Search results

  1. AKILImuchknow

    Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    halafu eti kwa miaka 8 visigara 6 tu anajiita mvutaji mzuri!....dah
  2. AKILImuchknow

    Nitajie Uzito na Urefu wako ili nikwambie Hali yako ya Lishe

    onesha hata chembe ya shukrani mkuu...jamaa kasema ameamua kujitolea bila malipo!...hayo mengine yako
  3. AKILImuchknow

    Mashindano ya ubora wa bangi

    dah mwana umenikumbusha mbali kinyama!....Lost Boyz walipotimba bongo walipewa kitu cha Malawi afu mixer kama hyo ila ya ma.vi ya ng'ombe!.....puff kunya,puff kujamba!!...zingine zote famfa tu!
  4. AKILImuchknow

    Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

    Dah so sad!....Return If Possible,Geez man!
  5. AKILImuchknow

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    jibu moja la akili sana hili mkuu Chinga One....afu ukimuona Paula kilaki mwambie dah heshima zake mingi sana!! Mi ushauri wangu kwa sasa huu uzi uwe sticky!
  6. AKILImuchknow

    Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    oooooooh!.. Chinga One vp tena,mbona wamvutia chobingo huyo mtoto?!! Mrembo by Nature kama vp twenzetu tukawachungulie!
  7. AKILImuchknow

    Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    bhhaaaaaa kwani kuna ntu anokudai na weweeee!
  8. AKILImuchknow

    Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    mbona ninyi wenyewe kwa wenyewe mnambwanda kusanuana nani ni nani?mnaishia kutaja majina ya wenzenu tu!...kama vipi nendeni chemba...,sio kesi! cc: Sizinga queen of sheba Chinga One Madame B geniveros Kim nana
  9. AKILImuchknow

    NMB Idara ya mikopo Rushwa imekithiri

    We pwapwasa acha kuchafua majina ya watu kidwanzi!hiyo 25000 hukuombwa na ndio mana umeshindwa sema sababu ulizokuwa unapewa hadi ukafikiria unazungushwa sana na kwamba wote ni walewale wanaotaka rushwa. Pili,mikopo ya biashara na ya watumishi inashughulikiwa na maafisa mikopo tofauti,onesha...
  10. AKILImuchknow

    Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    Nimejisikia fresh sana kwa huu uzi,mana nakumbuka miaka ileeeeee tulikuwa hatutukaniwi mama zetu kama sasa.,tulikuwa tunaambiwa "ndio mana Mmakonde!"..,baaaas!lilikuwa tusi tosha kukufanya ujisikie vibaya sana!! Mtwara kucheelee!!.....kila munu ave na kwao,bhaaaaaa!!
  11. AKILImuchknow

    Saleh Jabir, Diplomatz, Nigga 1 & mambo ya 1990's

    hahahahahaha.... mamakibunju huwezi ukawa demu!....ni hisia tu, usinimaind!
  12. AKILImuchknow

    Samsung galaxy s3 used wanted

    Ntakupatia S3 Galaxy mini, tutafutane kesho panapo majaaliwa yake Allah
  13. AKILImuchknow

    Samsung galaxy s3 used wanted

    Mkuu jiongeze hadi 350k nikupe kitu kipya kabisa na accessories zote
  14. AKILImuchknow

    TANZIA: Maxence Melo amefiwa na baba yake Mzazi

    Pole sana kamanda.tupo pamoja
  15. AKILImuchknow

    Re: Nyumba inauzwa Mwananyamala

    mkuu si kaweka namba?huwezi kuwa interested na biashara ya m370 afu ukakosa vocha ya kupiga kuulizia mambo mengine!.....au alimradi nawe umecomment?kuwa serious!
  16. AKILImuchknow

    Mhitimu niliepoteza dira

    Mkuu wapo wahitimu km ww wana miaka miwili mpk mitatu mtaani na bdo hawajakata tama.km hipo hipo tu.ushahuri wangu husichague kazi.tafuta ajira yyt hata kwa mshahara wa 150,000 angalau husikoe ht hela ya nauli na kutolea fotokopi cv zk.mm mwnyw nimesota miaka miwil na ajira vibarua ila kwss...
  17. AKILImuchknow

    Msaidieni dada huyu

    kampuni yetu inatafuta wafanyakazi wa kike.mshahara 150,000 kwa mwezi.chakula cha mchana free.km yupo serious mwambie anitafute.umri co ttz.mwmbie anitext kupitia namba yng 0712376107 ajitambulishe mm ntampgia nimpe maelekezo.
Back
Top Bottom