Search results

  1. M

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    wanahitaji si kuvua tu gamba Bali kuchuna ngozi yote ya escrow vinginevyo hizi ni cheche tu za 2015
  2. M

    Ya Balali na CCM yananukia kwa Benno Ndulu: Bilioni 195.2 zaibwa BoT!

    EPA ilianza hivi hivi, ikapuuzwa baadae ikathibitishwa - ifuatiliwe kwa makini
  3. M

    Mke amkwida binti wa saluni wakati akimpaka mafuta mumewe!

    tena hawataki kusuguliwa wala kupakwa rangi na wa jinsia yao, siku hizi na mafuta wanapakwa unakuta mpaka na usingizi analala eti raha!!!!
  4. M

    Tanzania yapaa Kiuchumi - sasa ni ya 12 AFRICA

    Tusijisifu wakati tunaona mapungufu makubwa bado, tunao uwezo wa kuwa wa kwanza Afrika - dhahabu, almasi, tanzanite, uranium, gas, nk na uwezekano wa kupata mafuta, ardhi kubwa na nzuri; mito yenye maji muda wote, maziwa na bahari, misitu nk hata maeneo ya ukame tungeweza kuyabadili yakafaa kwa...
  5. M

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    wanaokamatwa wanatumwa tu kama unavyoweza kumbebesha punda mzigo, unfortunately wanabeba pia "risks" zinazoambatana na kukamatwa wakati wenye mzigo wametulia kwenye kiyoyozi wakiangalia luninga!! tamaa ya pesa za haraka - Big Results Now
  6. M

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    uzoefu dunia nzima unaonyesha mitandao ya kusafirisha sembe ni mikubwa na ina nguvu
  7. M

    Wanaume kukosa uaminifu, chanzo ni wanawake

    hii ni kutokana na uzoefu wa miaka mingi? maana icha yako yaonyesha umri umesogea
  8. M

    wasichana na chuki kwa wanaowatoa usichana.

    Yaliyopita si ndwele ..... Kashapata huyo
  9. M

    Kipi kinawatofautisha watu hawa? Edward Lowassa, Samwel Sitta na Ben Membe

    Ukweli tukiwa makini na kuwa wakweli wa dhati, katika hao hakuna rais hapo! Ni lini Tanzania tuipendayo itapata raisi mwenye nia ya kuendeleza watanzania badala ya kujinufaisha binafsi? Mwalimu alisema ikulu ni mzigo, mnakimbilia nini huko? Wanaokimbilia waogopeni kama ukoma! Tunawaogopa hasa...
  10. M

    VIDEO: Mwigulu aonya, Arusha wakiikataa CCM watakufa

    Mwanadiwani Hamjathubutu wala kuweza lolote, nchi imezidi kudidimia wakati Ina utajiri lukuki, hii si karne ya kuwa na Shule zisizo na madawati wala walimu tunabaki kujisifu kwa idadi ya shule na watoto walioandikishwa matokeo yake wanamaliza std 7 hawajui kusoma wala kuandika. Hii si karne ya...
  11. M

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Kuna haja kubwa kudhibiti hii milipuko inayoua raia wasio na hatia tena wakiwa katika kutimiza haki yao kikatiba, kabla ya kufikiria kupeleka majeshi DRC, Darfur, nk.
  12. M

    Makao Makuu ya Tanganyika: Mapendekezo

    Kila mkoa una historia, iringa watadai mkwawa alipambana na wakoloni, historia hiyo! Kule kilimanjaro chifu Mandara, historia hiyo! Vita ya majimaji nayo historia! Kagera nako chifu Rumanyika, tutakuwa na makao makuu kila mahali kihistoria, ingiza hoja ingine
  13. M

    Makao Makuu ya Tanganyika: Mapendekezo

    Dodoma yenyewe bado tunasuasua hatutaki kutoka Dar, nani hataki kuangalia meli zikiingia na kutoka? Tunazo tena upya Tabora? Nako tuweke mamlaka ya kujenga mji Mkuu? Bunge? Nk kwa uchumi upi? Maana tulionao tumeshindwa kuusimamia vizuri
  14. M

    Mwigulu Mchemba yupo hapa Arusha

    Sindano butu, matusi hayo!
  15. M

    Stanbic bank tanzania kunani...

    No relationship with al shabaab, only performance related issues!
  16. M

    Uhaini wa Mtwara ulipangwa

    Inahitajika kukaa na wananchi na kusema nao kwa kina,, shida ya politicians ni kujaribu kuleta suluhu kisiasa badala ya kiuhalisia na inawezekana wananchi wa mtwara wanaona wamepigwa changa la macho Ktk ahadi za uchaguzi ndio wanakuwa mad. Kuhusisha na upinzani kisiasa ni kuhafifisha uwezo wa...
  17. M

    Wagombea wa Urais 2015...

    Raisi 2015 hayupo hapo,
Back
Top Bottom