Search results

  1. mathewa

    Mwarabu kafunga njia Red Sea, meli zinazungukia Afrika, watawala wa dunia wamekwama

    Mkuu huu ni uchumi wa wapi ukiosomea? Yaani marekani ikiwa na shida ya hela tu I aprint? Unajua madhara ya kuprint hela ovyo kwenye uchumi? Hivi unajua matumizi yoyote ya serikali ya marekani yanapitishwa na bunge? Hukuwa kusikia serikali ya marekani I afungwa kufanya kazi kwa sababu bunge...
  2. mathewa

    Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

    Hivi umewahi kufuatilia Israel wanachowafanyia wapalestina wa ukingo wa magharibi? Ukitaka kuuelewa huu mgogoro usichague upande kwanza. Fuatilia kwa kina utajua nani anafanya nini. Halafu jaribu kuvaa viatu vya kila mmoja wao uone ungechukua hatua gani.
  3. mathewa

    Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

    Kabla ya kuingia gaza Israel walikuwa wanajua hamasi wa mtandao wa mahandaki. Kwanini hawakuwqfuata huko huko chini wakawapiga kama kweli wanauwezo huo unao wasifia. Wamekaa kupiga mabomu na kuuwa watu wasio kuwa na hatia.
  4. mathewa

    Je, we Mtanzania kwanini unaichukia sana Hamas?

    Dini ni kitu kibaya kilicholetwa Duniani. Asilimia kubwa wanaoichukia Israel au palestina. Ni kwa sababu ya dini. Ukiweka dini pembeni ukaamua kufuatilia ukweli utajua tatizo liko wapi. Maisha ya kila binadamu yana thamani. Dini isikupofushe ukaona uhai wa binadamu mwingine hauna thamani
  5. mathewa

    Vita ya Tatu ya Dunia ikinukia:- Zijue nchi 31 ambazo hazina jeshi

    Ongeza na Vatikani inayolindwa na italia. Ila polisi wanatoka Uswisi.
  6. mathewa

    Mkutano Mkuu Simba

    Kwenye mbet. Hiyo report iliyosomwa imeishia desemba 2022. Kwahiyo ametoa nusu. Nusu nyingine nia kuanzia januari mpaka mwezi wa 6 . Kwahiyo subiri riport ya mwisho wa mwaka huu ndio utajua m bet ametoa sh ngapi
  7. mathewa

    Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

    Wakili wa shetani mbingunikwetu
  8. mathewa

    Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

    @Bado Tunaishi. UsingiziMtamu
  9. mathewa

    Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

    @Lanlady nakupenda weewe NITAKUKAMATA TU Today My Life Begins Youandme Together_ Will Make tz Heaven on Earth
  10. mathewa

    Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

    @Chrysanthemum nakupenda weewe
  11. mathewa

    Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

    @hela ngum Mzee wa kupambania
  12. mathewa

    Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

    mtu chake Mzee wa kupambania Pisi kali
  13. mathewa

    Hii Big Brother Titans kiboko

    Kila msimu wa big brother huwa wanachagua jina. Mfano kuna mwaka iliitwa big brother all stars. Kwahiyo ni jina tu
  14. mathewa

    Kulikoni matokeo kidato Cha nne kuchelewa kutangazwa

    Hata mtihani mwaka jana walichelewa kufanya. Kwahiyo ilitegemewa matokeo kuchelewa
  15. mathewa

    Pale Pastor anapoteleza ulimi wenye hekima humsahihisha

    Sio kweli. Halimlengi kila mtu. Sio wote wanataka kutoka miss kuwa Mrs, wengine ni wanaume, wengine ni watoto, na hata hao wanawake wameshaolewa. Sio kila mtu anataka kutoka kwenye usafiri wa umma. Wengine tayari wana magari yao
  16. mathewa

    Baraka Mpenja hawezi kumfikia Nazarethi Upete

    Ni kweli. Me nilivyokuwa namsikiliza nilijua ni mzee kabisa. Kumbe bado kijana
  17. mathewa

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Kumekuchaaa
Back
Top Bottom