Search results

  1. Mparee2

    Tuangalie upya Mfumo wa Elimu ya MASTERS & PHD

    Hivi huu utaratibu wa mtu kusoma mfano Education (bila tourism hadi Masters) halafu afanye ka research ka Tourism apewe PHD Eti kuanzia hapo atambulike kuwa amesoma Tourism hadi kupewa PHD naona haupo sawa. Huyo mtu, akisimamishwa na mtu aliyesoma tourism kwa ngazi zozote (Certificate...
  2. Mparee2

    Ushauri wa bure kwa ATC

    Baada ya shirika letu pendwa kuendelea kushusha vyombo (madege mapya na ya kisasa) ni wakati sahihi wa Kuajiri Marketing Manager Mzungu na pengine Ops Manager. Wenzetu wapo smart sana, anapewa malengo asipofikia anaondoka, tunaleta mwingine hadi kieleweke.... (Ila asiingiliwe mipango yake na...
  3. Mparee2

    Ushauri wa bure kwa abiria wa Bodaboda; Usipande bodaboda kama...

    Kama unatumia Bodaboda hasa maeneo ya MJINI pitia hapa! 1. Usipande bodaboda isiyokuwa na vioo vya pembeni (saiti mira) – side mirror Pikipiki ambayo haina vioo vya pembeni, dereva haoni gari linalokuja nyuma au hata akitaka kupinda, haoni nyuma hivyo uwezekano wa kugongwa ni mkubwa sana; ni...
  4. Mparee2

    Kudai barua ya ajira kabla ya kulipwa mafao

    Kutokana na maendeleo ya Technologia, ambapo zipo njia za kuaminika zaidi za kumtambua mtu; napendekeza Sheria ya Kudai mzee aliyekuwa mfanyakazi pengine kwa miaka 30 alete barua aliyopewa wakati anapata ajira kwa mara ya kwanza ili aweze kulipwa mafao yake iondolewe. Nafikiri wanaweza kuweka...
  5. Mparee2

    Malori chakavu ni chanzo kikubwa cha ajali

    Kwa watu wanaosafiri kwa magari mara kwa mara watakubaliana na mimi kuwa, madereva wa Malori ni kati ya madereva walio iva kimafunzo pengine kuliko kundi lingine lolote barabarani. Huwa wapo makini, waangalifu, na hawafanyi maamuzi ya hovyo hovyo kama hawa wengine wanao tusafirisha. TATIZO...
  6. Mparee2

    Stigler’s George imeanza kutoa umeme, tunaamini mgao utaisha kabisa

    Ni habari Njema kwa Stiglers George kuanza kutoa umeme tangu Feb 25th, hivyo tuna amini mgao wa umeme utapungua sana kama sio ukisha kabisa. ANGALIZO Kwa kuwa stiglers tumeambiwa in outlets (vinu 9) na jana wamewasha kimoja tu; Pengine wahakikishe hawawashi vyote ili tuwe na backup pale...
  7. Mparee2

    Waislam tujenge vyuo vya kuwapa vijana ujuzi

    Kumekuwa na wimbi kubwa la ujenzi wa misikiti ambapo ni jambo jema japo mingine inajengwa karibu karibu sana na mingine nje sana; Kimsingi sipingani na huu utaratibu ILA kwa umuhimu, nimeona tuna nguvu kazi ya Vijana wengi sana mitaani ambao hawana ujuzi (hawa ajiriki) hivyo, nashauri misaada...
  8. Mparee2

    Kidato cha 6 waruhusiwe kufundisha somo la Hisabati

    Nchi yetu imekuwa na nia njema sana ya kuendeleza Vijana katika fani mbalimbali hasa za ufundi na ujasiriamali. Kimsingi vijana wenye uelewa wa somo la hesabu wanaweza kufanya vizuri sana katika fani hizo za ufundi na ujasiriamali. Hata hivyo kutokana na upungufu/ ukosefu wa waalimu wa hesabu...
  9. Mparee2

    Anahitaji mshirika kwenye Biashara

    Habari wapendwa, Kuna rafiki yangu (wa kiume) anahitaji mtu wa kumuonesha njia/kushirikiana naye kwenye Biashara Na maanisha anahitaji mtu anayefanya Biashara tayari na anayehitaji mtu wachangie mtaji (wakuze mtaji) wafanye wote. Ni mchapakazi (zote), muaminifu, Elimu kidato channe. Yupo...
  10. Mparee2

    Hakuna mwanamme anawazia kuoa mwanamke mlevi!

