Search results

  1. G

    Jesca Kishoa, asimamishwa Vikao viwili vya Bunge

    Kubenea si ana ushahidi angempa mbuge mwenzake???? Teh Teh Teh Teh:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
  2. G

    Kaka picks his dream XI

    Put him in your best xi
  3. G

    Tundu Lissu na Mchungaji Msigwa, acheni chuki za kitoto kwa Zitto

    Jamani gazeti lenyewe lililoripoti mmelisoma?.. Ni Habari Leo... Msibishane bila kujua source... Habari Leo linapenda sana kumfuatafuta Tundu Lisu....
  4. G

    Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Hapa sijaona jipya zaidi ya kurudia kauli zilezile... maisha mema ACT...
  5. G

    Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

    Uwezo wangu wa kufikiria hauna mashaka ila nina wasiwasi na nyinyi mlioshikiwa akili na huyo Maasai...
  6. G

    Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

    Shida yako shule...mgonjwa anaonekana hata kwa macho tu hasa mtu anayemfahamu kwa muda mrefu
  7. G

    Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

    We can not bank on a "dying" president!! the guy is sick wajameni...
  8. G

    Chronological History of man in Tanganyika (now Tanzania)

    Kwa sisi wana historia huwa tunaogopa sana eti kusema hii ndio "chronological history of Tanzania." Kwa sababu kubwa kuwa historia haihusishi matukio tu inahusisha na 'processes' nyingi zaidi. Nirudi katika the so-called chronological history of Tanzania; Mambo mengi ya msingi yameachwa kwa...
  9. G

    Kumbe utajiri wa Lowassa ameupata kupitia njia hii ngoja mimi nijaribu nione kama ntakuwa kama yeye

    Throw your naked eyes on AICC; Ministries of Water and Livestock and also Land; Richmond and so forth, you shall get a bare truth about his wealthies. Do not also aignore DC's complains on his three years as a PM (I am told every DC was imperatively forced to pay him 3 mill when he was in his...
  10. G

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    I am afraid you have a brain handicap! Can't you understand even that pretty simple swahili lady? The glimpse of my post was that Mnyika has not completed his study due to unethical and political (not academic) propaganda at UDSM which are CCM biased. Generally I suported Mnyika's defence. Dont...
  11. G

    Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

    Hizi ni busara zangu kabisa! Born wise
  12. G

    Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

    Naweka rekodi sawa "Mwakyembe hajawafukuza kazi wale watumishi ila wamewatoa pale airport na kuwataka kurudi kwenye wizara zao na kama vipi wachukuliwe hatua stahiki huko"
  13. G

    Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

    Sasa unabisha nini wewe? huyu ni mbunge wa mahakama kwani wao Chadema hawamtaki.... kama unamtaka mchukueni
  14. G

    Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

    Hongera Mbunge wa Mahakama Kuu ya Tanzania....
  15. G

    Nimeishia tu Kumuita Shemu

    Lazima achakee sanaaaa
  16. G

    Nimeishia tu Kumuita Shemu

    I had been stuck on an issue in my office, after your thread I can now restart thinking positively on the same issue, many thanks indeed... hahahahahahahahaaaaaaa
  17. G

    Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

    Kushinda kura za maoni sio garantii ya kuwa mgombea; mwacheni Madega anaweza pewa na Kamati KUU ya wezi...CCM
  18. G

    IGP afunga njia Ubungo-Kimara

    Hii ndio Tanzania niijuayo Albani
Back
Top Bottom