Search results

  1. FOR 2015

    Madhara ya kuchelewesha sana Baraza la Mawaziri

    Mkuu Mchambuzi umeongea vema sana. But I think kila jambo zuri linahitaji muda kulifikia. Kama Mhe. Rais JPM anachelewa kutangaza Baraza kwa sababu ya gharama still sio big deal and I don think hiyo ndiyo fikra yake. Najaribu tu kufikiri kwamba anataka kuhakikisha napata Mawaziri walio...
  2. FOR 2015

    Lubuva: Kinachosomwa na tume ndicho kilichopo majimboni

    Kimsingi Lubuva yuko sahihi maana Hackers wa CCM wanachokifanya ni kubadili numbers na sio saini za mawakala. The best way ya kujiridhisha ni kuhesabu upya pengine iwe Manually. Maana utaratibu huu ki-ukweli ilishaleta matatizo kwa nchi ambazo zimeutumia. Tuhesabu kura upya manually irrespective...
  3. FOR 2015

    Taarifa kwa makamanda na wadau wote wa mabadiliko chini ya UKAWA

    Karibu sana Kamanda. Pole na hongera
  4. FOR 2015

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Dalaying technic. Afu wakija kutoa tamko kesho litakuwa lenye Mkanganyo ili kuendelea kuwaogofya wananchi......Hata hivyo siku zote haki hushinda. Na uchaguzi huu kuna kina dalili za kushinda
  5. FOR 2015

    Masoud Kipanya katika ubora wake

    Vyovyote tulivyomuelewa Kipanya ila katuni hii inaonesha is in favour of CHADEMA
  6. FOR 2015

    January Makamba and CCM finally admit failure

    Yes they have admitted Changes. They even don know what to do, where to stand and stand on what. Many Ploliticians in CCM think they will win simply because they have Army and Police. Time for Changes and Changes don wait. We go into Changes with Lowassa, we go into changes with CHADEMA, we go...
  7. FOR 2015

    Ungependa nani awe Speaker wa Bunge lijalo?

    Kwangu Mimi Prof Baregu anastahili na anafaa sana na mbadala wake anaweza kuwa Prof. Safari
  8. FOR 2015

    Counting Down: Lowassa na Dr. Magufuli, mpambano wa karne

    VUTA-NKUVUTE Hivi Mzee Tupatupa wewe hukuamia Upanga?
  9. FOR 2015

    Nani mmiliki wa gazeti la Raia Tanzania?

    Raia Tanzania ni gazeti dada la Raia Mwema chini ya Umiliki wa Jenerali Ulimwengu. Mhariri wake ni Ezekiel Kamwaga aliyekuwa nchini Australia hivi Karibuni katika msafara wa JK.....Unganisha nukta
  10. FOR 2015

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Mkuu mambo yamebadilika sana. Mama hapendwi kama unavyofikiria. Na sasa vijana ndio mtaji wetu. Kwa bahati nzuri wanatoka kijiji kimoja na Tibaijuka. Lazima Tibaijuka aombe poo.....Kashasira yuko vizuri mno. WanaMuleba wako tayari kwa mabadiriko
  11. FOR 2015

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Kura za Maoni zimekamilika. Kamanda Alistides aliibuka mshindi kwa kura nyingi ikiwa ni pamoja na kura za Kamati Tendaji ya Jimbo. Ni matarajio yetu kuwa Kamati Kuu itaturudishia jina la Alistides Kashasira. Kimkakati na Kimazingira Kamanda Kashasira anaenda kumgalagaza Mama Tibaijuka...
  12. FOR 2015

    Pendekezo la Maridhiano Juu ya Lowassa (A Proposal on Compromise): Kutoka Hapa Kwenda Kule...(2015)*

    Tupo kwa ajili ya kujenga. Wengine hatujajikita katika ushabiki, tunapenda zaidi kueleza mantiki kwa muktadha wa Taifa
  13. FOR 2015

    Pendekezo la Maridhiano Juu ya Lowassa (A Proposal on Compromise): Kutoka Hapa Kwenda Kule...(2015)*

    Ushauri mzuri sana wa kimuafaka. Ni matumaini yangu kuwa baadhi ya mambo yanaweza kutekelezwa soon, mengine yanaweza kutekelezwa kadri siku zinavyokwenda. Angalau nimeridhika kwamba Mzee Mwanakijiji wewe ni mwanamageuzi wa kweli na si mtu wa kukurupuka
  14. FOR 2015

    Dr. Slaa, Josephine, Mwanakijiji et al: Hii Meli ya CHADEMA/UKAWA Tayari Inaondoka, Uamuzi ni Wenu

    MMM panda ndugu yangu.....Inaenda wapi Captain ashatangaza, na king'ora kishapigwa...lakini pia kwani wewe unataka kwenda wapi?
  15. FOR 2015

    Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    CC ya CCM ilikuwa na wanahabari?
  16. FOR 2015

    Diwani wa CHADEMA atelekeza Kata kwa Miaka 4, Wananchi wakosa Muwakilishi

    Juliana Shonza Hivi wewe unajua maana ya Maduhuli au unajiandikia tu
  17. FOR 2015

    Majina matatu kati ya matano yatakayopitishwa na Kamati Kuu ya CCM na sababu zake

    Ondoa Asha Rose Migiro weka Edward Lowassa
  18. FOR 2015

    Edward Lowassa special thread

    Kwa nini hafai. Sababu tatu tu nzito
  19. FOR 2015

    Dr. Slaa uso kwa uso na Zitto kwenye Mdahalo tarehe 18 June!

    Tangazo linasema Presidential Aspirants. Bado naendelea kujiuliza kama Zitto ni mgombea urais mtarajiwa. Kisheria, kikanuni na kiutaratibu hataweza kugombea kwa mwaka huu. Kama ndivyo na kama kweli ni mtu wa kutafakari sitarajii atokee kwenye mjadala huo lakini pia sitarajii Dk. Slaa, Prof...
  20. FOR 2015

    Bungeni: Lukuvi Kanishangaza Sana!

    FaizaFoxy Thread yako imesukumwa na udini
Back
Top Bottom