Search results

  1. Mr Ambassador

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Hivi kama hauna taasisi za kupewa misamaa ya kodi unataka watu/serikali ije kuwagawia hela kweli? Anzisha taasissi alafu isipewe msaada then dai haki yakooooooooo!!
  2. Mr Ambassador

    Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

    Tatizo watawala wa hii nchi wanajua Tanzania ni Dar es salaam. Mikoa mingine ni wasindikizaji tu. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  3. Mr Ambassador

    CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

    Kweli Mkuu kuna tatizo kubwa sana la Comfidentiality ndani ya CDM na ndio litakipoteza chama. Nadhani vijana waanze kufanyiwa veting labda itasaidia. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  4. Mr Ambassador

    Manchester utd na simba sc kwa afya bora.

    INASHAURIWA NA WATAALAMU WA AFYA USIPENDE KUUTESA MOYO WAKO SABABU UPO DELICATE HUCHELEWI KUZIMA GHAFLA!!! HIVYO INASHAURIWA KUIPENDA MAMNCHESTER NA SIMBA KWA AFYA BORA. RED ARMY :bange:​
  5. Mr Ambassador

    Jangwani Wamefurahi kimoyomoyo

    Inaonyesha Yanga wamefurahi kimoyomoyo kukosekana kwa Okwi na Maftah laa sivyo wangekaa nne jana. Maana walishangilia vibaya mno.
  6. Mr Ambassador

    Milioni Hamsini (50,000,000) zimeingia kimakosa kwenye Account yangu

    Kaka huo mpunga daah! embu jaribu kuongea na bank iliyokaribu nawe uliza kwanza imetoka kwny account gani uckute ni michezo yao ya kusafisha counterfeit money kama ndivyo mpige pasu kwa pasu na mwenye huo mpunga.
  7. Mr Ambassador

    tumia line yoyote kwa modem yoyote bila ku unlock

    Nimefuata procedure zoto ila inataka access point., user name, password na additional initialization commands
  8. Mr Ambassador

    Tatizo la kutumia Sumsung GTS5603 kama connector ya Internet.

    Nataka kutumia Sumsung GTS5603 kama internet connector ila napata ujumbe huu "RasGetEntryProperties sizing failed error 771" Tatizo litakuwa ni nini wadau? Naomba msaada.
  9. Mr Ambassador

    Q-Chief ajipachika jina/a.k.a ya 'Chichi'

    Lakini chichi ni jina la kawaida kwetu kuna jamaa mmoja tumekuwa nae anaitwa chichi.
  10. Mr Ambassador

    Q-Chief ajipachika jina/a.k.a ya 'Chichi'

    Haya ni matokeo ya safari za mombasa.
  11. Mr Ambassador

    Hi!

    Mambo vipi wadau am just come here! just to hi cuz looong time cjaingia humu enjoy yr life.
Back
Top Bottom