Search results

  1. Muk

    CHADEMA yang'ara Morogoro

    hongera zao sana na hiyo ndo demokrasia
  2. Muk

    Wasomi waponda hotuba ya Magufuli Dodoma

    Wasomi wa bongo bwana ni mishangao wenyewe kila kitu wanapinga tu. mmmh kweli kazi ipo.
  3. Muk

    Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

    Acha unafiki wewe. Kwani kushindwa kessi ndo mwisho wa kufanya kazi?
  4. Muk

    CHADEMA kufanya kongamano kesho, kupinga ubaguzi wa rangi

    Nendeni nyie wenyewe maana nyie ndo wapenda maandamano
  5. Muk

    Uchaguzi wa Meya Ilala: CCM wasusa na kutoka nje, wapata kura 0 na UKAWA 31

    Kwani dodoma nako ni kijiji na mwanza je?
  6. Muk

    Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

    Bora aisee tupumue maana hao jamaa ni waongooo
  7. Muk

    Gazeti la Economist lamwagia sifa Magufuli

    Huyo ndo Magufuli kimataifa
  8. Muk

    Kuwa na ganzi na kusikia miguu na mikono kuwa ya moto

    asante kwa ushauri ako rafiki. ila unikumbuke kwenye sala zako
  9. Muk

    Kuwa na ganzi na kusikia miguu na mikono kuwa ya moto

    Habari wa JF, Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 32. nina tatizo la miguu na mikono kuwa ya moto na pia kuwa na ganzi ni tatizo ambalo limeanza kama wiki 4 zilizopita saa nyingine hata nikivua nguwa huwa najihisi kama sijavua ngu nahisi kama ninazo mwilini. Nimekwenda hospitali moja hapa Dar...
  10. Muk

    CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

    umenena hapo. ila wataipenda 0ct 25. hapa ni kazi tuuuu
  11. Muk

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    jionee huruma wewe mwenyewe maan ahuyo atashinda tu
  12. Muk

    Yussuf Manji: Kingunge ni mnafiki, alilikata jina lake uchaguzi 2005!

    huyo mzee kingunge ni mnafiki kweli kabisa. afu anasema haende kwenye chama chochote na hali yupo na lowassa muda wote. na wanafiki wote huwa wanafeli
  13. Muk

    Mhe Mkapa: Tukitaka Mabadiliko Tubebe Mimba?

    kumbe nawe huna huakika kama amesema, basi ni vema ukanyamaza
  14. Muk

    Msaada wa jinsi ya kuformt samsung galaxy S4

    Habari wa jf naimani na wataalumu wa humu ndani naombeni mnisaadie kujua jinsi ya kuformat samsung galaxy S4 maana nimeshindwa kufanya. msaada wanandugu natanguliza shukrani sana
  15. Muk

    Anaeweza kuroot HTC na samsung

    na jinsi ya kuformat simu aina ya galxy s4?
  16. Muk

    Mapokezi ya David Silinde ni ushahidi CHADEMA mlifanya makosa

    jamani kwa kwelihuyu jamaa mi namkubali sana tena sanaaaaaaaaaa. yani kama atahama nitaumia sana
  17. Muk

    Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

    mi napenda kuwaambieni kuwa hicho chama cha ACT hikitafika mbali maana wote wanaoenda huko wanategemea kupata uongozi sasa kama wakikosa ndo ugovi utakapoanza mi nawaambieeni tena hawatafika mbali. ukiwa mroho wa madalaka hutafika mbali.
Back
Top Bottom