Search results

  1. D

    Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

    Wewe lala, naona umeanza kukurupuka! Tangu lini majibu sahihi yakahitaji majibu?
  2. D

    Kuitwa kwenye usaili TANAPA

    Wewe unayejiita umezaliwa tena una akili sawa sawa kweli? Au ulizaliwa mapema sehemu ya akili zako ilikuwa bado haijatengemaa? Umeona hizo kazi zote za TANAPA zina watu 500 kwa post 1? Kazi gani hiyo? Hebu itaje. Usije ukawa unaropoka tu hapa kumbe hata kusoma kwenyewe hujui na vyeti ulivyo...
  3. D

    Kuitwa kwenye usaili TANAPA

    Wadau, nasikia kuwa TANAPA wametoa majina ya wanaoitwa kwenye usaili wa nafasi mbalimbali zilizotangazwa mwezi Machi, 2013. Mwenye hiyo link atupie tafadhali maana kwenye website yao naona hakuna kitu!
  4. D

    Updates: UDIWANI Mianzini Mpambano ni CCM Vs CUF

    Kabla hatujaja kuokoa, kule Mtwara umeshaenda kuyaokoa Magamba? Nasikia kule hamkusimamisha wala kukalisha mgombea udiwani, mmeamua kuingia uvunguni bora sisi tumeingia mitini ambako tunaonekana hata mchana kweupe!!
  5. D

    Updates: UDIWANI Mianzini Mpambano ni CCM Vs CUF

    Duh, kwenye CSEE ya 2012 somo la Jiografia ulipata ngapi? Yaani Kigoma Kaskazini, Maswa Mashariki, Maswa Magharibi, Ubungo, Kawe, Mbeya Mjini, Iringa Mjini, Ilemela, Nyamagana, Singida, etc. vyote hivi viko Kaskazini? Au ni Kaskazini mwa Kusini, Magharibi na Mashariki mwa Tanzania? Pamoja na...
  6. D

    gari!

    Mimi nina Toyota Rav4 ilinunuliwa kutoka Uingereza na kuingizwa nchini mwaka 2009, Ni Manual Transmission, ya mwaka 1999, Sports Ream, Mileage ni 120,000km na imelipiwa kodi na leseni hadi May. Nataka kwenda kusoma ndio maana naiuza. Ipo Dsm, kama utaihitaji tuwasiliane kupitia 0719077297.
  7. D

    Toyota Mark II kwa Tshs. Mil. 5 Tu!

    Ni Automatic Transmission, Mileage ni 130,000km na imelipiwa kodi na leseni hadi May. Nataka kwenda kusoma ndio maana naiuza. Ipo Dsm, kwa anayehitaji ani-pm.
  8. D

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Kakosea, Butimba TTC haina A-Level. Kama ni Butimba basi labda alikuwa anamaanisha kuwa mwaka 1998 - 2000 Nape alikuwa gereza la Butimba!
  9. D

    Huyu Dr. Bana vipi?

    Yule jamaa ni kanjanja na kibaraka wa Magamba A to Z. Na sijui ni kwanini vyombo vya habari huwa vinapendelea kumpa coverage wakati anachokizungumza kinazidiwa na maoni ya wanakijiji ambao elimu yao kubwa ni Std VII. Hovyo sana huyu kada wa Lumumba!
  10. D

    Nahitaji Msaada wa Security Codes za Nokia C2-03 na 7210

    Wakuu, nahitaji ssaada wa Security Codes za Nokia C2-03 na 7210. Nafahamu kuwa Security Code ya Nokia N1280 ni 12345 nikadhani kuwa hii ndio kwa simu za Nokia zote kumbe sivyo.
  11. D

    Ha ha haaaaaa ni Mulugo tena!

    Heeee????????? Yaani unataka AKILI NDOGO ya MULUGU (jamaa hata ID yake kakosea jina lake mwenyewe!) ije ijibu maswali ya AKILI KUBWA za hapa JF? Hivi huyu m.k.w.e.r.e alimtoa wapi huyu kilaza? Au kwenye bao?
  12. D

    Mdada huyu ananisumbua

    Tena na foleni hizi za Dar? Huyu kweli anawapima akili WanaJF. Mi namshauri huyu jamaa anitumie namba za huyo bidada mi nionane naye naamini atanipenda na kuniganda na hatimaye nikamuondolea huo usumbufu anaousema na pia nitasuuza roho ya huyo bidada anayeonekana kuwa yu mpweke. Asipotuma hiyo...
  13. D

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Huko sio kukosea, na wala sio kujifanya eti akusanye taarifa zaidi. Taarifa gani hizo huyo 6gate wenu atazipata kulingana na kukosea kwake? Hivi unaelewa hasa maana ya UWT na namna wanavyofanya kazi? Kwa akili yako huyo 6gates hata akipupu utasema kafanya hivyo makusudi ili akusanye taarifa...
  14. D

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Kama huyo 6gate naye ni mmoja wao basi nchi hii haina watu wenye sifa kwenye hiyo Idara ya UWT. Cheki kiingereza chake: "If yes were did you got this idea?" Halafu mtu kama huyu ndio unakutana naye akufanyie usaili! Ama kweli ni Tz tu ndipo utakuta akili ndogo zikiongoza akili kubwa! Khaaaa...
  15. D

    Lulu sasa abadilishiwa mashtaka

    DPP Feleshi ni janga la taifa! Wala sio udini, yule jamaa hata cheo hicho alikipata kwa kubebwa na............... He is incompetent, ama kweli haya ni mojawapo ya maajabu mengi ya Tanzania, kwamba AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA!
  16. D

    Rafiki wa kiume aliye na nia ya kuwa MUME awe na imani ya Kikiristo

    Hapana, wee m-MP tu. Usim-PM!
  17. D

    Inauma hivi kuwa single...

    Wewe ni Nabii halafu unafanya ufuska/uasherati/uzinzi kila siku na tena huoni aibu kujitangaza hapa? Dah! Ama kweli Dunia hadaa Ulimwengu shujaa!
  18. D

    Ninafanya Mapenzi na Mke wangu kwa Picha/Hisia za Mke wa Mpangaji Mwenzangu

    Hapa umesoma au umeandika? Kumbe Kiswahili ni kigumu namna hii? Aisee!
  19. D

    Wale wote wanaozaa nje ya ndoa wafungwe!!!!!

    Nyani Ngabu, Watz wengi ni wajinga kwenye maswala ya Katiba. Wanaropoka tu na wala hawajui tofauti ya Katiba na Sheria zingine. Mmoja alishawahi kusema Katiba Mpya izuie safari za Rais nje ya Nchi! Sasa sijui kama alishawahi kuiona hata Katiba ya sasa ajue kama imetoa ukomo wa safari za viongozi...
Back
Top Bottom