Search results

  1. Osia

    Msada wakisheria kuhusu makato yamshahara

    Mh! Hp weka vizuri mada yako au ni PM nitakusaidia. Makato ya kodi ktk mshahara ukimaanisha paye na sdl?? Manake unaposema kukatwa mshahara inanivuruga!
  2. Osia

    PICHA za KIGOMA: RAIS JAKAYA KIKWETE NA MKEWE WAKIWASILI;MICHUZI PIA,

    Mnamwonea bure Tayadi; uliandika si ki-engereza na hata hiki ki-swahili pia sicho. "Kihingereza, Manahake, Kahamua, Kuhandika..." Au ndio mnavyojifunza katika hizi sijui academic, international etc
  3. Osia

    MwanaHALISI: Big lie or slip of the tongue? - Saed Kubenea

    Hili liwe jukumu letu sote, kuinuka na kupaza sauti zetu sote kukemea udharimu. Na si kubenea peke yake, yeye alijitoa muhanga kutoa habari kwa watanzania sasa ni zamu yetu kusema kwa niaba yake. Kuna usemi husema "The trimph of evil is for good men to do nothing" We are good, we dont have to...
  4. Osia

    Kilimo cha kisasa cha maembe

    Yes, nadhani mawasiliano ni mhm
  5. Osia

    Itv mwaonyesha picha chafu - kipindi kilichoishia saa 4.15 usiku

    Mshukuru sana Mungu aliyekupa wewe uwezo wa kuwa na TV zaidi ya moja na Moyo wa kumdharau mwenzio kwa umaskini wake. Naamini ipo siku Mungu huyu atatenda kwako pia.
  6. Osia

    Itv mwaonyesha picha chafu - kipindi kilichoishia saa 4.15 usiku

    Wazo langu, kimtazamo hapa si mahali pa kutukanana au kuwa majibizano ambayo hayana lengo ya kufundisha au kusaidia. Mleta mada kaleta hoja, wazo na hisia zake juu ya nn amekiona huo usiku kwa ITV. Sasa sawa hajatuambia ni nn hasa alichokiona ili tuweze kumsaidia ipasavyo! Tasfiri ya yeye na...
  7. Osia

    Kilimo cha kisasa cha maembe

    Jamani wakulima hp tupo wengi, hio miche na mm nataka panda. Mnijuze mkipata
  8. Osia

    elimu kwanza GAS baadae

    Yes, naamini Elimu kwao lingekuwa swala la msingi kbs. Au wao wanadhani au wanaitaka waitimie bure?? Ni nini concern yako kwenye Gas?
  9. Osia

    TRA Posts........

    Asanteni kwa michango yenu; Kwanza nnacho kiona hp ni tatizo la ukabila na kwa comments na majibizano yenu, watu wa kabila flani hapa ni wengi. "Tusigeuze ukweli kuwa uadui" hivi mnaijua hio Taasisi na walioijaza ndani yake?? Msigombane Pili ni kuwa japo mnapinga hakuna upendeleo, kwa kigezo...
  10. Osia

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Kabla cjaenda ndani zaidi, Bongolaka mm nnanashaka na uwezo wako wa kufikiri na upeo wako katika kupambanua maandiko katika Imani yako. Hao wa dini yako walienda fanya nn kwa Mchungaji km si ulafi?! Sasa mm ningeomba ninapoendelea kuisoma hii mada, naomba hao wa Dini yako wakaanze kazi pale...
  11. Osia

    Msada jaman tumedat alhamis ilyopita leo anasema ana mimba yangu.

    Wewe itabid nikuombee, au nikutandike kwanza makofi?! Au hio C ilikuwa na tube ndani?
  12. Osia

    Alibaba ni matapeli au? Msaada please

    Sawa kabisa Incredible. Kwamba hapa kila mtu atasema lake, kuwa kati yetu wapo watakao angukia mikono salama na wengine ndo hivi. So Faby, careful Brother.
  13. Osia

    Maboksi yenye nyaraka za sensa yalowana kwa maji Kibaha

    Lakini mpk lini tutaendelea kuendeshwa na wehu? One said "the triumph of evil is for good men to do nothing" mpk lini tutanyamaza?? Hii nchi imekuwa ya ajabu sana!
  14. Osia

    Tochi ya kumulika magari almanusura isababishe ajali Korogwe

    Akikunyatia hivo, we tembea tu, wehu kbs hawa jamaaa!
  15. Osia

    Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    Doooooh! Unajua hakuna dhambi mbaya kama ya rohoni, kwa hili ulilolitenda litakutesa sana. Ni pm nitakufundisha cha kufanya
  16. Osia

    Mwandishi APIGWA risasi na Polisi

    Lkn ndg yangu,em tuongee ukweli, mm nimekulia na bado nipo ktk familia hizi za askari hawa. Toka 81 nimeishi hapa ufundi ghorofa ya pili hiz za zamani km waenda mgulani. Hivi hawa wanaelimu gani? Mode zao za kukuza taakuma baada ya kutopa moshi hasa hawa wa F4 zipoje?? Wengi wao ni watoto wa...
  17. Osia

    natafuta mchumba mimi mwanamke(seriosly relationship)

    Dah eeeeeh, hapa roho mtakatifu aingilie tu kwakweli. hivyo vigezo mm nnavyo, sasa itakuwaje? ku-pm ndo manake nn? jaribu khisadada@gmail.com
  18. Osia

    natafuta mchumba mimi mwanamke(seriosly relationship)

    Dah eeeeeh, hapa roho mtakatifu aingilie tu kwakweli. hivyo vigezo mm nnavyo, sasa itakuwaje? ku-pm ndo manake nn?
  19. Osia

    Treni ya Mwakyembe inapata hasara ya milioni 10 kwa siku 5

    Lkn c jambo la busara kuupima mradi kwa cku za usoni, hasa kwa hili ya mwakyembe. Lazima kuwe na gharama na changamoto nyingi sana, alichotakiwa kufanya mnyika ni kutoa m'badala wa nn kifanyika ili kunusuru hio hasara kuliko kuanika na kutotoa suluhisho la tatizo unakuwa hujawa msaada bali...
  20. Osia

    Jerry Muro kortini tena

    Ni kweli kbs Rosena, ni aibu. Tuna matatizo mengi na changamoto nyingi mno hapa kwetu; Elimi, Kilimo, Miundombinu, Afya, na mengine mengi tu. Kwa upuuzi huu waufanyao wanatupotezea fedha nyingi ambazo kimsingi tungeweza zielekeza kwenye haya kiliko visasi tena baina ya watu na watu tena kwa mtu...
Back
Top Bottom