Search results

  1. M

    Msanii bora wa mwaka JamiiForums, Piga kura sasa

    hiyo pull yakupigia kura ipo wapi wadau msaada please
  2. M

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Ali k 4 real
  3. M

    huyu atakuwa kafanya kosa gani?

    tehetehe picha imenikumbusha kijijini,jamaa kashikwa ugoni huyo hapo wananzengo wanamfundisha adabu
  4. M

    Tanroads kibaha

    wamekupigia simu au wametoa majina kwenye gazeti
  5. M

    Mwanaume: Ungependa kutoka na mwanamke yupi kati ya hawa??.....

    dokta hata tunza na afya yangu ili izidi kuboreka zaidi
  6. M

    msaada meatu na lindi wapi kwa kwenda

    kaka fafanua maafisa wa vyeo gani labda wakurugenzi ndiyo huwa hawataki kuhama, mimi kwa ushauri wangu aende Lindi maana Meatu watampeleka Bukundi atapigwa vumbi mpaka basi Kikwete mwenyewe anakujua anakwambia ukiwa unaingia Meatu utaona ukungu kwa mbali utafikiri mvua inataka kunyesha kumbe...
  7. M

    Mwenye kujua nini kinaulizwa kwenye usaili wa mchujo na jamaa wa tume ya ajira

    soma sana vitini vyote ulivyokua navyo chuo jamaa wanauliza mule mule
  8. M

    Module results for November 2012

    mmmmmmmmmmmmmmmh hatari kwelikweli,hivi hata E unakua umefaulu mimi uelewa wangu wote najua mwisho ufaulu ni C
  9. M

    Aibu kubwa tume ya taifa ya uchaguzi...

    wewe kweli ni mfatiliaji wa mambo? Lubuva na mkurugenzi wake ni wateuliwa wapya kabisa ya 2010 hayawahusu ile ilikua tume ya makame na mwenzie yule MJALUO
  10. M

    Aibu: Tume ya ajira kuweni makini na maandishi yenu kwenye mtandao wenu

    Utumwa wa lugha ndo umetufikisha hapa me sioni kama ni kosa swala hapa la muhimu ni kukikubali kiswahili tu ndo mambo kama haya tutayaepuka
  11. M

    Mh Mwanri, kujibu maswali kwa hasira ni kuwatisha wabunge...!

    Anatumia nguvu nyingi sana kuongea,huku katoa jicho mmmmmh uongozi kazi kweliiiiiii
  12. M

    Makato ya asilimia nane (8%) kwa ajili ya heslb sio haki

    lakini mnakumbuka utamu wa tirdo enzi hizo bac kulipa mlipe tu hata kwa 10%
  13. M

    Gari ya jack wolper yachomwa moto na watu wasiojulikana

    Watu hatupendani kabisa
  14. M

    Hivi Bongo kumbe Hali Mbaya namna hii!!!!

    Vijijini mbona sawa kabisa kunywa maji ya namna hiyo,na hapo ukimpa yaliyochemshwa utasikia anasema hayana ladha
  15. M

    Wanawake Kwa Vituko, mie simo hapoo

    hivyo siyo vituko ni MAUTAMU mpaka kwa kisogo
  16. M

    Ugumu wa maisha

    Dah! umenikumbusha chuo mkopo ulikua ukichelewa mademu choka mbaya utakuta mademu watatu wanakula chips sahani moja,utawasikia heti si HATULI SANA(kwa sauti yao ile ya kike) kumbe ukata hahahahaha!
  17. M

    Danger danger Magomeni Mapipa Hatari weye

    mdundiko huoooo
  18. M

    check this out

    none of the above
  19. M

    Haya ndio mapenzi ya kweli

    teteteteteeeeeeeeeeeee
Back
Top Bottom