Search results

  1. F

    Bungeni pawaka: KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI

    Wapumbavu hao achana nao, wanajali matumbo yao na maslahi ya familia zao na si kinginecho
  2. F

    Msingi wa nyumba

    Jenga chumba kimoja mbali na eneo unalotegemea kujenga ghorofa ili baadae kiwe stoo au servant quarter. Ukipata hela anza kujenga ghorofa moja kwa moja na msingi wake kama mchoro/boq yako inavyoonesha
  3. F

    Anaehitaji Nissan Xtail

    Wewe kweli ni f,a.l.a kama una hela si ununue! Kichwa maji...
  4. F

    Anaehitaji Nissan Xtail

    Hiyo umeoa ndoa ya kikristo ndugu yangu, ni wa kufa na kuzikana! Labda ukauze Sumbawanga..
  5. F

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Ni Dr Mathayo David, Kagasheki, Nchimbi na Shamsi Vuai Nahodha Source: ITV taarifa ya habari
  6. F

    KOVA: Mhe. Kapuya HANA Kosa la kuojiwa ni mambo yake binafsi

    Kwa umri na heshima ya Kapuya, kuguswa na kutuhumiwa tu kwa hayo tayari hakumpi nafasi ya kuheshimiwa tena kwenye jamii! By the way, nae ulikutana nae kama Mwigulu Nchemba na kumuona ana akili sana!?
  7. F

    Ritta Kabati azidi kuivuruga CHADEMA Iringa, Msigwa na Silinde wakubali kushindwa

    Mkubwa naona umeamka na ulanzi kichwani!
  8. F

    CCM kuendelea kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yao

    Kwenye hiyo picha wanaonekana wanafunzi wakiwa na sare za shule chini na juu wamevaa sare za CCM, na unaonekana ni muda wa masomo huo. Hivi ni lini CCM itaacha kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yake? na wazazi wa hawa wanafunzi wanaridhika na haya?
  9. F

    Biashara ya Lobster( Kamba Kochi)

    Hao watakuwa ni wadogo (gramu 500 kwenda chini), bei ya kamba koche kwa sasa ni Tsh 42000 kwenda juu kwa kama wakubwa
  10. F

    Utitiri wa baa Kinondoni

    Karibu Tusker hapa Meridian!
  11. F

    Cheap Brandnew laptops

    Hiyo ya laki 4 ina specifications zipi?
  12. F

    Mafia

    Boti unapandia Nyamisati ni kuanzia saa 4 asubuhi, nauli ni Tsh 10,000 na masaa 6 upo Mafia. Kufika Nyamisati unapandia gari Mbagala (uwepo pale saa 12 asubuhi na nauli ni 5,000 hivi. Ndege zipo ni Tsh 105,000 na 120,000 one way na ni dakika 35 tu Dar to Mafia! Karibu Mafia
  13. F

    Kawe: Vurugu zaibuka, Wananchi wavamia kituo cha Polisi! Mabomu yarindima

    You have an allergy with word CHADEMA, looks like you are well paid for your duty! Hongera...
  14. F

    ‘Halmashauri Ilala hauhisiki kuanguka jengo la ghorofa 16’

    Wao ndiyo wanatoa kibali cha ujenzi, hawawezi kukwepa hili!
  15. F

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Tutupieni picha, jengo lenyewe lilikuwa linajengwa au tayari lilikuwa na wapangaji ndani?
  16. F

    Msaada: Naomba kujua jinsi ya kufika Mafia-Island kutokea DSM

    Kuna ndege 2 kwenda Mafia, Coastal Aviation ndege 2 kwa siku saa 4 na saa 9 na nauli yao ni 120,000Tsh one way, pia wapo Tropical air wao ndege yao inaenda Mafia kila siku saa 4 asubuhi na nauli ni 105,000Tsh one way! Usafiri wa boti ni kupitia Nyamisati unatakiwa kuwahi Mbagala upande gari...
  17. F

    Ubadhilifu TAZARA Maghorofani: Tape ya Polisi Yatumika Kuweka Uzio Bar!

    Mkuu bar gani hiyo, siyo Image? Maana Image inamilikiwa na dada mmoja ambaye naye ni polisi
  18. F

    Mpango wa kuwawekwa kizuizini Viongozi CHADEMA waiva?

    Ningependa Rais Kikwete avunje vyama vyote ibaki CCM tu, maana hakuna maana ya kuwa na vyama vingi ikiwa dola, mahakama n.k. havitoa haki sawa kwa vyama vingine! Dola ishaona usipokuwa mwanaCCM basi wewe ni gaidi, jasusi n.k. Tunapoteza pesa na muda tu, ibaki CCM wafanye watakalo au vinginevyo...
  19. F

    Nahitaji samaki wa kufuga

    Nenda Kingolwira, Morogoro kuna kituo cha Ufugaji samaki chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Wanatoa huduma ya Ushauri na pia wanauza vifaranga vya samaki
  20. F

    Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    Sasa hivi ni vikumbo tu hukuo, usishangae ukikuta mzee wa kusinzia/kula mtandao aka John Komba keshakamata goma. Le Mutuz ataambulia baada ya Mwigulu nae kujilia...
Back
Top Bottom