Hiyo whèel spanner ni sehemu ya gari, maana yake ukiinunua gari na wheel spanner unapewa kwa ajili ya safari pia ukizingatia hii ni gari ya mizigo, tyre ni mpya lakini unaweza kutana na msumari pia barabarani
Habari wana JF
Ninauza Gari langu aina ya Suzuki Carry/ kirikuu , Gari ni nzuri sana haina shida yoyote , inaendeshwa na kufika mkoa wowote , haijawai kufunguliwa engine wala gear box.
Ina mwonekano mzuri sana (mint condition), ina AC na tyre zote ni mpya zina miezi 2 tangu ziwekwe.
Kwa...
Hi JF
Natafuta cabin / kichwa cha mitsubish canter kwa ajili ya kurekebisha gari yangu canter tipper iliyopata ajali.
Sifa za cabin.
Iwe ni ya canter mayai siyo box
Iwe na dash body complete isiyochakaa
Rangi yoyote inakubalika.
Cabin iwe complete yani ina kioo na milango iliyokamilika.
Bei ni...
Natafuta kiwanja au shamba eneo la Busisi / Kigongo feli Mwanza au upande wa kuelekea Sengerema.
Eneo liwe barabarani
Ukubwa wowote kuanzia nusu hekari hadi hekari 2.
-Eneo liwe barabarani linaweza kuwa na hati au halina.
-Linaweza kuwa limepimwa au halijapimwa.
Uaminifu ni muhimu malipo...
Natafuta matank ambayo hutumika kuifadhia mafuta kama petrol , diesel au mafuta ya taa. Unaweza kuwa nayo wewe, rafiki yako, jirani au sehemu yoyote unayojua naomba uniunganishe, yanaweza kuwa sehemu ilipowai kubomolewa sheli (petrol station) ,, au mtu alipanga kujenga sheli badae akahairisha...
Hongera sana kijana kwa kubuni hili ni wazo zuri sana keep it up. Ushauri wangu siku hizi kuna matapeli wengi jambo ambalo linafanya biashara nyingi au mawazo ya biashara kufail hivyo jitaidi sana kuwa mwaminifu na kuwafundisha vijana wako kuwa na uaminfu wa hali ya juu sana, kwani likitokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.