    Kama hujaolewa na unataka kuolewa na mume na sio mtu aliyejikatia tamaa, jua hii inakuhusu... Wewe tolewa out badala ya kula msosi na kunywa juice/soda au basi ka glass kamoja kawine; unafakamia mapombe halafu utegemee kuolewa na mtu mtakayejenga maisha pamoja??? Mbaya zaidi ukute msichana hana...
  11. Mparee2

    NSSF - KENYA

    Nilisikiliza mjadala wa NSSF Kenya - LIVE, nikaona kikokotoo chao kina endana endana na vya Nchi za wenzetu... Fikiria Mfanyakazi wa Kenya hukatwa 5% ya Mshahara na muajiri humchangia 5% kufanya jumla ya michango iwe 10% lakini akistaafu hupata wastani wa pension ya nusu ya Mshahara wake kila...
  12. Mparee2

    Bidhaa kutoka Zanzibar zinatozwa ushuru wa ziada mara zinapofika Tanganyika

    Kwa muda sasa kumekuwa na huu utaratibu ambapo mtu akinunua bidhaa Zanzibar akifika Tanganyika anatozwa tena ushuru (nyongeza) tofauti na ule ushuru wa awali aliolipa wakati wa kununua Kwa mtazamo wangu; Utaratibu uliopo kwa sasa, haunufaishi upande wowote; Zanzibar ndio wana adhirika zaidi...
  13. Mparee2

    Governor (Mama) Wavinya Ndeti -Machakos

    Huwa kuna viongozi huibuka kuwa Role model kwa kila Nchi kwa kipindi flani Kwa majirani zetu Kenya, nimetokea kumpenda huyu mama wa jimbo/Mkoa wa Machakos; She is VERY CREATIVE, hard working, smart and RESULT ORIENTED.....(ni mtu anayetaka kuona matokeo, Muhimu zaidi; huyu mama ni mbunifu...
  14. Mparee2

    Walimu wa hesabu/hisabati

    Kwa sababu ambazo sifaham, tangia miaka ya 1990, tumekuwa na tatizo kubwa la ukosefu wa waalimu wa hesabu. Tatizo ni kubwa zaidi kwa shule za msingi za umma ambapo waalimu wenye vigezo vya kufundisha somo hilo pengine ni chini ya asilimia 10% ya mahitaji. Nafikiri tukiwa wakweli, matokeo...
  15. Mparee2

    Maoni kuhusu suala la wagonjwa walioshindwa kulipa gharama za matibabu hospitali ya Muhimbili

    Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara ya watu kuhusu wagonjwa kuzuiliwa Muhimbili hata miezi mitatu na kuendelea sababu ya kushindwa kulipa deni. Nashauri Waziri wa Afya atume watu (tume huru) wakapate ukweli kwa kupata taarifa ya Hospitali lakini pia kuongea na waathirika ili wapate ukweli...
  16. Mparee2

    Haiwezekani Air Tanzania iwe na ndege inayotoza Tsh. 100,000/- kwa safari za ndani?

    Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege. Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku). Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; namaanisha...
  17. Mparee2

    Vyanzo vya maji visivyo kauka/ vya kudumu

    Nakumbusha tu kuwa, Kipindi hiki cha Kiangazi kitumike kutambua vyanzo vya maji visivyo kauka. Hii itaepusha kuwekeza fedha kwenye vyanzo vya maji vyenye maji ya msimu. Nashauri pia kuwepo na uhamasishaji wa kuotesha miti ya maji kwenye vyanzo vya maji hata kwa zile chemchem Ndogo ndogo na...
  18. Mparee2

    Ukifa leo utakwenda kwa Mungu?

    Hapa sina nia yoyote ya kumsema mtu ila ni kuelimishana tu Naamini mtu akikaa mwenyewe (peke yake) akatafakari anaweza kujua mahusiano yake na Mungu yakoje namaanisha anaweza kujua kama amefaulu au kuna cha kujirekebisha Sasa kwa kuwa nafasi bado tunayo; kwa nini tusichukue hii fursa...
  19. Mparee2

    Wasimamizi wa mitihani shule za madhehebu ya Dini wajikumbushe taratibu za madhehebu husika

    Nafikiri kuwepo na mafundisho rasmi yanayoelekeza wasimamizi wanaosimamia mitihani shule za madhehebu ya dini kujua mipaka yao ili wasiingilie zile taratibu za kawaida zilizokubaliwa na serikali. Hivi inakuwaje msimamizi mwanamme; ana anza kuwavua Watoto wakike vitambaa na mara nyingine wakiwa...
Back
Top Bottom