Search results

  1. Palloma

    Between your legs!

    Haika, kazi na dawa.............te he te he .............between you legs!!! Last Good Time..............Between your legs Never Been Kissed..........Between your legs Panic...........................Between Your Legs Last American Virgin.......Between your legs Dangerous...
  2. Palloma

    Naombeni ushauri

    Da Penny, pole wee, tena pole sana!!! Ingawa ndoa zote zina mawaa na makwazo, lakini yako kali! Ni kama wote mliparamia treni kwa mbele!!! Naona hapa kila mwana JF amejaribu kutoa ushauri wake!!! And most of what has been advised, wewe umeshamfanyia huyo mumeo kwa namna moja ama nyingine...
  3. Palloma

    Mapenzi Yanataabu

    Mpenzi njoo kwa haraka, Sijamaliza mapenzi bado nakutaka! Mbona ulipoondoka hukuniaga mpenzi, Mwenzako nakukukumbuka yananitoka machozi, Rudi wangu muhibaka unifutie simanzi! Tangu ulipoondoka moyoni sina tabasamu, Kuwaza na kukumbuka mapenzi yako matamu, Na iwapo hutafika ninahiari...
  4. Palloma

    Mtoto wa nje ya ndoa

    Maindainda, pole sana! Ni ngumu, lkn jitutumue ufanye vile unavyoona ni sahihi katika mazingira yako, haswa baada ya kufanya upembuzi yakinifu, ambao utakusaidia kuishi kutokana na matokeo yake. Kama wengi walivyokubali kuwa 'UKWELI HUKUWEKA HURU',lkn je hao wahusika wengine nao watakuwa...
  5. Palloma

    Leteni Maswali ya Kiafya Niwasaidie

    Dr, avatar yako inavutia yani ukiiona unashtuka kwanza kisha unataka uendelee kuitizama....nadhani ni therapy inayosaidia ubongo ukae sawasawa.....(sijui?!?!?) Dr, mtaani kwetu...huku uswahilini barabara ya 11...aliniambia kitu nikashtuka! Ati wakati fulani waifu wake alipokuwa mjamzito...
  6. Palloma

    Shairi: Utamu wa Tunda la kuiba - Kwanini?

    Jamvini najikongoja, Cheichei kwa pamoja, Heko mlotoa hoja 'Sauti ya Shamba' kwa kuleta hii hoja, Naye 'Mwangwi wa Handaki' kajibu moja kwa moja, Kaomba tumalizie Waridi chake kioja, Nami nabinya vitufe kujibu hoja kwa hoja, Tunda la kuiba tamu! Tulia na utulize moyo wako, Punguza...
  7. Palloma

    Kitandani kwetu...

    Wandugu, Nimewasoma!!! Kiukweli tulikuwa tunapendana sana,so much so I was so blind to notice any signs!!! Kusamehe "saba mara sabini" (hasa kwa wakristo) nadhani ni jambo la kheri, lkn kwa sasa kwa mimi ni gumu jamani, moyo wangu bado mzito sana tuuu sitaweza angalau kwa sasa, nahisi...
  8. Palloma

    Kitandani kwetu...

    Wajameni naombeni msaada wenu wana JF!!! Mimi na mume wangu tumeishi vizuri tu kwa muda mrefu mpaka pale alipofanyiwa surgery kubwa ya tumbo mambo yakaanza kuchange. Ingawa alichukuwa muda mfupi kupona lkn alizidi kusumbuliwa na high BP. Kwake ikawa ndio excuse ya kutofanya tendo la ndoa kwa...
Back
Top Bottom