwili kwa speed hii ya kukatika-katika, hakuna mteja atabaki kwao.
  2. LazyDog

    Serikali yasitisha matumizi picha ya Rais Magufuli

    Kupiga dili kuko pale-pale! Mtu keshajitengenezea ulaji. Eti "picha ziko za kutosha", hakuna kitu hapo - wizi mtupu! Waweze kuandaa picha inayofaa kwa kampeni halafu hapa washindwe; NYOOOO! MCC ni ile ile!
  3. LazyDog

    David Silinde hakuwa mroho, anastahili sifa

    Ubungo - Kibamba, Tunduma na Momba. Wapi kwingine MCC walifanya uchakachuzi wakafanikiwa au kuangukia pua?
  4. LazyDog

    Viongozi wa dini wa Tanzania mbona mko kimya?

    BRAND acha udini, haki hutapewa kwenye sahani ya silver. Viongozi wa dini wanaingiaje hapa? Kuna serikali, Bunge, Mahakama, then UMMA. Duni Haji kasema, serikali yakwao, bunge lakwao, mahakama yakwao..... Changanya na akili zako; acha udini!
  5. LazyDog

    Nasikitika sana kupoteza jimbo la Segerea, sikufikiri kama Mtatiro atashindwa

    Tests of time my foot. And this current issue is not a test of time? Jitu lolote linalotoa kauli hadharani kabla ya matokeo yenye kufanania hii (See below) ni wa kudharauliwa. "napenda kuwajulisha kuwa hatuwezi tena kushinda ubunge wa jimbo hili"
  6. LazyDog

    Nasikitika sana kupoteza jimbo la Segerea, sikufikiri kama Mtatiro atashindwa

    Kama hali ndio ilikuwa hivi, Mtatiro analalama kitu gani? The same here. Kulalama hata matokeo yenyewe bado ni jambo la hovyo sana. Aliponikera zaidi ni kwenye sentensi yake asemayo "kufikiria mustakabali wa taasisi na watu wetu kuliko MASLAHI BINAFSI". Kama yeye hakuwa na maslahi binafsi...
  7. LazyDog

    Kenyatta is bad News! Sugar import from Uganda.

    Now there is this small argument between President Kenyatta and opposition Cord leader Raila Odinga about, of all things, Ugandan sugar. Kenyatta says it makes business sense to import Ugandan sugar, because Uganda is reciprocating and will import diary and beef products from Kenya, as per the...
  8. LazyDog

    Why the manufacturing having low index rating in Tanzania than retail industry?

    Ni jambo jema kuongeza kodi kwenye import ya bidhaa ili bidhaa hiyo izalishwe hapa nchini - ili mradi tu matayarisho ya kisera na utekelezwaji wake yakifanyika vizuri. Ila kinachoonekana kufanywa hapa pengine ilikuwa imelenga kuwaadhibu baadhi ya local manufactures wasioambatana na "System"...
  9. LazyDog

    Kadi ya mpiga kura - Hakiki taarifa kupitia simu yako

    Kwa waliohama wakahamishe taarifa zao ziwepo mahali watakapopigia kura tarehe 25/10/2015 Siku ya UCHAGUZI MKUU
  10. LazyDog

    Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    Raisi (EL) atafanya nini pakiwa na idadi kubwa ya wabunge wa UKAWA? Assumptions ni kitu kibaya sana. Msi-assume kwamba UKAWA hawajayafikiri haya mnayowatahadharisha nayo.
  11. LazyDog

    Kadi ya mpiga kura - Hakiki taarifa kupitia simu yako

    Una hakika na ulichoandika hapo au hii ni taarifa umeisoma/kuisikia toka kwa mtu mwingine? Huko yanakofanyika haya mmeshindwa kuwaarifu viongozi wa vyama vya upinzani walifuatilie? Hatutapiga kura kielektroniki; angalia tu uchache wa BVR machines utang'amua hilo. Hata kama wakibadilisha na...
  12. LazyDog

    Kadi ya mpiga kura - Hakiki taarifa kupitia simu yako

    Piga namba *152*00# na ufuate maelekezo. Au Bonyeza HAPA Kuhakiki Mimi napata ujumbe ufuatao kila mara: Huenda taarifa za mkoa nilipo bado hazijaingizwa kwenye daftari kuu. Ni mikoa gani usajili haujakamilika? Imetumika gharama kubwa ya walipa kodi kuileta hii system ya BVR - ili kuona...
  13. LazyDog

    Simu kujiwasha data na wifi yenyewe

    Huenda kuna virus. Simu yako inatoa pop-up messages zinazosumbua? Kuna hiki kirusi korofi angalia kwenye google: com.nb.superuser Kugundua ni kirusi gani, nili-install anti-virus na ku-scan simu. Kama sikosei nilitumia Anti-virus Dr. Web Light. Kukiondoa hiki kirusi sio rahisi. Mara ya kwanza...
  14. LazyDog

    Kwanini hotuba za Mwinyi Hazirudiwi? Vipi za Nyerere kuelekea Oktoba?

    Bwa-ha-ha-hah-aha-ha-ha-ha A HA ha-ha-ha-ha-ha-ha-ha-ha-hah......!
  15. LazyDog

    Kwanini hotuba za Mwinyi Hazirudiwi? Vipi za Nyerere kuelekea Oktoba?

    Hotuba za Nyerere nimeziona ITV. Kikwete anayo nafasi sasa ya kuzungumza kuhusu chaguzi za mwaka huu kwenye kipindi chake. Ila sasa, kama kawaida yake atafanya analoweza zaidi; kutalii na kubembea! https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/865480-rais-kikwete-azuiliwa-kuingia-denmark.html
  16. LazyDog

    Website nyingine ya TZ yadukuliwa (www.lrct.go.tz)

    Nadhani wameweza kurudi online. Google cache kwa website ya tacaids inaonesha hivi: Hii ni dhahiri kwamba, muda fulani kabla nao walidukuliwa.
Back
Top Bottom