Search results

  1. M

    CCM Sengerema yapeleka mashabiki Rwanda

    Zaidi ya bus 5 za wanachama wa CCM. kutoka Sengerema. Kesho wanaelekea RWANDA kuisapoti Yanga. Hago yajili mji wa. Sengerema shamra shamra zimeanza. Kwa mbwembwe za mashabiki wa Yanga kutoka mikoa mingine kupiga mjini napa Kwa shangwe za vuvuzela
  2. M

    Mikopo ya elimu ya juu na changamoto zake

    MMm! Pasua kichwa ! Nimejaribu kuwasiliana na Bodi , huduma kwa wateja, wanasema kinachotakiwa ni copy iliyodhibitishwa which is which.....piga huduma kwa wateja usikie wasemacho.
  3. M

    Soko la Kayanga wilayani Karagwe laungua moto, Zimamoto watoka Bukoba kuzima moto

    Maduka zaidi ya 150 yateketea Tanzania Saa 2 zilizopita Mshirikishe mwenzako Image caption Zaidi ya maduka 150 yameteketea kwa moto Moto mkubwa umezuka na kuteketeza vibanda vya maduka zaidi ya 150 katika mji wa Kayanga wilaya ya Karagwe mkoa wa Kagera magharibi mwa Tanzania. Moto huo ambao...
  4. M

    Baadhi ya majimbo ya Kanisa Katoliki kusali(misa) Jumamosi (24/10/2015)

    Looh! Ukubwa dawa. Mwaka 1995, uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi. Makanisa mengi ya Rc yalisali Jumamosi. Kipindi hicho........Mrema alikuwa habari ......kwa kila mwananchi. Wenye kumbukumbu nzuri warejee
  5. M

    Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

    Kwa wale mliochaguliwa nyampulukano sekondary mnaweza kudownload joining kupitia NYAMPULUKANO SECONDARY SCHOOL
  6. M

    Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

    Kwa wale mliochaguliwa nyampulukano sekondary mnaweza kudownload joining
  7. M

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Ni wilaya iliyogawanyika kutoka Kibondo. Sehemu kubwa inapakana na nchi ya Burundi, na game reserve ya Mwaiwosi. Ni sehemu nzuri . Inapakana na Biharamuro, Ngara na si mbali kufika Kahama
  8. M

    Laptop inauzwa

    Unapatikana wapi Tanzania ?
  9. M

    Tanzania ! Tanzania nakulilia

    Nimetoka zangu Bukoba nataka kununua bidhaa kwenye jiji la Mwanza. Cha ajabu maduka yamefungwa, kisa kuna kesi ya kiongozi wa wafanyabiashara Dodoma. Dodoma na Mwanza wapi na wapi !Uchumi wa nchi hii utaenda kweli.........
  10. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

    sababu ni kukosekana kwa vifaa vya kura
  11. M

    Hofu ya Ebola Sengerema Mwanza baada ya mtu kufariki na kuhisiwa kuwa alikuwa na Ebola

    Kirusi cha Ugonjwa wa Ebola Watu sita wakiwamo wahudumu watatu wa afya wa hospitali teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wamewekwa chini ya uangalizi maalum baada ya kumhudumia mgonjwa aliyefariki akiwa na dalili za ugonjwa wa ebola. Mtu aliyefariki alitajwa kuwa ni Salome Richard (17)...
  12. M

    Onyo :soma ila jizuie kulia na uwe balozi mzuri

    My God. Hali yake ikoje sasa. Je, ameshatafutiwa mtaalamu wa saikolojia. Maskini Janeth.................
  13. M

    Jaji Mutungi ateuliwa kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, achukua nafasi ya John Tendwa

    Tendwa nje, nafasi yake yachukuliwa na Jaji Mutungi Kwa ufupi 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mheshimiwa Jaji Francis S.K.Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa. Taarifa iliyotolewa Dar Es Salaam leo...
  14. M

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Hongera kwa kutegulia kitendawili. Naomba attachment ya mishahara ya walimu. Siku njema
  15. M

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    mbona kimya ? Urusheni tuone nini kinachoendelea
  16. M

    Wapi nitapata heat press (T-shirt priting)

    Naomba kwa wana Jf, msaada wa wapi naweza kununua kifaa hiki na bei yake. " Heat press for tshirt Priting"
  17. M

    Ushuhuda wa mauaji ya polisi - Ngara

    Katika hatua nyingine, Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro, aliyeko wilayani Ngara kikazi, amejikuta katika wakati mgumu baada ya mwananchi mmoja mkazi wa kijiji cha Mugoma kuibuka na kuelezea wazi mkasa wa mauaji ya polisi wawili na raia mmoja. Kijana huyo, Said...
Back
Top Bottom